Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,668
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,668 2,000
Hebu jaribu kuchunguza ukweli huu, Hii Ndege ilidunguliwa na kombola na ikaanguka ndani ya makazi ya Rais Habyarimana mwenyewe. sasa kama taifa liko vitani, unadhani ni mtu yeyote anaweza kufika ndani au jirani ya makazi ya raisi? unadhani kupeleka kombola la kuangushia ndege hadi maeneo anayo kaa Rais wa nchi ni kiru rahisi? hapo ndio utajua ni nani aritungua hiyo ndege>
Kwahiyo hapa unaamini kwamba umejibu swali nililouliza? Waswahili mna shida sana.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,381
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,381 2,000
Hivi chanzo cha 1st congo war kilikua ni nini mkuu?

Si ni hao hao interahamwe/wahutu kutoka huko congo mafichoni kwao na kuja kuwashambulia watusi ndani ya Rwanda na kurudi huko Congo walikojificha.

Unajua maana ya TOTAL WAR STRATEGY?

HIi ni technic iliyokua inatumiwa na jeshi la Ufaransa ktk vita na technic hii wafaransa waliwafundisha FAR na hao interahamwe kuitumia.Itafute ujue inatumikaje.

Technic hio iliwasaidia hao interahamwe kuondoka na population kubwa kuelekea Congo na hapo hapo wakimbizi wa kitusi wakiwa huko Congo na tena interahamwe wakiendelea kuwaua huko huko ulitaka RPF ifanye nini kurudisha watu wake Rwanda?Tena hapa unaongelea watu waliogeuza makambi ya wakimbizi kama training camps?

Hahah kwamba wahutu waliouwawa wanazidi idadi ya watusi waliouwawa that's the best joke off all the time.Hivi hao wahutu waliokua wanauwawa huko Congo na Rpf hivi walikua wanauwawa na kufichwa au?

Naweka hapa maeneo watusi walivyouwawa kwa maelfu na mpangilio wa matukio wewe utaweka maeneno wahutu walipouwa kwa maelfu na mpangilio:

April 1994:military was sent across the country, massacring anybody even suspected of being TUTSI.For weeks, TUTSIs men, women and children were systematically hunted and killed across Rwanda. The police and military encouraged private Hutu civilians to participate, and at times even forced Hutu people to rape and murder TUTSI neighbors.

April 9, 1994: Massacre at Gikondo - hundreds of TUTSIs are killed in the Pallottine Missionary Catholic Church. Since the killers were clearly targeting only TUTSI,the Gikondo massacre was the first clear sign that a genocide was occurring.

April 15-16, 1994: Massacre at the Nyarubuye Roman Catholic Church - thousands of TUTSIs are killed, first by grenades and guns and then by machetes and clubs.

April 18, 1994: The Kibuye Massacres. An estimated 12,000 TUTSIs are killed after sheltering at the Gatwaro stadium in Gitesi.

April 18,1994:Another 50,000 TUTSI are killed in the hills of Bisesero. More are killed in the town's hospital and church.

May 17 -The U.N. agrees to send in 6,800 policemen, empowered to defend civilians, while the killings of TUTSIs continues.

May 1994- half of a million Rwandans are murdered. With no help from other countries, TUTSIs continue to be murdered. By the middle of the month of May, the Red Cross states that between 500,000 to 1,000,000 people have been killed roughly 75% of the total TUTSIs population.

June 22, 1994:Operation Turquoise begins.
The UN sends 2,500 French troops to Rwanda to create a safe zone. The action, called Operation Turquoise, is not successful as TUTSIs continue to be killed in the safe zone.

1995:Refugee camps in Zaire fall under the control of the Hutu militias responsible for the genocide in Rwanda.

1995:Extremist Hutu militias and Zairean government forces attack local Zairean Banyamulenge TUTSIs,Zaire attempts to force refugees back into Rwanda.

1996 - Rwandan troops invade and attack Hutu militia-dominated camps in Zaire in order to drive home the refugees.

Haya na wewe niwekee matukio ya namna RPF walivyowaua wahutu na hayo maeneo kuanzia wakiwa ndani ya Rwanda mpk wakiwa Congo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu twende taratibu

Data za world bank zinasema Rwanda ina 6 Million people kufikia january 1994..... Na data za UN na CIA world factbook zinasema Tutsi mlikuwa less than 15%. So mpaka hapo ina maana watutsi hawawezi zidi laki 9.

Vita inaanza inaisha.... Tunaambiwa walikufa watu takriban million 1 wengi wao watutsi.

Taasis ya IBUKA ambayo ni survivors wa kitutsi wa genocide wanadai Tutsi survivors walikuwa laki 4.

Sasa 400,000-900,000= 500,000 kwahiyo ina maana katika vifo million moja watutsi hawawezi kufa zaidi ya laki 5!!

Sasa swali langu je hao laki 5 wengine ni kabila gani?? Kama ni wahutu kwanini unajifanya unahesabu vifo vya watutsi pekee.

2. Nimekuona propagandist pale ulipoanza na vifo vya Gikondo sijui huku husemi ukweli je kagame alipovamia Ruhengeri mji wa wahutu aliua zaidi ya watu 4000 . sijaona ukiongelea Gitarama hapo ilihali wanajeshi waliokuwa front kabisa waliandika testimony hii kule ICTR
rwanda-soldier-testimony-ictr-1-jpg.1072809

Sasa nishauri nikuamini wewe Tutsi extremist wa mitandaoni au mwanajeshi aliyekuwa front kabisa hiyo 1994???

Anyway jibu swali je ni kabila gani ndio waliokufa laki 5 ili kukamilisha vifo million 1??
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000

View attachment 1072809

Sasa nishauri nikuamini wewe Tutsi extremist wa mitandaoni au mwanajeshi aliyekuwa front kabisa hiyo 1994???

Anyway jibu swali je ni kabila gani ndio waliokufa laki 5 ili kukamilisha vifo million 1??
Wewe umeniambia'Sasa nishauri nikuamini wewe Tutsi extremist wa mitandaoni au mwanajeshi aliyekuwa front kabisa hiyo 1994???

Na mimi nakujibu ifuatavyo:

Since umekuja na data zako uchawara na ukaona unifanyie person attack kama kawaida ya interahamwe zilivyo,ngoja nikujibu in accordance.

Kabla sijajibu chochote na mimi nikuulize wewe ni mhutu extremist ambao mnanuka damu mlizoua huko Rwanda,Congo ambao mmekuja kuichafua nchi ya Tz kwa kuteka mabus huko Kahama na Kigoma,kwa kuendelea kuwawinda watusi wakiwa Tz kwenye makambi au wewe ni wale FAR mnaotafutwa na ICTR na mmejificha huko Congo?

Then jibu linalofuata ni hili:
1.Maadhimisho yataendelea kua Genocide againist tutsi kama kawa.

2.Mjitahidi mwende shule kwa wingi ili mpunguze Ideology zenu za mauaji(ingawa kwa hili siwalaumu sana maana inaonekana akili za darasani kidogo hamkubarikiwa sana na mnapendelea kazi za kutumia nguvu kama kuchinja watu,kulima masaa 24,kufagia mabarabarami huko Rwanda,Kuchunga ng'ombe za hao mliowachinja).

3.Kagame is there to stay na hamma kitu mtafanya kuhusiana na hilo(anasubiri zile 10 commandments zenu mzitekeleze iwe zamu ya Genocide againist interahamwe).
 
Haaahaaa nilijua tu huna ubavu wa kujibu kwa facts maana mmekalia uongo sasa mmekamatika msidhani hii ni dunia ya 1990s kuwa mtadanganya kila siku.

Ni hivi hata 1957 na 1992 mlisema hivo hivo kuwa watutsi sijui chosen race sijui mna akili sana ila kilichowakuta wote tunakifahamu..... Sasa endeleeni na hicho kiburi kumbukeni wenzenu wapo 90% siku wakipata kiongozi kama kayibanda ndio mtaeleza kilichomtoa nyoka pangoni.

Alafu sio kma hamuwezi tolewa mbona mlitandikwa huko kwenye 2nd congo war... Mbona mmefeli kurudisha burundi kwenye Tutsi empire.... Mbona Bunia mmeshindwa kuwang'oa walendu.... Vipi wanyamulenge walivyotandikwa 2002 na wahutu huko East Congo.

You guys are not invincible... It's just a matter of time mtajuta mende nyie inaweza isiwe leo au kesho au karne hii ila IKO SIKU.... Nani alijua El Bashir atang'olewa kitoto hivo?? Nani alijua Gadaffi atauawa na vibaka??

Watch out
 
Mimi mwenyewe nilijua huna ubavu wa kuleta facts bila personal attacks maana interahamwe zimezoea kutumia manguvu bila akili.

Huyo kiongozi kama kabiyanda anasubiriwa azaliwe kule mapangoni huku akilishwa nyama za nyani),by the way ndg zako FDLR umeona wanavyokamatwa kama kuku,hata juzi wamedakwa wawili wako wanasubiri kupata haki yao.

Hahah ni kweli kabisaa kwny 2nd congo war interahamwe walishinda vita mpk wakaweza kumuondoa Kagame na sasa wanatawala huko Rwanda huku chama tawala kikiwa FDLR na rais akiwa ni Felicien Kabuga huku waziri mkuu ni Yule mama interahamwe aliyefungwa Ingabire,big up sana kwenu.

Kama kawaida Mende hua wanatembea usiku kwa usiku muda ambako mmelala,na hivi sheria huko Rwanda zimepitishwa za wananchi kuruhusiwa kumiliki silaha(najua hujui kwanini ilipitishwa) inasubiriwa filimbi tu muanzishe chokochoko kama za 94' uone 20% ya population iliyogawiwa silaha za kivita ikipambana na 80% iliyozoea kutumia mapanga,mashoka na kubaka wakina mama,watoto na wazee(cowards).
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,701
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,701 2,000
Hivi kabuga bado yupo hai?
Mimi mwenyewe nilijua huna ubavu wa kuleta facts bila personal attacks maana interahamwe zimezoea kutumia manguvu bila akili.

Huyo kiongozi kama kabiyanda anasubiriwa azaliwe kule mapangoni huku akilishwa nyama za nyani),by the way ndg zako FDLR umeona wanavyokamatwa kama kuku,hata juzi wamedakwa wawili wako wanasubiri kupata haki yao.

Hahah ni kweli kabisaa kwny 2nd congo war interahamwe walishinda vita mpk wakaweza kumuondoa Kagame na sasa wanatawala huko Rwanda huku chama tawala kikiwa FDLR na rais akiwa ni Felicien Kabuga huku waziri mkuu ni Yule mama interahamwe aliyefungwa Ingabire,big up sana kwenu.

Kama kawaida Mende hua wanatembea usiku kwa usiku muda ambako mmelala,na hivi sheria huko Rwanda zimepitishwa za wananchi kuruhusiwa kumiliki silaha(najua hujui kwanini ilipitishwa) inasubiriwa filimbi tu muanzishe chokochoko kama za 94' uone 20% ya population iliyogawiwa silaha za kivita ikipambana na 80% iliyozoea kutumia mapanga,mashoka na kubaka wakina mama,watoto na wazee(cowards).
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,381
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,381 2,000
Mimi mwenyewe nilijua huna ubavu wa kuleta facts bila personal attacks maana interahamwe zimezoea kutumia manguvu bila akili.
Una stress za kupoteza ndugu kwenye genocide sio bure..... Facts si nimeweka hapo za world bank,UN na IBUKA si ukasearch kokote uone kama hazipo accurate??

Wwe jibu swali mlikuwa laki 9 na survivors walikuwa laki 4 alafu Genocide walikufa million 1

Je hao laki 5 wengine waliokufa walikuwa kabila gani?? Jibu kwanza hili kama una ubavu we cockroach sio unajitutumua tu wakati hata nkuruzinza mmemshindwa!! You Embiciles au unadhani watutsi ni Rwanda tu.

Huko burundi mmeitawala nchi mkidhani ya baba yenu ila tunajua wote nni kimetokea leo hii mmebaki minority.... Vipi wanyamulenge chini ya Mutebuzi walifanikiwa kuichukua kivu kuifanya koloni lao?? Vipi wahema walifanikiwa kuichukua Bunia kuwa koloni lao chini ya Ntaganda??

Kama huko kote mlifutwa rest assured Rwanda na Ug mtafutwa tu, narudia tena sio leo ama sio kesho ila siku yenu inakuja tuombe tu uhai ntarudi kukumbusha humu.

Anyway jibu hilo swali we cockroach
 
Tuliza mbumbuzi we interahamwe,kufanya discussion na wanuka damu ni kazi sana kila saa wanakua wako standby kutafuta panga au kuanza kubaka wanawake na watoto(cowards).

Kumbe unamuongelea interahamwe mwenzako wa Burundi aliyepinduliwa akiwa Tz fasta tu JW ikaenda kumsaidia kurudi madarakani,fala yule tangu siku hiyo mpk leo amejifungia ndani ya nchi tu hata kusafiri kwa siku 1 hawezi.

Na majuzi kahamisha makao makuu ya serikali yake eti yapo karibu na boarder ya kutoka Rwanda anaogopa akishambuliwa atafikiwa fasta tu(hizo ndizo akili za interahamwe),boss wake Kagame yuko zake na ma tours kila siku huko duniani na hata jana alikua zake huko states hana muda na hizo interahamwe.Mwambie pierre asafiri hata siku 2 kuja hapa Tz kama hajajikuta amekua raia wa kawaida.

Hivi huko kwa pierre interahamwe mnaishije kuna hata investors kweli,ila si mmeshazoea maisha magumu nyie?Ila tunashukuru maana interahamwe mna nguvu sana za mwili cz mkoa kigoma unapendeza sababu ya nguvu zenu maana nyie si ndio vibarua huko mashambani Kigoma(unalima hekari 4,ujira wako ni elfu 40 jinga kabisaa,hahah pigeni kazi ila muache kuteka mabus huko Kigoma na kuteka maduka ya watu(nadhani nyie kuua ua ipo kwny damu yenu) na mtaendelea kufa kama mnavyokufa sasa hivi.

Mlishindwa kuwafuta mkiwa na serikali mtakuja kuwafuta mkiwa masikini hohehahe? mnachojua nyie ni kubaka tu wakina mama wa kikongo na kuendelea kuishi huko maporini.

Hivi siku bado interahamwe mnazaliana kwa wingi ili mrudi kuijaza nchi yenu ya ahadi?

Cowards.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000
Hivi kabuga bado yupo hai?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Nadhani atakuwepo maana hata majuzi marekani imesema ile $5mil kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwa kabuga iko pale pale.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,381
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,381 2,000
Tuliza mbumbuzi we interahamwe,kufanya discussion na wanuka damu ni kazi sana kila saa wanakua wako standby kutafuta panga au kuanza kubaka wanawake na watoto(cowards).

Kumbe unamuongelea interahamwe mwenzako wa Burundi aliyepinduliwa akiwa Tz fasta tu JW ikaenda kumsaidia kurudi madarakani,fala yule tangu siku hiyo mpk leo amejifungia ndani ya nchi tu hata kusafiri kwa siku 1 hawezi.

Na majuzi kahamisha makao makuu ya serikali yake eti yapo karibu na boarder ya kutoka Rwanda anaogopa akishambuliwa atafikiwa fasta tu(hizo ndizo akili za interahamwe),boss wake Kagame yuko zake na ma tours kila siku huko duniani na hata jana alikua zake huko states hana muda na hizo interahamwe.Mwambie pierre asafiri hata siku 2 kuja hapa Tz kama hajajikuta amekua raia wa kawaida.

Hivi huko kwa pierre interahamwe mnaishije kuna hata investors kweli,ila si mmeshazoea maisha magumu nyie?Ila tunashukuru maana interahamwe mna nguvu sana za mwili cz mkoa kigoma unapendeza sababu ya nguvu zenu maana nyie si ndio vibarua huko mashambani Kigoma(unalima hekari 4,ujira wako ni elfu 40 jinga kabisaa,hahah pigeni kazi ila muache kuteka mabus huko Kigoma na kuteka maduka ya watu(nadhani nyie kuua ua ipo kwny damu yenu) na mtaendelea kufa kama mnavyokufa sasa hivi.

Mlishindwa kuwafuta mkiwa na serikali mtakuja kuwafuta mkiwa masikini hohehahe? mnachojua nyie ni kubaka tu wakina mama wa kikongo na kuendelea kuishi huko maporini.

Hivi siku bado interahamwe mnazaliana kwa wingi ili mrudi kuijaza nchi yenu ya ahadi?

Cowards.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jibu hoja acha kuzunguka.... Aliyekwambia mimi Mhutu nani we cockroach??

Umeulizwa je laki 5 wasio watutsi waliokufa walikuwa kabila gani

Embu jibu kwanza hili usitafute pa kujificha we inyezi
 
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
4,906
Points
2,000
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
4,906 2,000
Wewe umeniambia'Sasa nishauri nikuamini wewe Tutsi extremist wa mitandaoni au mwanajeshi aliyekuwa front kabisa hiyo 1994???

Na mimi nakujibu ifuatavyo:

Since umekuja na data zako uchawara na ukaona unifanyie person attack kama kawaida ya interahamwe zilivyo,ngoja nikujibu in accordance.

Kabla sijajibu chochote na mimi nikuulize wewe ni mhutu extremist ambao mnanuka damu mlizoua huko Rwanda,Congo ambao mmekuja kuichafua nchi ya Tz kwa kuteka mabus huko Kahama na Kigoma,kwa kuendelea kuwawinda watusi wakiwa Tz kwenye makambi au wewe ni wale FAR mnaotafutwa na ICTR na mmejificha huko Congo?

Then jibu linalofuata ni hili:
1.Maadhimisho yataendelea kua Genocide againist tutsi kama kawa.

2.Mjitahidi mwende shule kwa wingi ili mpunguze Ideology zenu za mauaji(ingawa kwa hili siwalaumu sana maana inaonekana akili za darasani kidogo hamkubarikiwa sana na mnapendelea kazi za kutumia nguvu kama kuchinja watu,kulima masaa 24,kufagia mabarabarami huko Rwanda,Kuchunga ng'ombe za hao mliowachinja).

3.Kagame is there to stay na hamma kitu mtafanya kuhusiana na hilo(anasubiri zile 10 commandments zenu mzitekeleze iwe zamu ya Genocide againist interahamwe).
Mkuu umetuangusha tuliokua tunasoma hoja zenu.
Nafikiri ulidhani kwa question zile zitto hawezi kujibu
Mkuu wangu endeleza hoja maana ulichokiandika chote ni maneno ya chuki tupu..
Kagame is there to stay, wahutu elimu ndogo bla bla blaaa
Kwa mtindo huu hapana shaka ndio maana waliamua kustrike back ...watutsi mnajiona km special race eeh (full of yourselves)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000
Mkuu umetuangusha tuliokua tunasoma hoja zenu.
Nafikiri ulidhani kwa question zile zitto hawezi kujibu
Mkuu wangu endeleza hoja maana ulichokiandika chote ni maneno ya chuki tupu..
Kagame is there to stay, wahutu elimu ndogo bla bla blaaa
Kwa mtindo huu hapana shaka ndio maana waliamua kustrike back ...watutsi mnajiona km special race eeh (full of yourselves)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuona wkt nashusha facts hapo jamaa ameanza kuniita tutsi extremist?

Ulivyoona mbona hukumwambia atulie aendeleze mjadala ulioko mezani?

So nawewe dada wa Musoma unataka kuyashabikia ya wahutu na watutsi?Ngoja nikwambie kitu kidogo.

Unajua kwanini wewe sitasumbuka kukujibu sana?Sababu najua una stress zako(kuna thread 1 humu ulisema utotoni kwako wazazi wako sijui walifanya uzembe gani mpk ukapata ulemavu unaokutesa mpk leo,au umesahau?pole sana kwa tatizo hilo.

Ila huo ulemavu ungekua nao huko Rwanda wkt wa genocide,nakuhakikishia wahutu wangekubaka vzr sana mpk ungefirw.a juu that's facts khs hao unaowatetea.

Haya tuendelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000
Jibu hoja acha kuzunguka.... Aliyekwambia mimi Mhutu nani we cockroach??

Umeulizwa je laki 5 wasio watutsi waliokufa walikuwa kabila gani

Embu jibu kwanza hili usitafute pa kujificha we inyezi
Tulia wewe interahamwe,hapo umeshikilia panga au jambia?Au leo hujapata mama wa kubaka huko porini?

Cheki story ya interahamwe nyenzako.

MIAKA 25 YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA:JEAN CLAUDE AOMBA RADHI BAADA YA KUUA WATU WENGI:

16 April 2019

Jean Claude Ntambara amekiri kuua idadi kubwa ya watu katika kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

serikali ya nchi hiyo imesema imelipa kipaumbele swala la umoja na maridhiano miongoni mwa wananchi wake ambapo waliotekeleza mauaji na kuomba msamaha waliachiwa huru.

