Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,165
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,165 2,000
Inawezekana hata hawa wabongo wanaoua albino na kuua vikongwe kisa wana macho mekundu huko shy/mwanza/geita,wanaoteka watoto wadogo huko njombe na kuwanyofoa sehemu zao mbalimbali za mwili wakawa watusi na wahutu pia maana na wao wana roho mbaya sana na wanashinda kanisani/misikitini wakisali sana tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli ni hao hao walitoroka kwenye kambi zao kule mwese,katumba,mishamo na kambi zingine wamedhibitiwa kwenye mauaji ya tembo wamehamia huko.
Watashindwaje kufanya hivyo wakati tumewafuga nchini humu kwenye kambi kama kuku wa kisasa.
Tunahisi ndiyo hao hao wanaowaua watu hata huko kibiti na kwingine.

Umeliamsha na kulikoroga mwenyewe sharti ulinywe.Ni lini nyie wahutu na watusi mlipata roho nzuri. Nilijua utakuja kwa povu.
Alipopatikana rais mpya wa wahutu wote wakaamua kuondoka kambini kurudi kwao.Waliamua kukata migomba yote ya ndizi na kuweka chumvi wakidai watz ni wavivu wasibaki kufaidi ajabu kabla hawajafika kwao yule rais alichinjwa na ikabidi warudi tena tz.
Sasa kwa roho hiyo mbaya mtaachaje kutuua.

Mna roho mbaya nina ushahidi mwingi kuthibitisha roho mbaya yenu watusi na wahutu.Kaaaa kimya hujielewi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,165
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,165 2,000
Kwetu swanga miaka ya nyuma walifaulu wanafunzi wahutu na watusi kutoka kambi za mishamo,katumba na mwese wote wakachaguliwa kantalamba boys.
Waliishi pale kwa kuwindana kimyakimya ili wauane.Ilifikia hatua wakaliamsha shule ilichafuka mno hadi serikali kuingilia kati na kuwatawanya pale na tangu wakati huo serikali ikawa makini kwenye selection.
Hadi sasa kanisa analosali mhutu mtusi hawezi kusali hata kama wote ni wakatoliki ni mara chache mno.Vita ya watusi na wahutu ni kubwa mno.
Wahutu na watusi inabidi mponywe na damu ya yesu kristo muwe watu kwa sasa nyie ni zaidi ya wanyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,996
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,996 2,000

Aisee ni kweli kabisaa wahutu na watusi wana roho mbaya sana mpk wameua tembo wetu sana na mauaji ya tembo yamewatajirisha sana maana sasa wamekua wanamiliki biashara za ma-bus kama waarabu maana nasikia walikua washirika wenzao kwny hio biashara.

Kule kibiti ni hatari sana mkuu,wahutu na watusi walitisha sana kule mpk yule mwandishi wa habari Azory alipotezwa inabidi tuangalie vzr isije kua hata benny saanane walimpoteza wao maana jamaa roho yao sio ya dunia hii.

Daah aisee walivyokata hio migomba nadhani kilipatikana chakula cha ng'ombe cha kutosha na pia mabaki ya migomba nadhani yalitumika kama mbolea,ila walitisha sana sio kwa roho mbaya hio.Kwa hio walivyorudi mliwapokea kiongozi?

Kwa kweli kwa uliyosema hapo juu,nimesikitika sana sana sana mpk nimeshindwa kula na nime conclude jamaa wana roho mbaya sana na usikute hata huu ukame wa kipindi hiki umesababishwa na wao .

nasikia bado wanateka magari huko Kigoma itabidi tukiwakamata tuwape adhabu ya kwenda kupanda ile migomba waliyoikata kipindi wanarudi kwao au unaonaje boss?

Mifugo inachungwa porini haili hiyo migomba yako.Kwa ufupi uelewe kuwa waarabu pia wauaji wa tembo wameshiriki mno kuwatumia wao kuua na kuwauzia meno.
Itoshe kusema tu kuwa uhalifu unaofanywa nchini unachagizwa sana na wageni walitoroka na silaha huko.

Mnahitaji kuponywa muwe watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,996
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,996 2,000
Mifugo inachungwa porini haili hiyo migomba yako.Kwa ufupi uelewe kuwa waarabu pia wauaji wa tembo wameshiriki mno kuwatumia wao kuua na kuwauzia meno.
Itoshe kusema tu kuwa uhalifu unaofanywa nchini unachagizwa sana na wageni walitoroka na silaha huko.

Mnahitaji kuponywa muwe watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee unaongea point sana mkubwa kuna haja ya waarabu,wahutu na watusi wakaunganishwa wakawa kabila moja maana kumbe wanafana tabia.

