Kama hutaki kosolewa ongoza familia yako na co nchi,huyo kiongozi wa familia akizinguwa anapewa za uso itakuwa wa nchi????
Jitahidi kutokuwa mjinga hasa ktk umr uliofikia ucje kufa nao
NA HUYO ASAD mbwembwe zake ziko wapi?Kama dhaifu ni dhaifu tu hata uwe mfalme,vp zile mbwembwe zake zipo tena yule mbilikimo wa Kongwa?????
Kawaida yenu kumtetea wa dini yenu. Mnatetea dini na sio katiba wala nchi.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida
Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa
And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Aheri ubinafsi wenye manufaa kwa Taifa,badala ya Ushirikiano wa kulifilisi Taifa!Magufuli alikuwa na uchungu kweli na maendeleo ya hii nchi. Shida ni pale alipoamini kuwa ni yeye pekee alikuwa anajua kila kitu. Ule ulikuwa ni ubinafsi.
Na kwani huyo Assad atabaki milele?Prof asad yupo. Ila yule kakufa zake
Kati ya hayo mengi unaweza kuyataja machache mkuu!?Unajua maana ya kiapo cha SITO TOA SIRI?
sasa Kwa mfano mtu anataka kuhatarisha usalama wa taifa zima unataka bado awepo Tu just because akitolewa katiba inavunjwa?
Kuna mambo mengi zaidi viongozi wanafanya Kwa ajili ya manufaa ya wanainchi
Hiyo kesi ilifunguliwa na nani mahakamani?
Kati ya hayo mengi unaweza kuyataja machache mkuu!?
Kama huyajui basi acha kufikiri kwa hisia
Watanzania tunataka kujua SINGASINGA jambazi ameachiwa huru na Samia kwa katiba na sheria gani ? Pia ununuzi wa mabehewa ya mitumba tena kwa bei kubwa sawa na bei ya mabehewa mapya ni sheria gani SAMIA KATUMIABaada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Kama Mahakama imetamka kuwa katiba/sheria hazikufuatwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.
labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022 (kwa kuzingatia katiba) lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT kwa kuzingatia Katiba na Sheria za nchi.
HAPA NA..!!Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida.
It doesn't matter alikuwa na kosa gani. Katiba imetanabaisha clearly namna ya kumwondoa ktk cheo cha kikatiba kiongozi yeyote..Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa..
Kosa la CAG Assad ni kuhoji uhamishaji wa fedha za umma kwenda kusikojulikana usiozingatia utaratibu wa kibajeti eti tu kwa sababu Rais kataka....And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Zipo njia sahihi za kudeal na mtu anayehatarisha usalama. Sio kwa staili ile. Hivi rais akihatarisha usalama tunamshughulikiaje?? Au tunamuachia Mungu ashughulike nae kama alivyofanya kwa Magu!Unajua maana ya kiapo cha SITO TOA SIRI?
sasa Kwa mfano mtu anataka kuhatarisha usalama wa taifa zima unataka bado awepo Tu just because akitolewa katiba inavunjwa?
Kuna mambo mengi zaidi viongozi wanafanya Kwa ajili ya manufaa ya wanainchi
Jambo Assad sio hisia mahakama imetoa maamuzi ajabu ni wewe kuleta hisia kwa jambo lenye uhalisia.Hakuna mwenye fact hapa, wote tunahisia tu
Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu,Rushwa ni adui wa haki Mungu alishakataa,Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu kwa manufaa yangu na jamii inayonizunguka na Binadamu wote ni sawa mbele ya sheria(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara ya 12 na 13)Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Kama Mahakama imetamka kuwa katiba/sheria hazikufuatwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.
labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022 (kwa kuzingatia katiba) lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT kwa kuzingatia Katiba na Sheria za nchi.
Ndiyo maana alikufa kifo cha ajabu.Huwezi kwenda Marekani kulisema bunge letu eti ni dhaifu alafu wewe ukajibatiza eti ni muhimili na bado Magufuli akakuangalia tu.
Yule alivunja Katiba kwa Benefits zake hasa kuifanya Chato kuwa makao makuu ya nchi.Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida
Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa
And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Mbona wenzie hawakufanya kama yeye pamoja na kuwa Katiba mbovu.Hukumu imetoka 2022.
Rejea nilichoandika mbali ya kuhoji nimesema kusikilizwa na kutolewa hukumu. Toka January 2020 hukumu imekuja kutolewa 2022. Inamaanisha ilichimbiwa chini ya uvungu.
Dhamira sio kumkandamiza Magufuli hapa hivyo hifadhi utetezi wako. Magufuli alikuwa muhanga (nasema muhanga sababu ya kupewa nguvu kubwa na katiba kupelekea makosa aliyofanya) wa madaraka makubwa kiasi cha kutia dosari dhamira yake njema ya uzalendo.
Endapo kungekuwa na katiba stahiki ambayo ingeweza kum control Magufuli kwa hakika angefanya makubwa zaidi pasikuwa na kasoro.
Nguvu nyingi humpa hata aliye muungwana kiburi.
Point sio Magufuli bali nguvu kubwa aliyopewa yeye, waliomtangulia na waliopo sasa na katiba iliyopo.