Miongoni mwao ni Jean Claude Ntambara ambaye yeye binafsi amekiri kuua idadi kubwa ya watu.

Aliachiwa huru na sasa anaomba msamaha kila mpita njia kwa kutojua alimkosea nani. Mwandishi wa BBC, Yves Bucyana alikutana naye na kumuelezea masaibu yake.

Ni katika kijiji cha Bugesera, si mbali na mpaka wa Burundi,ni miongoni mwa vijiji vilivyoshuhudia mauaji ya kupindukia dhidi ya watutsi mwaka 1994 nchini Rwanda.

Hapa ndipo nilimkuta Bwana Jean Claude Ntambara akiwa nyumbani kwake: ''Nakumbuka kwamba baada ya taarifa kwamba ndege ya aliyekuwa rais Habyarimana kuanguka wananchi wengi wa kabila la watutsi walikimbilia baadhi katika ofisi ya wilaya,wengine makanisani.

Amri ilitolewa kutoka kwa wakubwa zetu tukazingira wananchi hao sehemu walikojificha na kuanza kufyatua risasi. Kwa kuwa walikuwa wengi tulitumia hata guruneti.

Binafsi siwezi kujua niliuwa watu wangapi,bunduki niliyokuwa nayo ilikuwa ya risasi 10 lakini zikiisha nilikuwa naweka zingine, ukweli ni kwamba niliuwa watu wengi.''

Yeye alikuwa afisa wa polisi kabla na wakati wa mauaji ya kimbari, lakini anasema mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi yaliandaliwa mapema kiasi kwamba mwaka 92 eneo hilo kulitokea kile alichokitaja kama jaribio la mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi.

''Tulianza kufundishwa chuki dhidi ya watutsi tangu zamani. Binafsi majirani zangu wote walikuwa watutsi na sikuwa na chuki dhidi yao,lakini viongozi wa wakati huo walianza kutufundisha kuchukia majirani zetu.

Nakumbuka kwamba mwaka 1992 hata kabla ya mauaji ya kimbari yenyewe tuliombwa kufanya majaribio. Watutsi wengi waliuawa ,nyumba zao zikachomwa moto. Wakati huo nilikuwa afisa wa polisi lakini mimi na viongozi wengine tulisimamia mauaji hayo ilihali tulikuwa na uwezo wa kuyazuia.''

Kutokana na idadi kubwa ya wahutu walioshiriki mauaji ya kimbari serikali ilianzisha mfumo wa mahakama za jadi maarufu Gacaca mwaka 2002 zilizowahukumu watu wengi.

Lengo kubwa likiwa ni kusaka maridhiano kwa kutumia mkondo wa sheria. Utaratibu ulivyokuwa ni kwamba waliokiri na kusema ukweli kuhusu mauaji waliyofanya walisamehewa na adhabu zao kupunguzwa, Jean Claude Ntambara alikuwa miongoni mwao.

''Baada ya mauaji ya kimbari nilikimbilia Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo nikarejea nchini mwaka 2002. Nilikiri kwamba nilishiriki mauaji dhidi ya watutsi na kuomba msamaha. Nilipunguziwa adhabu nikahukumiwa kifungo cha miaka 14 lakini pia adhabu hiyo ilipunguzwa hadi miaka 7 nikifanyakazi zenye faida kwa taifa.

Mambo niliyoyafanya hayawezi kusamehewa na mpaka sasa naendelea kuomba msamaha hasa sehemu zote zenye mikusanyiko ya watu na kila mpita njia kwani nilikosea watu wengi.''alieleza Ntambara.

Alipozindua juma la kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari, Rais Paul Kagame alipongeza manusura wa mauaji ya kimbari kuchangia pakubwa katika juhudi za serikali za maridhiano kwa kutoa msamaha wa dhati kwa wahusika wa mauaji ya kimbari.

Source:Bbc swahili
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tutafikatu

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
1,726
Points
2,000
tutafikatu

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2011
1,726 2,000
Hii issue ya Rwanda namna inavyofanywa kuna uwezekano vita ikarudi baadaye, kila lawama zinapelekwa kwa wahutu.
 
