Tunajidanganya wanaume kuhusu wanawake mabikra

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,001
Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana kuwa bikra hata aolewe wewe ndio kiongozi.

Sasa basi iko hivi CHAMA CHA WANAUME TULIOWAHI KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI (CHAUBI) tumeamua kutoa thread hii ili kuelimisha watu iko hivi.

Mwanamke bikra atabaki kuwa mwanamke anaekuheshimu kwa kuwa wewe ndio uliefungua dimba ila hii haina maana kuwa hawezi kukuchwat kukucheat utapigwa sn tu na ata kukuacha anaweza na akiolewa anaweza kukupotezea tu nakwambia hivi sio kwamba nakadiria hapana it is real story nimewahi kukutana na mabikra watano na wote sipo nao.

Kuna mmoja nilishuhudia akipigwa mate mbele yangu ilikuwa kama saa 1 usiku hivi yeye hakujua kama mimi nipo eneo lile toka hapo mahusiano yetu yaliendelea lkn hayakuwa na afya kabisa mwisho tukachokana tukamwagana

Kuna mwingine nae baada ya kumtoa bikra alianza kunipelekesha nikirudi town utasikia baby pita hapo dukan unichukulie nazi nikikutana na tukiwa tunaongea mara akimbie kuna siku nikamwaga mpunga ikawa ndio ntolee hiyo

Kuna mwingine aliolewa toka hapo ndio basiiiii

Hivyo sisi km CHAUBI au CHAMA CHA WANAUME TULIOWAH KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI tunawashaur wanaume ambao hamjawahi kukutana na mabikra nchini muache kutafuta wanawake hao kwani hawana tofauti yoyote na wanawake hawa wa kawaida mpunguze kudanga mtulie mabikra sio watu kabisa

Asanten
 
S
what i know wanawake wote walikuwa bikra before hivyo kuongelea mwanamke bikra kama ni race fulani ya watu ni ujinga wa juu, makahaba nao walikuwa mabikra.
Sikia ww acha uzwauzwa jamii forum ni free public forum akuna aliewekewa mipaka aongelee kitu fulan kila mtu upo huru kuongea kile anachojisikia ukiona thread huielew jua haikuhusu ubikra wa mwanamke ni kitu cha thaman sn ukienda nch za kiarabu wanawake wapo radh kutoa tigo ili watunze bikra zao mabikra hawapatikan kirahis na hii ni kwa sababu wengi hupoteza bikra utoton sasa km ww hujawah kukutana na bikra na miugwadu yko imekupanda mpaka kichwan povu uclete hapa fungua thread yko
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom