Tunajifunza nini kutoka Ivory Coast?

Tunajifunza nini kutoka Ivory Coast?

Yaani kama hii stori hunaongeza chumvi,yaani ni kila kitu kama nchi Fulani hivi huko mashariki ya Africa,yaani alimkamata waziri Mkuu mstaafu aliyeamia upinzani, yaani hakujali uungewana wa waziri Mkuu,umesema alizuia upinzani kufanya siasa hadi uchaguzi?? Unasema alizuia maandamano ya wapinzani?? Tena umesema alizuia hata vyombo vya habari eti??? Kwa hiyo tunaweza kusema kuna nchi ya mashariki ya Africa huko YATAJIRUDIA HAYA ETI??
 
Mfano mzuri wenye nyumba yenye upendo huanza na wazazi sasa ukiongea hivyo unakosea tuliombee taifa liwe na umoja visas vibaya huoneshwa na watawala alivyosema ningekuwa mm nisinge toa mkono wangu kusain sasa hiyo sio chuki?
Alie kataa kumpa mkono mwenzie msibani sio chuki?
 
Alie kataa kumpa mkono mwenzie msibani sio chuki?


Nani aliyeonesha kukomaa kati ya shein magufuli na seifu? Na nani aliyekuja kuiendeleza chuki hapo?
 
Kipo kitu wanachoweza kujifunza raia wa nchi moja huko Afrika mashariki,japo wenyewe hawawezi uvumilivu wa kuuliwa wala wa kuandamana.
 
Tuvumiliane tu mda wa kubembelezana hatuna kwa sasa.


Kumbe ngoma droo hupaswi kulaumu chuki za wapinzani kwa serikali kwa kauli yako HAKUNA KUMBEMBELEZA MTU.
 
Kumbuka kabla ya uchaguzi huo,kulikuwa na serikali ya umoja wa kitaifa kati yake na aliyekuwa waziri mkuu wake ambaye anatokea kaskazini mwa nchi hiyo yenye wahamiaji wengi waislamu.
Kung'ang'ania kwake madaraka kumemgarimu lakini hakukuwa na muunganiko mkubwa wa raia wa dini zote.
Waliomuondoa Gbagbo ni waislamu wa kaskazini wakisaidiwa na wafaransa na ndo maana video nyingi zinawaonyesha wakipiga Takbiiir baada ya jamaa kuondolewa ikulu.
Kuna majeraha mengi hasa ya udini huko Ivory coast yanayohitaji tiba.
Kung'ang'ania madaraka ni kubaya lakini sioni cha kujifunza kwani kulikuwa na udini mwingi
Take 6/100; umepata bad fail kwa kulisoma swali vibaya.
 
Ndo kazi mliyobakiza...kufabricate stories ili muonekane mna akili nyingi...sijui serikali imelala usingz gani...watu kama hawa wanatakiwa kupotezwa mchana kweupe...ili wengine wajifunze kwamba simba akiloa anachezewa sharubu siyo mapumbu
 
Kuna mtu ana wasiwasi wa kukamatwa,sasa amekuja na mbinu za kusambaza vistori uchwara vya kuchochea ujinga kwa matumaini kuwa hatashughulikiwa. Ni fikra zangu tu
 
Mbona kama haka ka stori ni ka hapa home?
 
Take 6/100; umepata bad fail kwa kulisoma swali vibaya.
Natambua kabisa dhima ya hoja hiyo hapo juu LAKINI nimeamua kuchomeka hiyo ambayo wengi walikuwa hawaijui
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Uongo, waivory cost mpaka kesho wanampenda Gbagbo, Sema mkoloni Ufaransa alikuwa hamuhitaji tena.na katika makoloni ya Ufaransa, Ufaransa ikiwa haikutaki tena ndo mwisho wako
 
Kijijini kwetu tunasema: "Unapika kwa kutumia kuni"
 
Uongo, waivory cost mpaka kesho wanampenda Gbagbo, Sema mkoloni Ufaransa alikuwa hamuhitaji tena.na katika makoloni ya Ufaransa, Ufaransa ikiwa haikutaki tena ndo mwisho wako
Kwa takwimu zipi wewe?!! Kwanza wewe sio mu cote de'ivore kwa hiyo kumpenda au la wachana nako! swali ni je tunajifunza nini kwenye historia hiyo, relate what happened there then and what is happening elsewhere closer to home? Period.
 
Back
Top Bottom