Tunakomoana kuhusu ndoa

Tunakomoana kuhusu ndoa

Mkuu hizo gharama mi ndo zilinishinda..Nikaamua tu kuforce fumanizi..Nikapigishwa ndoa ya mkeka pale zen mambo yakaishia hapo..

Hadi leo nipo na wife maisha yanasonga

Duh! wee nuksi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom