MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Ni kweli ni hao hao walitoroka kwenye kambi zao kule mwese,katumba,mishamo na kambi zingine wamedhibitiwa kwenye mauaji ya tembo wamehamia huko.Inawezekana hata hawa wabongo wanaoua albino na kuua vikongwe kisa wana macho mekundu huko shy/mwanza/geita,wanaoteka watoto wadogo huko njombe na kuwanyofoa sehemu zao mbalimbali za mwili wakawa watusi na wahutu pia maana na wao wana roho mbaya sana na wanashinda kanisani/misikitini wakisali sana tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watashindwaje kufanya hivyo wakati tumewafuga nchini humu kwenye kambi kama kuku wa kisasa.
Tunahisi ndiyo hao hao wanaowaua watu hata huko kibiti na kwingine.
Umeliamsha na kulikoroga mwenyewe sharti ulinywe.Ni lini nyie wahutu na watusi mlipata roho nzuri. Nilijua utakuja kwa povu.
Alipopatikana rais mpya wa wahutu wote wakaamua kuondoka kambini kurudi kwao.Waliamua kukata migomba yote ya ndizi na kuweka chumvi wakidai watz ni wavivu wasibaki kufaidi ajabu kabla hawajafika kwao yule rais alichinjwa na ikabidi warudi tena tz.
Sasa kwa roho hiyo mbaya mtaachaje kutuua.
Mna roho mbaya nina ushahidi mwingi kuthibitisha roho mbaya yenu watusi na wahutu.Kaaaa kimya hujielewi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app