Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
37,361
Reaction score
91,912
Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.

NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
 
Picha?
 
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.
Mimi nataka thread ya 'kitu kimepinda kama ndizii bukoba'
 
Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.

NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
Tusio na maneno makali .. wakati wote inakuwaje 😊😊😊 tukiwa tumelewa hatuna neno tukiwa hatujalewa hatuna neno.. tukinyimwa uchi hatuna neno.. tupo kama mazezeta hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom