Tunakomoana kuhusu ndoa

Tunakomoana kuhusu ndoa

Asee nimecheka kinoma yani... Wanataka moo 49 wakat we una kuku mmoja na njiwa watatu they cant be fair sereous 😀😀
 
Kaka usikubali kufa maskini sabb ya mwanamke!kwani kabaki ye peke ake dunia nzima?wazaz wake washamgeuza dili..shangaa huyo binti na uzuri wote huo hajaolewa..na nakwambia kama wazazi wake ndo walivyo huyo binti umri utaenda hadi jua linaanza kuzama wataanza kumtafutia mume kwa tochi.!
 
KWA HIYO wanishauri NINI kaka?
 
hv mahali zmekaaje kulingana na kanda husika...maana kanda zngne ni kukomoana
 
Hao wanakufanyia biashara achana nae tafuta pesa watakuwa wao wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom