Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,928
Points
2,000
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,928 2,000
Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya kimbali lakini wanaoadhimisha ni Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hakuna muhutu wala mtwah!Jamii nyingine haiwezi kufika pale kwakuwa kinachohubirwa ni chuki dhidi ya Jamii ya Hutu,Twah hivyo katika maadhimisho hayo si rahisi wakufika hapo kwani wanaonekana wao ndiyo waliua watutsi!Hata documentary zote ni za chuki Hata Rais Kagame alikuwa akitangaza kwa hasira sana. Hata ukiona rai yao ni MAUAJI YA KIMBALI DHIDI YA WATUTSI Sasa naona hawajamaa wanapanda mbegu mbaya kwa Jamii ya Wanyarwanda kwani ipo siku litaripuka.

Turudi nyuma ninani haswa aliendesha mauaji yakimbali baada ya Rais wa Rwanda kutunguliwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
20,507
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
20,507 2,000
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo wananchi wa kundi la Watutsipamoja na Wahutu waliotazamwa kuwa wapinzani wa serikali au mauaji waliuliwa na wanamgambo, polisi na wanajeshi wa serikali iliyosimamiwa na viongozi Wahutu.

Katika kipindi cha takriban siku 100, kuanzia kuuliwa kwa marais Juvenal Habyarimana wa Rwanda na Cyprien Ntaryamira wa Burunditarehe 6 Aprili hadi katikati mwa mwezi Julai, walau watu 800,000 hadi milioni 1 waliuawa, au karibu asilimia 20 ya idadi ya watu nchini Rwanda wakati huo.
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000
Genocide denial.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kilamuruzi

kilamuruzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
780
Points
500
kilamuruzi

kilamuruzi

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
780 500
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo wananchi wa kundi la Watutsipamoja na Wahutu waliotazamwa kuwa wapinzani wa serikali au mauaji waliuliwa na wanamgambo, polisi na wanajeshi wa serikali iliyosimamiwa na viongozi Wahutu.

Katika kipindi cha takriban siku 100, kuanzia kuuliwa kwa marais Juvenal Habyarimana wa Rwanda na Cyprien Ntaryamira wa Burunditarehe 6 Aprili hadi katikati mwa mwezi Julai, walau watu 800,000 hadi milioni 1 waliuawa, au karibu asilimia 20 ya idadi ya watu nchini Rwanda wakati huo.
Hasa wengi wao walikufa walikuwa ni wahutu. Ukianzia kibeho rwengeri kibuye kikongoro nk watu walikufa wengi hasa wahutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
20,507
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
20,507 2,000
Hasa wengi wao walikufa walikuwa ni wahutu. Ukianzia kibeho rwengeri kibuye kikongoro nk watu walikufa wengi hasa wahutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe wa majaji wa Ufaransa Jumamosi waliwasili mjini Kigali kwa lengo la kuchunguza chanzo cha mauaji ya kimbari ya Rwanda na kuanguka kwa ndege iliyokuwa imembeba Juvenal Habyarimana rais wa wakati huo wa Rwanda.

Kuuawa Habyarimana tarehe 6 Aprili 1994 kulikuwa chanzo muhimu cha mauaji ya kimbari nchini humo. Kuhusiana na kuuawa Habyarimana, Wahutu wenye misimamo ya kufurutu mpaka walihusisha tukio la kutunguliwa ndege yake na wapinzani wa Kitutsi na kulitumia kama kisingizio cha kuanzishia mashambulio na mauaji makubwa na ya kutisha dhidi ya Watutsi, Watwa na Wahutu wenye misimamo ya wastani.

Mauaji ya kimbari nchini Rwanda yaliendelea kwa muda wa siku 100 hadi hali ya mambo ilipodhibitiwa na vikosi vya waasi wa wakati huo wa RPF, wapiganaji wake wengi wakiwa ni Watutsi.

Inasemekana kuwa watu wapatao laki nane waliuawa, wengi wao wakiwa Watutsi, lakini wakiwemo pia Wahutu wenye misimamo ya wastani.

Huko nyuma Rais Paul Kagame wa Rwanda alituhumiwa na Jean-Lousi Bruguiere, mmoja wa majaji maarufu wa Ufaransa kuwa alishiriki katika mauaji ya halaiki ya wananchi wa nchi hiyo na vilevile uuaji wa Habiyarimana. Hatua hiyo iliipelekea serikali ya Kigali nayo kuwatuhumu viongozi wa Ufaransa kuwa walishiriki katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Kwa utaratibu huo Kamisheni Huru ya Kitaifa ambayo iliamuriwa na serikali ya Kigali ikusanye nyaraka na ushahidi unaothibitisha nafasi ya Paris katika mauaji ya Rwanda, ilitayarisha nyaraka zilizofichua jinsi Ufaransa ilivyoshiriki katika mauaji hayo, ambayo yalipewa jina la "Jinai za Watenda Jinai".

Kwa mujibu wa ripoti ya kamisheni hiyo, nduru za juu za kisiasa, za kidiplomasia na za kijeshi za Ufaransa ziliratibu na kutekeleza mauaji hayo ya kimbari. Vilevile ripoti hiyo ilisema kwamba, Paris ilishiriki katika kutoa mafunzo kwa wanajeshi na waasi wa Kihutu, kutoa silaha na suhula za kijeshi, kusaidia kwa sirimauaji, ubakaji na mateso katika ardhi ya Rwanda. Tuhuma hizo zilivuruga kabisa uhusiano kati ya Ufaransa na Rwanda.

Hata hivyo mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka 2009 viongozi wa nchi hizo mbili waliamua kuhuisha tena uhusiano wao na serikali ya Paris kuwapa majaji jukumu la kufuatilia faili la mauaji ya kimbari ya Rwanda.

Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, hamu ya nchi hizo mbili ya kutaka kuanzisha tena uhusiano wao wa kisiasa haiwezi kufuta shaka ya nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda. Ufaransa ambayo siku zote imekuwa ikisisitiza kuungwa mkono ngano ya mauaji ya kimbari ya Wayahudikatika Vita vya pili vya Dunia, hivi sasa inapaswa kutoa jibu kuhusiana na tuhumazilizotolewa dhidi yake na Kamisheni ya Uchunguzi ya Rwanda.
 
Mr Putin

Mr Putin

Member
Joined
Feb 13, 2019
Messages
35
Points
95
Mr Putin

Mr Putin

Member
Joined Feb 13, 2019
35 95
Sio Genocide denal huyo tu bali ni interahamwe Damu za watu hizo zinamgeuka!,anaona yuko tz au kujua kiswahili kajua yeye mtanzania.ipo siku tu atakamatwa au kufa na fikra zake hizo.
 
France ilishiriki 100% kwenye mauaji ya kimbari kwa kusupport wahutu wakiongozwa na kanali Bagosora.

Kwa kuwapa silaha na trainings wale interahamwe na walipoona wahutu wanatolewa madarakani hao wafaransa wakaweka buffer zone huko south-west ya Rwanda huku wakizuga wanawasaidia wananchi wakati walikua wanawasaidia wanajeshi na interahamwe waliofanya Genocide kutorokea Congo.

France ilipoona hali ni tete ilimtumia ujumbe boss wa UNAMIR dallaire amwambie Kagame kuna strategic area asiyateke (maana walikua wanataka wawasaidie wale wanajeshi waliokimbia vita FAR kujipanga) la sivyo wao france watatumia nguvu kupambana nae,Kagame akamjibu waambie tutayateka na kweli usiku huo huo waliyateka.

Kuna sehemu wakina Kagame waliwateka wanajeshi wawili wa France ikabidi wawa exchange kwa hao Wafaransa kuwakabidhi wakina Kagame hayo maeneo walioyakalia na wao wapewe wanajeshi wao waliotekwa.

Mambo ni mengi lkn inshort France alishiriki kusaidia Genocide 100%.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,596
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,596 2,000
The only way the Tutsi to continue to rule over the Hutu is to always claim victim-hood, claim a higher moral ground over the Hutu by implying that the Hutu are Killers while the Tutsi are the victim!. This is a psychological manipulation over the Hutu.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,381
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,381 2,000
Sio Genocide denal huyo tu bali ni interahamwe Damu za watu hizo zinamgeuka!,anaona yuko tz au kujua kiswahili kajua yeye mtanzania.ipo siku tu atakamatwa au kufa na fikra zake hizo.
Heheheheheh watutsi bhana.... Kwahiyo ID za watutsi zilikuwa zinafika laki 8 hiyo 1994?? Na kwamba RPF hawakuua Mhutu hata mmoja yaani mlikufa nyie tu ingawa mlikua na jeshi!!

Kazi kwelikweli

Cc Jestkilla njoo huku wenzio wanalialia genocide
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,596
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,596 2,000
Jeshi la Watutsi RPF liliua Wahutu wengi pia, lilivamia makambi ya Wakimbizi wa Kihutu huko Congo na ndani ya Rwanda na kuua wahutu wengi sana lakini kwa kuwa Watutsi walishinda vita then wao ndo wanaandika Historia
 
King Victor

King Victor

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2016
Messages
344
Points
250
King Victor

King Victor

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2016
344 250
Mungu asaidie tusifike huku walipo fika hawa wenzetu

Love and peace
 
zyogo

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
362
Points
500
zyogo

zyogo

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
362 500
ulab
France ilishiriki 100% kwenye mauaji ya kimbari kwa kusupport wahutu wakiongozwa na kanali Bagosora.

Kwa kuwapa silaha na trainings wale interahamwe na walipoona wahutu wanatolewa madarakani hao wafaransa wakaweka buffer zone huko south-west ya Rwanda huku wakizuga wanawasaidia wananchi wakati walikua wanawasaidia wanajeshi na interahamwe waliofanya Genocide kutorokea Congo.

France ilipoona hali ni tete ilimtumia ujumbe boss wa UNAMIR dallaire amwambie Kagame kuna strategic area asiyateke (maana walikua wanataka wawasaidie wale wanajeshi waliokimbia vita FAR kujipanga) la sivyo wao france watatumia nguvu kupambana nae,Kagame akamjibu waambie tutayateka na kweli usiku huo huo waliyateka.

Kuna sehemu wakina Kagame waliwateka wanajeshi wawili wa France ikabidi wawa exchange kwa hao Wafaransa kuwakabidhi wakina Kagame hayo maeneo walioyakalia na wao wapewe wanajeshi wao waliotekwa.

Mambo ni mengi lkn inshort France alishiriki kusaidia Genocide 100%.

Sent from my iPhone using JamiiForums
ulabhea
 
zyogo

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
362
Points
500
zyogo

zyogo

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
362 500
Judi
Ujumbe wa majaji wa Ufaransa Jumamosi waliwasili mjini Kigali kwa lengo la kuchunguza chanzo cha mauaji ya kimbari ya Rwanda na kuanguka kwa ndege iliyokuwa imembeba Juvenal Habyarimana rais wa wakati huo wa Rwanda.

Kuuawa Habyarimana tarehe 6 Aprili 1994 kulikuwa chanzo muhimu cha mauaji ya kimbari nchini humo. Kuhusiana na kuuawa Habyarimana, Wahutu wenye misimamo ya kufurutu mpaka walihusisha tukio la kutunguliwa ndege yake na wapinzani wa Kitutsi na kulitumia kama kisingizio cha kuanzishia mashambulio na mauaji makubwa na ya kutisha dhidi ya Watutsi, Watwa na Wahutu wenye misimamo ya wastani.

Mauaji ya kimbari nchini Rwanda yaliendelea kwa muda wa siku 100 hadi hali ya mambo ilipodhibitiwa na vikosi vya waasi wa wakati huo wa RPF, wapiganaji wake wengi wakiwa ni Watutsi.

Inasemekana kuwa watu wapatao laki nane waliuawa, wengi wao wakiwa Watutsi, lakini wakiwemo pia Wahutu wenye misimamo ya wastani.

Huko nyuma Rais Paul Kagame wa Rwanda alituhumiwa na Jean-Lousi Bruguiere, mmoja wa majaji maarufu wa Ufaransa kuwa alishiriki katika mauaji ya halaiki ya wananchi wa nchi hiyo na vilevile uuaji wa Habiyarimana. Hatua hiyo iliipelekea serikali ya Kigali nayo kuwatuhumu viongozi wa Ufaransa kuwa walishiriki katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Kwa utaratibu huo Kamisheni Huru ya Kitaifa ambayo iliamuriwa na serikali ya Kigali ikusanye nyaraka na ushahidi unaothibitisha nafasi ya Paris katika mauaji ya Rwanda, ilitayarisha nyaraka zilizofichua jinsi Ufaransa ilivyoshiriki katika mauaji hayo, ambayo yalipewa jina la "Jinai za Watenda Jinai".

Kwa mujibu wa ripoti ya kamisheni hiyo, nduru za juu za kisiasa, za kidiplomasia na za kijeshi za Ufaransa ziliratibu na kutekeleza mauaji hayo ya kimbari. Vilevile ripoti hiyo ilisema kwamba, Paris ilishiriki katika kutoa mafunzo kwa wanajeshi na waasi wa Kihutu, kutoa silaha na suhula za kijeshi, kusaidia kwa sirimauaji, ubakaji na mateso katika ardhi ya Rwanda. Tuhuma hizo zilivuruga kabisa uhusiano kati ya Ufaransa na Rwanda.

Hata hivyo mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka 2009 viongozi wa nchi hizo mbili waliamua kuhuisha tena uhusiano wao na serikali ya Paris kuwapa majaji jukumu la kufuatilia faili la mauaji ya kimbari ya Rwanda.

Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, hamu ya nchi hizo mbili ya kutaka kuanzisha tena uhusiano wao wa kisiasa haiwezi kufuta shaka ya nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda. Ufaransa ambayo siku zote imekuwa ikisisitiza kuungwa mkono ngano ya mauaji ya kimbari ya Wayahudikatika Vita vya pili vya Dunia, hivi sasa inapaswa kutoa jibu kuhusiana na tuhumazilizotolewa dhidi yake na Kamisheni ya Uchunguzi ya Rwanda.
Judi Rever si yupo Canada..mbona ni tosha kutia watu hatiani.
 
BUSH BIN LADEN

BUSH BIN LADEN

Member
Joined
Mar 16, 2019
Messages
16
Points
75
BUSH BIN LADEN

BUSH BIN LADEN

Member
Joined Mar 16, 2019
16 75
Ukiangalia Rwanda Tv kipindi kama hiki wanakwambia ni 'Kwibuka genocide yakorewe Abatutsi" wakimaanisha kumbukumbu ya genocide waliyofanyiwa Watutsi wakati uhalisia ni kua mauaji yalikua ni kwa watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani ambao wote hawa waliuliwa na Wahutu laikini pia kuna watutsi waliowaua wahutu kama revenge so wahutu wanaponyima nafasi na wao kuomboleza sioni kama ni haki na hii inachochea chuki zaidi.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
3,182
Points
2,000
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
3,182 2,000
Jeshi la Watutsi RPF liliua Wahutu wengi pia, lilivamia makambi ya Wakimbizi wa Kihutu huko Congo na ndani ya Rwanda na kuua wahutu wengi sana lakini kwa kuwa Watutsi walishinda vita then wao ndo wanaandika Historia
Mkuu huko Congo (Zaire enzi hizo) walivamia kambi za wakimbizi ili kuokoa wakimbizi waliokuwa kama wameshikwa mateka na wapiganaji waliowazuia kurejea nyumbani Rwanda na pia kufunga hizo kambi zilizotumiwa na hao wapiganaji kupanga na kushambulia Rwanda.Japo kwenye vita lolote hutokea.
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,596
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,596 2,000
Mkuu huko Congo (Zaire enzi hizo) walivamia kambi za wakimbizi ili kuokoa wakimbizi waliokuwa kama wameshikwa mateka na wapiganaji waliowazuia kurejea nyumbani Rwanda na pia kufunga hizo kambi zilizotumiwa na hao wapiganaji kupanga na kushambulia Rwanda.Japo kwenye vita lolote hutokea.
Kambi za wakimbizi hazifungwi kijeshi maana humo utaumiza wanawake wazee na watoto wenye kutafuta hifadhi
 
Forum statistics

Threads 1,285,033
Members 494,367
Posts 30,847,817
Top