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
4,906
Points
2,000
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
4,906 2,000
Hivi kwanini mnapendaga matusi
Hivi mimi na wewe nani ana mental disorder?
Mm sio mrwanda huwaga mara nyingi nategemea kusikia kutoka kwenu lakini nyie kitu kidogo matusi.kitu kidogo matusi, hii kitu kama mlikua hamjui inawafanya muonekane wapumbavu mno. Mi nnavyojua muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Mkuu hapa bongo ndo jumba la matusi, ila kwakua tunaongea mambo ya msingi huwa tunatumiaga lugha ya heshima.kwahiyo unaweza jibu fact matusi weka pembeni kwa 7bu hata tukianzisha ligi ya matusi haufiki mbali.
Hukuona wkt nashusha facts hapo jamaa ameanza kuniita tutsi extremist?

Ulivyoona mbona hukumwambia atulie aendeleze mjadala ulioko mezani?

So nawewe dada wa Musoma unataka kuyashabikia ya wahutu na watutsi?Ngoja nikwambie kitu kidogo.

Unajua kwanini wewe sitasumbuka kukujibu sana?Sababu najua una stress zako(kuna thread 1 humu ulisema utotoni kwako wazazi wako sijui walifanya uzembe gani mpk ukapata ulemavu unaokutesa mpk leo,au umesahau?pole sana kwa tatizo hilo.

Ila huo ulemavu ungekua nao huko Rwanda wkt wa genocide,nakuhakikishia wahutu wangekubaka vzr sana mpk ungefirw.a juu that's facts khs hao unaowatetea.

Haya tuendelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,978
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,978 2,000
Hivi kwanini mnapendaga matusi
Hivi mimi na wewe nani ana mental disorder?
Mm sio mrwanda huwaga mara nyingi nategemea kusikia kutoka kwenu lakini nyie kitu kidogo matusi.kitu kidogo matusi, hii kitu kama mlikua hamjui inawafanya muonekane wapumbavu mno. Mi nnavyojua muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Mkuu hapa bongo ndo jumba la matusi, ila kwakua tunaongea mambo ya msingi huwa tunatumiaga lugha ya heshima.kwahiyo unaweza jibu fact matusi weka pembeni kwa 7bu hata tukianzisha ligi ya matusi haufiki mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusi gani umetukanwa?

Kuambiwa kwamba kutokana na hali ya ulemavu uliyo nayo(very sorry) wkt wa Genocide interahamwe wasingekuacha ungebakwa na kufirw.a fresh tu kama walivofanywa wengine, hilo nalo ni tusi?

Haya lete hio ligi ya matusi hapa,nakusubiri kwa mikono miwili.

Ila nilichokuambia ni ukweli na nasisitiza tena wangekubaka na kukufir.a vzr tu bila shida yoyote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
4,906
Points
2,000
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
4,906 2,000
Tusi gani umetukanwa?

Kuambiwa kwamba kutokana na hali ya ulemavu uliyo nayo(very sorry) wkt wa Genocide interahamwe wasingekuacha ungebakwa na kufirw.a fresh tu kama walivofanywa wengine, hilo nalo ni tusi?

Haya lete hio ligi ya matusi hapa,nakusubiri kwa mikono miwili.

Ila nilichokuambia ni ukweli na nasisitiza tena wangekubaka na kukufir.a vzr tu bila shida yoyote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
daah mkuu una disorder ya matusi .
Jibu hoja tusiojua tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,381
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,381 2,000
Tulia wewe interahamwe,hapo umeshikilia panga au jambia?Au leo hujapata mama wa kubaka huko porini?

Cheki story ya interahamwe nyenzako.

MIAKA 25 YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA:JEAN CLAUDE AOMBA RADHI BAADA YA KUUA WATU WENGI:

16 April 2019

Jean Claude Ntambara amekiri kuua idadi kubwa ya watu katika kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

serikali ya nchi hiyo imesema imelipa kipaumbele swala la umoja na maridhiano miongoni mwa wananchi wake ambapo waliotekeleza mauaji na kuomba msamaha waliachiwa huru.

Miongoni mwao ni Jean Claude Ntambara ambaye yeye binafsi amekiri kuua idadi kubwa ya watu.

Aliachiwa huru na sasa anaomba msamaha kila mpita njia kwa kutojua alimkosea nani. Mwandishi wa BBC, Yves Bucyana alikutana naye na kumuelezea masaibu yake.

