Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
- Thread starter
- #21
Umeenda peke yako bila hata mshenga?
Hata mimi kama mzazi ukija wewe peke yako lazima nikukomoe.
Mara nyingi wakwe huwa wanatania;mimi niliambiwa nipeleke punda kwa wazee wote wa kijiji,..nichimbe kisima cha maji mwenyewe na nilete Ng'ombe dume Kumi.
Kumbe ilikuwa ni utani tu: Na yule mzee akaniambia nisitoe hata mali yeye hauzi binti yake.
Nililipa tu hela za sherehe na utambulisho.Komaa mzee
Umenipa moyo sana NDUGU.