Tunakumbushana tu

Na mgeni wangu yupo safarini, baada ya kusoma ujumbe wako nikamuuliza umepanda gari gani kasema New force hapa najiskia kufa kufa!!

Ngoja nimuombee tu maana nkimuunga bando linawahi insta na tik tok hajui hata kuangaliia taarifa zngn angalia saiv limepanda New force🤔
 
😀 😀 😀hatari sanaa
 
😀 😀 😀hatari sanaa
Kaka hapa sina raha tena ngoja namuuliza uliskia nn kuhus new force anasema hamna 🤔 sema atafika salama Mungu amsaidie

Kwa Imani naenda shekilango now
 
🤣🤣🤣🤭
 
Mlevi na mwenye hasira watilie maanani saana, maneno yao huwa na asilimia kubwa ya ukweli.
 
😊🪓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…