Sijui warabu na wao silaha wanakua wametoroka nazo kutoka Kwao uarabuni au na pengine yule mwana wa mfalme anaemiliki ardhi kule loliondo atakua anawapa silaha waarabu wenzake wa hapa bongo.

Inabidi kuponywa sana hawa watu kwa kweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,165
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,165 2,000
Aisee unaongea point sana mkubwa kuna haja ya waarabu,wahutu na watusi wakaunganishwa wakawa kabila moja maana kumbe wanafana tabia.

Sijui warabu na wao silaha wanakua wametoroka nazo kutoka Kwao uarabuni au na pengine yule mwana wa mfalme anaemiliki ardhi kule loliondo atakua anawapa silaha waarabu wenzake wa hapa bongo.

Inabidi kuponywa sana hawa watu kwa kweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huna hoja ya kujitetea ukaeleweka.Hukatai wala hukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilamuruzi

kilamuruzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
780
Points
500
kilamuruzi

kilamuruzi

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
780 500
Wahutu wengi walikufa hawajahesabiwa pale ilikua niue kabla sijakuua,ni wahutu ndio walikua wahutu,so kiukweli tutsi waliperembwa sana,na uchache wao ndio hiyo propaganda inatumika mpk leo kwamba mauaji ilikua wafutike kabisa.
Sasa baada ya hapo fwatilia kilichotokea Congo hapo.Kayumba Nyamwasa akiwa incharge
Unajua issue ilikuwa hivi rdf inkotanyi walidai hata hao watutsi waliokuwa wakiishi rwanda wakati huo na ni wautu pia. Hile ya Nyamwasa ya pili huko Congo ilikuwa kuwatoa wachengezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,272
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,272 2,000
Hio ya mke wa JK kua na undugu na huyo rais aliyetunguliwa ilivujishwa na mtandao wa wiki leaks na hivyo vyombo vya habari vya Rwanda vikaandika kama wiki leaks walivyosema.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ss ina maana assange alimbwelesha info za kum link mke wa mhe. Na mwendazake wa rwanda
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,996
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,996 2,000
Ss ina maana assange alimbwelesha info za kum link mke wa mhe. Na mwendazake wa rwanda
Asange ndiye aliyesema hio mambo na wao waka copy kama ilivyo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,764
Points
2,000
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,764 2,000
Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya kimbali lakini wanaoadhimisha ni Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hakuna muhutu wala mtwah!Jamii nyingine haiwezi kufika pale kwakuwa kinachohubirwa ni chuki dhidi ya Jamii ya Hutu,Twah hivyo katika maadhimisho hayo si rahisi wakufika hapo kwani wanaonekana wao ndiyo waliua watutsi!Hata documentary zote ni za chuki Hata Rais Kagame alikuwa akitangaza kwa hasira sana. Hata ukiona rai yao ni MAUAJI YA KIMBALI DHIDI YA WATUTSI Sasa naona hawajamaa wanapanda mbegu mbaya kwa Jamii ya Wanyarwanda kwani ipo siku litaripuka.

Turudi nyuma ninani haswa aliendesha mauaji yakimbali baada ya Rais wa Rwanda kutunguliwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama lengo la mauaji ilikua ni kuua watutsi wote rwanda ulitaka haya maadhimisho yaitwe genocide ya wahutu/abhatwa? Wewe mhutu uliyekimbilia tanzania sasa wambie interahamwe wenzio mrudi mkapambane na kagame sio kuishia mtandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,697
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,697 2,000
Mfaransa ndio aliesababisha vita ile halafu mtu akilipua Paris na hasira za watu laki 8 waliokufa watashangaa
Wazungu ni wanafiki na sisi ni wapumbavu na wajinga
Wachochezi ni wao wenye tamaa za mali zetu na kuna wajinga wanaenda kutafuta misaada kwao kwa kuahidiwa kulindwa na wanaanza kuunda jeshi la uasi
Halafu baada ya miaka 15 wanakugeuka na kuchonganisha tena na wewe unauwawa na wananchi wako

Halafu anakuja mwingine tena na kutawala na wao wazungu wanachekelea kwa kuchota mali zetu mafala
Eti tunataka democracy don't make me laugh

