tzfanatic
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 626
- 382
kuna vitu kamwe hauwezi fikiria pekee , bila kuwa na data za kutosha yeye ametoa kile anachokifahamu kwa ushaidi wa maandishi ukapinga, kuhusu suala la laurent je umerifuatilia na kufanya upembuzi yakinifu, weka ukada pembeni ,fanya research then come to conclusion.Mimi siyo jamaa! Mimi nafikiri ndomana nimempinga na usitake na mimi nikubali ujinga alioandika kama wewe ulivyokubali siku nyingine usipende kushikiwa akili