Ni katika kijiji cha Bugesera, si mbali na mpaka wa Burundi,ni miongoni mwa vijiji vilivyoshuhudia mauaji ya kupindukia dhidi ya watutsi mwaka 1994 nchini Rwanda.

Hapa ndipo nilimkuta Bwana Jean Claude Ntambara akiwa nyumbani kwake: ''Nakumbuka kwamba baada ya taarifa kwamba ndege ya aliyekuwa rais Habyarimana kuanguka wananchi wengi wa kabila la watutsi walikimbilia baadhi katika ofisi ya wilaya,wengine makanisani.

Amri ilitolewa kutoka kwa wakubwa zetu tukazingira wananchi hao sehemu walikojificha na kuanza kufyatua risasi. Kwa kuwa walikuwa wengi tulitumia hata guruneti.

Binafsi siwezi kujua niliuwa watu wangapi,bunduki niliyokuwa nayo ilikuwa ya risasi 10 lakini zikiisha nilikuwa naweka zingine, ukweli ni kwamba niliuwa watu wengi.''

Yeye alikuwa afisa wa polisi kabla na wakati wa mauaji ya kimbari, lakini anasema mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi yaliandaliwa mapema kiasi kwamba mwaka 92 eneo hilo kulitokea kile alichokitaja kama jaribio la mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi.

''Tulianza kufundishwa chuki dhidi ya watutsi tangu zamani. Binafsi majirani zangu wote walikuwa watutsi na sikuwa na chuki dhidi yao,lakini viongozi wa wakati huo walianza kutufundisha kuchukia majirani zetu.

Nakumbuka kwamba mwaka 1992 hata kabla ya mauaji ya kimbari yenyewe tuliombwa kufanya majaribio. Watutsi wengi waliuawa ,nyumba zao zikachomwa moto. Wakati huo nilikuwa afisa wa polisi lakini mimi na viongozi wengine tulisimamia mauaji hayo ilihali tulikuwa na uwezo wa kuyazuia.''

Kutokana na idadi kubwa ya wahutu walioshiriki mauaji ya kimbari serikali ilianzisha mfumo wa mahakama za jadi maarufu Gacaca mwaka 2002 zilizowahukumu watu wengi.

Lengo kubwa likiwa ni kusaka maridhiano kwa kutumia mkondo wa sheria. Utaratibu ulivyokuwa ni kwamba waliokiri na kusema ukweli kuhusu mauaji waliyofanya walisamehewa na adhabu zao kupunguzwa, Jean Claude Ntambara alikuwa miongoni mwao.

''Baada ya mauaji ya kimbari nilikimbilia Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo nikarejea nchini mwaka 2002. Nilikiri kwamba nilishiriki mauaji dhidi ya watutsi na kuomba msamaha. Nilipunguziwa adhabu nikahukumiwa kifungo cha miaka 14 lakini pia adhabu hiyo ilipunguzwa hadi miaka 7 nikifanyakazi zenye faida kwa taifa.

Mambo niliyoyafanya hayawezi kusamehewa na mpaka sasa naendelea kuomba msamaha hasa sehemu zote zenye mikusanyiko ya watu na kila mpita njia kwani nilikosea watu wengi.''alieleza Ntambara.

Alipozindua juma la kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari, Rais Paul Kagame alipongeza manusura wa mauaji ya kimbari kuchangia pakubwa katika juhudi za serikali za maridhiano kwa kutoa msamaha wa dhati kwa wahusika wa mauaji ya kimbari.

Source:Bbc swahili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ni vizuri ujibu swali acha kuzunguka..... Narudia tena

Rwanda mlikuwa milion 6
Tutsi 14% na Hutu 84%

Vifo vinakadiriwa kufika million 1

Taasisi ya IBUKA inasema tutsi survivors ni laki 4

900,000 Tutsi - 400,000 Tutsi survivors= 500,000 Tutsi deaths

Sasa 1,000,000 Dead- 500,000 Tutsi dead= 500,000 Non-Tutsi Death

SWALI= Je ni kabila gani hili ambalo sio la watutsi ila wamekufa 500,000??

Ukijibu hili swali utakuwa umetusaidia wana JF wote.
 
Forum statistics

Threads 1,285,036
Members 494,423
Posts 30,847,904
Top