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Gen Kagame na RPF wako nyuma ya hili sakata maanawalikusuka kulipua ndege iliyowabeba rais wa Rwanda na Burundi!! RPG iliyotumika ilitoka Uganda ambapo kageme alokua anapata msaada w kijeshi.
kiufupi wahutu wanazuiwa kuomboleza kwa kudaiwa ndo wauaju ipo siku watadai haki yak ya kuomblleza na hapo itazaliwa Rwanda mpya isiyokalika
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,697
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,697 2,000
Kwetu swanga miaka ya nyuma walifaulu wanafunzi wahutu na watusi kutoka kambi za mishamo,katumba na mwese wote wakachaguliwa kantalamba boys.
Waliishi pale kwa kuwindana kimyakimya ili wauane.Ilifikia hatua wakaliamsha shule ilichafuka mno hadi serikali kuingilia kati na kuwatawanya pale na tangu wakati huo serikali ikawa makini kwenye selection.
Hadi sasa kanisa analosali mhutu mtusi hawezi kusali hata kama wote ni wakatoliki ni mara chache mno.Vita ya watusi na wahutu ni kubwa mno.
Wahutu na watusi inabidi mponywe na damu ya yesu kristo muwe watu kwa sasa nyie ni zaidi ya wanyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishasikia Kagame anakaa meza moja na mpinzani wake never hawa jamaa wana roho mbaya tena ya kikatili..Kagame ni icone katika mauaji ya kimbari 1994 lakini ukitaja jina lake ujue kifo kiko karibuni!

Hawa jamaa hata tuwape nchi ya Tz yenye ardhi kubwa bado watapigana tuu.
Miak 25 imepita baada ya maomnolezo je huu ni ufahari ahu kukumbusha huzuni?
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,165
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,165 2,000
Uloshasikia Kagame anakaa meza moja na mpinzani wake never hawa jamaa wana roho mbaya tena ya kikatili..Kagame ni icone katika mauaji ya kimbari 1994 lakini ukitaja jina lake ujue kifo koko karibuni!

Hawa jamaa hata tuwape nchi ya Tz yenye ardhi kubwa bado warapigana tuu
Umesema kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,785
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,785 2,000
Gen Kagame na RPF wako nyuma ya hili sakata maanawalikusuka kulipua ndege iliyowabeba rais wa Rwanda na Burundi!! RPG iliyotumika ilitoka Uganda ambapo kageme alokua anapata msaada w kijeshi.
kiufupi wahutu wanazuiwa kuomboleza kwa kudaiwa ndo wauaju ipo siku watadai haki yak ya kuomblleza na hapo itazaliwa Rwanda mpya isiyokalika
Hilo halina shaka kuwa mtuhumiwa mkuu ni yeye
Kitanuka tu tena hapo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,390
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,390 2,000
Mauaji ya Kimbari ni dhidi ya Watutsi japo inawezekana wasio Watutsi waliuawa

Kundi la Interahamwe lilikuwa la Kihutu na liliua Watutsi japo RPF chini ya Generali Kagame nayo iliua Wahutu kadhaa

Anaeshinda vita Siku zote sio huwa Mwandishi wa vita husika

Unadhan kwenye Second World War Adolf Hitler ndio angeshinda ile Vita angeitwa Muuaji katili wa muda Wote?

Hata sie 1978-79 Iddy Amin angefanikiwa kwenye ile vita Julius Nyerere ndio angeitwa Muuaji katili anaekula vichwa vya Watu
Toka nmejiunga JF leo ndio nimekuelewa sana
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,390
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,390 2,000
Na huo ndio ukweli,kwanza hao wahutu washukuru Kagame alikua moderate kuna watutsi ni hardliners pale RPF wangewamaliza hao wahutu kama sio Kagame kuwatuliza na kuwaua baadhi ya watutsi wenzake humo humo ndani waliokua wana kiu ya kulipa kisasi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ni lini kagame amezuia vifo vya wahutu?? Hivi kwenye 1st na 2nd congo war unajua wahutu wangapi waliuawa mashariki ya DRC...... Unajua mara baada ya RPF kutwaa nchi wahutu waliokimbilia mpakani na DRC na kwenye makambi wangapi waliuawa kwa kisingizio cha "waasi"?? Hvi unafahamu kwenye uvamizi wa ruhengeri wahutu wangapi walikufa??

Wahutu walikuwa na jeshi na watutsi walikua na jeshi so kila mmoja aliua kwa fursa aliopata..... So sio tutsi genocide pekee maana hata watutsi waliokufa hawafikii idadi ya wahutu waliokufa ssa iweje iitwe genocide against tutsi??

Siku kagame akistaafu ndio yatajulikana tu sahivi kwakuwa ''mtawala'' ni huyo huyo toka genocide hadi leo ndio maana tunalishwa propaganda hizi....
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,996
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,996 2,000
Mkuu ni lini kagame amezuia vifo vya wahutu?? Hivi kwenye 1st na 2nd congo war unajua wahutu wangapi waliuawa mashariki ya DRC...... Unajua mara baada ya RPF kutwaa nchi wahutu waliokimbilia mpakani na DRC na kwenye makambi wangapi waliuawa kwa kisingizio cha "waasi"?? Hvi unafahamu kwenye uvamizi wa ruhengeri wahutu wangapi walikufa??

