Tunajifunza nini kutoka Ivory Coast?

Tunajifunza nini kutoka Ivory Coast?

Braza acha kubishana na wasomi ****** , wasio penda kufanya research , kazi yao kupokea pasina kufanya upembuzi yakinifu, hakika hii ni hatari kwa taifa letu.
Nimekuelewa kaka, nimeshaona hilo wengine wameanza hata kunitukana as if nimemtukana mleta mada.
 
Ungekuwa na busara nawe ungekuja na uzi wako unaomhusu Ouattara na kuainisha vitu ambavyo wa Ivory Coast walimpinga? Na ungesema ni kwanini wa Ivory Coast walimchoka na kumtaka Gbagbo ang'atuke na kwa mtazamo wako unadhani walikuwa sawa kufanya hivyo au wangeendelea kuvumilia?
We jamaa umeona Jamaa alichokiandika, ulitaka asapoti tu yeye ameotoa maoni kutokana Na Mada husika ndugu, yuko sahihi.
na Nahisi wee ndo mwenye tatizo kwakuwa hautaki kufikiri kilichoandikwa wabaki kukubali tu,bila kuatafakari man.
 
Lengo si kuleta uzi kuanisha bali ni kuweka sawa nini Malisa kaandika. Ndiyo maana unachangia maana kuna maana umeona na kila unapocomment unapata elimu zaidi.
Kwa mtazamo wako wewe ndo unafikiri hivyo ila umepotoka
 
Nimekuelewa kaka, nimeshaona hilo wengine wameanza hata kunitukana as if nimemtukana mleta mada.
Keep going Braza Thinkers tupo, Tunakuelewaa, Usichoke kuwapa Elimu Ipo siku Wataelemika.
 
We jamaa umeona Jamaa alichokiandika, ulitaka asapoti tu yeye ameotoa maoni kutokana Na Mada husika ndugu, yuko sahihi.
na Nahisi wee ndo mwenye tatizo kwakuwa hautaki kufikiri kilichoandikwa wabaki kukubali tu,bila kuatafakari man.
Yupo sahihi kwa mujibu wa ubongo wako..na wewe unaamini Gbagbo alikuwa sahihi kuliko Ouattara?
 
Nawe Unaamini alichokiandika Marisa kina Usahihi?come on Man soma tafakari ndo uchukue Hatua.
Nimechukua hatua ndomana alichokileta mtoa mada hakina mashiko..mwenzie Malisa katoa karibu 80%ya ukweli kuhusu utawala wa Gbagbo akidokeza na mambo ya uvunjaji wa sheria ambayo viongozi wa Afrika wengi wanatoka madarakani kwa aibu mfano Gbagbo,Gadafi
 
ok, Umehakiki kwa kukusanya Data za Kutosha Paisna shaka ndani yake ukasema jamaa ametoa 80% ya ukweli.
 
Mau Mau said:
Duuuh dr Ndalichako ****** bado wengi huku mjini

Mkuu ndalichako bado ana kazi kubwa sana...namuonea hata huruma kwa hilo zigo alilotwishwa...Mungu amsaidie tu kwa kweli maana....khaaa
 
Tunajifunza kuwa siku zote mwisho wa udikteta ni aibu.Mfano ni Gbabgo, Nduli Idi Amin, Gaddaffi na Saddam.
 
IMG-20160407-WA0002-2.jpg
 
We jamaa umeona Jamaa alichokiandika, ulitaka asapoti tu yeye ameotoa maoni kutokana Na Mada husika ndugu, yuko sahihi.
na Nahisi wee ndo mwenye tatizo kwakuwa hautaki kufikiri kilichoandikwa wabaki kukubali tu,bila kuatafakari man.
Mimi siyo jamaa! Mimi nafikiri ndomana nimempinga na usitake na mimi nikubali ujinga alioandika kama wewe ulivyokubali siku nyingine usipende kushikiwa akili
 
ok, Umehakiki kwa kukusanya Data za Kutosha Paisna shaka ndani yake ukasema jamaa ametoa 80% ya ukweli.
Ndiyo nimehakiki na ndo yaliyomkuta Gbagbo na wenzie halafu ndo ujue kuna kitu kinaitwa "You are next..
 
Back
Top Bottom