Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,846
Ni vile tu hapa jf wengi hatujuani lakini siku ukiniona wewe utakubaliLabda uulize wewe mkuuπ€£π€£π€
Kabisaaa..wala sio kwa ubaya π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ndio
mara nyingi hua atakusema kwenye yale mapungufu yako
π π π anajilia black beauty.. wana joto haoLikizo hii yupo kimya sana nahisi kuna mwamba anajilia vyake
Sasa na mimi sinawaudhi pia??? Hahah umenichekesha mtani eti malaika..au black angel itakua..unauziwaje malaika mzuri kama wewe.. inakuwa lipepo tu kutoka kuzimu.. limeamua kuingia kwa shape ya mtu ili likutibuwe tu
ππππ kwani tuliachanaa.. mie mbona sina taarifa ... haya maisha kumbe unaweza achika bila info yoyoteTuwe wapenz mara mbili? Sema naomba turudiane.....labda umesahau nikukumbushe..am your exπ€
ππ hufananii kabisa kuwa na maudhi labda unafanya makusudi malaika wa watuSasa na mimi sinawaudhi pia??? Hahah umenichekesha mtani eti malaika..au black angel itakua..
Man Down..!! I repeat... Man Down..!Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.πππ
Evacuate the mission....!!!π³
πππUnaijua skanka?Umetumia kilevi chochote leoπ
Sawa kabisaπππUnaijua skanka?
Huna baya mkaka wa watu mpole... π π π π πππ hufananii kabisa kuwa na maudhi labda unafanya makusudi malaika wa watu