Mbona tatari wameshajaa kibao haa mjini mfano kama huyu niliyekutana naye jana pale stesheni:
View attachment 143886
Hukukimbia mbio? Maana hafla mara waogopa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
We farkhina weweeeee, basi tu.
Nimefanyaje tena? Ushaharibu upishi wa bagia nini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sasa sijui na mafuta yenu mtakuwa mnapakaa sehemu gani!
akisema anyoe tu,zinaanza kuja kwa fujo...