Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 335
- 661
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora. Wanaiheshimisha ligi kuu ya Tanzania. Tunaisubiria Kwa hamu ranking ya 15th February Labda Kwa mbaaali DRC itakuwemo tuna Inonga kule