Wahutu walikuwa na jeshi na watutsi walikua na jeshi so kila mmoja aliua kwa fursa aliopata..... So sio tutsi genocide pekee maana hata watutsi waliokufa hawafikii idadi ya wahutu waliokufa ssa iweje iitwe genocide against tutsi??

Siku kagame akistaafu ndio yatajulikana tu sahivi kwakuwa ''mtawala'' ni huyo huyo toka genocide hadi leo ndio maana tunalishwa propaganda hizi....
Hivi chanzo cha 1st congo war kilikua ni nini mkuu?

Si ni hao hao interahamwe/wahutu kutoka huko congo mafichoni kwao na kuja kuwashambulia watusi ndani ya Rwanda na kurudi huko Congo walikojificha.

Unajua maana ya TOTAL WAR STRATEGY?

HIi ni technic iliyokua inatumiwa na jeshi la Ufaransa ktk vita na technic hii wafaransa waliwafundisha FAR na hao interahamwe kuitumia.Itafute ujue inatumikaje.

Technic hio iliwasaidia hao interahamwe kuondoka na population kubwa kuelekea Congo na hapo hapo wakimbizi wa kitusi wakiwa huko Congo na tena interahamwe wakiendelea kuwaua huko huko ulitaka RPF ifanye nini kurudisha watu wake Rwanda?Tena hapa unaongelea watu waliogeuza makambi ya wakimbizi kama training camps?

Hahah kwamba wahutu waliouwawa wanazidi idadi ya watusi waliouwawa that's the best joke off all the time.Hivi hao wahutu waliokua wanauwawa huko Congo na Rpf hivi walikua wanauwawa na kufichwa au?

Naweka hapa maeneo watusi walivyouwawa kwa maelfu na mpangilio wa matukio wewe utaweka maeneno wahutu walipouwa kwa maelfu na mpangilio:

April 1994:military was sent across the country, massacring anybody even suspected of being TUTSI.For weeks, TUTSIs men, women and children were systematically hunted and killed across Rwanda. The police and military encouraged private Hutu civilians to participate, and at times even forced Hutu people to rape and murder TUTSI neighbors.

April 9, 1994: Massacre at Gikondo - hundreds of TUTSIs are killed in the Pallottine Missionary Catholic Church. Since the killers were clearly targeting only TUTSI,the Gikondo massacre was the first clear sign that a genocide was occurring.

April 15-16, 1994: Massacre at the Nyarubuye Roman Catholic Church - thousands of TUTSIs are killed, first by grenades and guns and then by machetes and clubs.

April 18, 1994: The Kibuye Massacres. An estimated 12,000 TUTSIs are killed after sheltering at the Gatwaro stadium in Gitesi.

April 18,1994:Another 50,000 TUTSI are killed in the hills of Bisesero. More are killed in the town's hospital and church.

May 17 -The U.N. agrees to send in 6,800 policemen, empowered to defend civilians, while the killings of TUTSIs continues.

May 1994- half of a million Rwandans are murdered. With no help from other countries, TUTSIs continue to be murdered. By the middle of the month of May, the Red Cross states that between 500,000 to 1,000,000 people have been killed roughly 75% of the total TUTSIs population.

June 22, 1994:Operation Turquoise begins.
The UN sends 2,500 French troops to Rwanda to create a safe zone. The action, called Operation Turquoise, is not successful as TUTSIs continue to be killed in the safe zone.

1995:Refugee camps in Zaire fall under the control of the Hutu militias responsible for the genocide in Rwanda.

1995:Extremist Hutu militias and Zairean government forces attack local Zairean Banyamulenge TUTSIs,Zaire attempts to force refugees back into Rwanda.

1996 - Rwandan troops invade and attack Hutu militia-dominated camps in Zaire in order to drive home the refugees.

Haya na wewe niwekee matukio ya namna RPF walivyowaua wahutu na hayo maeneo kuanzia wakiwa ndani ya Rwanda mpk wakiwa Congo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
U

Umslopagas

Senior Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
141
Points
195
U

Umslopagas

Senior Member
Joined Jun 13, 2013
141 195
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?
Hebu jaribu kuchunguza ukweli huu, Hii Ndege ilidunguliwa na kombola na ikaanguka ndani ya makazi ya Rais Habyarimana mwenyewe. sasa kama taifa liko vitani, unadhani ni mtu yeyote anaweza kufika ndani au jirani ya makazi ya raisi? unadhani kupeleka kombola la kuangushia ndege hadi maeneo anayo kaa Rais wa nchi ni kiru rahisi? hapo ndio utajua ni nani aritungua hiyo ndege>
 
Forum statistics

Threads 1,285,932
Members 494,834
Posts 30,879,374
Top