Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

Hahah interahamwe imeshakua inajiita 'sisi watanzania',hahah.

Tulia wewe member wa Akazu au umemisi mlivyokua mnakagua ID za watu mnawaweka pembeni then mnapiga rungu la kichwa/panga/shoka mchezo umeisha.

Interahamwe bwana,we rudi porini tu mjini huku hapakufai.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeshaharibu mjadala unaulizwa swali A we unakuja na makala za kucopy and paste more so za upande mmoja.... Mbona huleti zile confessions zao za kuua wahutu huko cyangugu na butare?? Huleti confessions za hutu massacre kwenye 1st na 2nd congo war??

Mara zote kwenye mijadala ya namna hii huwa watutsi mnakua emotional sana..... Hoja mnashindwa kujibu mnabaki kutafuta huruma za watu.

Sorry brother it's no more.... Dunia ya sasa ni ukweli tu ndio unahitajika sio propaganda za 1990s. Just imagine Hutu ana jeshi na Tutsi ana jeshi ila waliouawa ni watutsi peke yao ina make sense kweli???

Embu jikite kwenye mada tusiharibu uzi wa watu
 
Tulia we interahamwe dawa ikuingie ulianza kuharibu mjadala wewe mwenyewe,naona jinsi unavyoweweseka na damu za watu tu.

Yaani mpk wanawake wenu ni full wauaji.

OUR CHILDER SHOULD NOT FORGIVE US-RWANDA WOMEN KILLERS RECALL GENOCIDE

Magdalena Mis

LONDON (Thomson Reuters Foundation) -

Women jailed in a Kigali prison for murdering their Tutsi neighbors in Rwanda's 1994 genocide talk about the killings as if they are still trying to justify why they took part in one of the most notorious mass killings of modern history.

"They were caught and killed easily," one of the women says about murdering ethnic Tutsis during the 100 days of slaughter.

"I can't explain it," says another. "We became just like wild animals."

Clad in pink and orange prison dresses, female perpetrators recall the past in "Shades of True", a documentary about eight women who took part in the genocide.

During the darkest chapter in Rwanda's history, Hutu extremists killed 800,000 minority Tutsis and moderate Hutus between April and July 1994. Most were hacked to death with machetes.

"We had to kill the enemy," says one of the women inmates, while another describes how some Tutsi women were sliced open and had their intestines removed by killers "looking for where the foundation of their beauty lay."

Tutsi women, "tall and soft-skinned", were accused of seducing the husbands of Hutu women, so they "grabbed the chance to take revenge," a prisoner said.

"People expect men to be the ones involved in those massacres," says Immaculee, admitting that she considered killing her half-Tutsi son Jerome to "practice".

She recalls participating in a live burial of Tutsi children lured into a hole in the ground with a cake, and killing an old woman after dragging her out of a hospital bed.

Tutsis during the 100 days of slaughter.

"I can't explain it," says another. "We became just like wild animals."

accused of seducing the husbands of Hutu women, so they "grabbed the chance to take revenge," a prisoner said.

"People expect men to be the ones involved in those massacres," says Immaculee, admitting that she considered killing her half-Tutsi son Jerome to "practice".

She recalls participating in a live burial of Tutsi children lured into a hole in the ground with a cake, and killing an old woman after dragging her out of a hospital bed.

"You are a master killer," Jerome says in a message recorded for his mother. "I cannot look at your face".

He says that if Immaculee ever returns to their village, the neighbors would refuse her even water.

"There's no reconciliation in people's hearts. It's just words," he says. "She will continue to reap what she sows."

Another prisoner had incited the killings through her radio broadcasts.

"My only responsibility was the radio," she says. "The ones who rounded up (Tutsis) were worse."

The International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) was established after the genocide to try the main architects of the killings.

Rwanda, meanwhile, has tried thousands of lower-level suspects, either in its regular national courts, or in a special system of traditional justice known as "gacaca" courts.

About 2,000 women convicted of genocide-related offences remain in Rwandan prisons.

"Our children should not forgive us," one of them says.

Source:Reporting by Magdalena Mis; Editing by Ros Russell; Please credit Thomson Reuters Foundation

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhani itakua hivyo boss,na umri pia umemtupa mkono kiaina hivi ana miaka 84 sasa.

Possibly anaomba amalize miaka yake duniani kabla hajakamatwa na mahakama au kama kawaida atakua ameshapata wakurithisha ideology zake za kuua kwa watoto wake au watu wengine so hata akifa mawazo yake yataendelea kuishi kwa watu wengine.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Lkn hawa RNC ,sankara,muyoka na nkurunzinza sio wa kuwabeza kama wakiamua

Nao msaada wa slim upo kwa jiwe tu
 
Utawala wa Rais Kagame utakuja leta maafa siku nyingine mbeleni..
Mpk sasa Wahutu na Watwa hawaruhusiwi kusema lolote kuhusu genocide maneno yao hayatakiwi kuvuka nje nyumba zao.wamebaki kimya wakiendelea kuongea chini chini, tena kwa sauti ndogo, wao kwa wao.
Siku mmoja wakiamini watarudisha walichopoteza.
 
tatizo ninaloona ni ujinga wa wahutu wenyewe kama waliuwawa mbona wako kimya? yaan more than 80% wanakubali kutawaliwa na 20 % ? kagame katengeneza ngome ya kitutsi rwanda, kuanzia jeshi mpaka serikalin wamejaa watutsi, wahutu wamebaki kuwa vibarua
 
Back
Top Bottom