Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,919
Kwahiyo hapa unaamini kwamba umejibu swali nililouliza? Waswahili mna shida sana.Hebu jaribu kuchunguza ukweli huu, Hii Ndege ilidunguliwa na kombola na ikaanguka ndani ya makazi ya Rais Habyarimana mwenyewe. sasa kama taifa liko vitani, unadhani ni mtu yeyote anaweza kufika ndani au jirani ya makazi ya raisi? unadhani kupeleka kombola la kuangushia ndege hadi maeneo anayo kaa Rais wa nchi ni kiru rahisi? hapo ndio utajua ni nani aritungua hiyo ndege>