Tunajidanganya wanaume kuhusu wanawake mabikra

Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana kuwa bikra hata aolewe wewe ndio kiongozi.

Sasa basi iko hivi CHAMA CHA WANAUME TULIOWAHI KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI (CHAUBI) tumeamua kutoa thread hii ili kuelimisha watu iko hivi.

Mwanamke bikra atabaki kuwa mwanamke anaekuheshimu kwa kuwa wewe ndio uliefungua dimba ila hii haina maana kuwa hawezi kukuchwat kukucheat utapigwa sn tu na ata kukuacha anaweza na akiolewa anaweza kukupotezea tu nakwambia hivi sio kwamba nakadiria hapana it is real story nimewahi kukutana na mabikra watano na wote sipo nao.

Kuna mmoja nilishuhudia akipigwa mate mbele yangu ilikuwa kama saa 1 usiku hivi yeye hakujua kama mimi nipo eneo lile toka hapo mahusiano yetu yaliendelea lkn hayakuwa na afya kabisa mwisho tukachokana tukamwagana

Kuna mwingine nae baada ya kumtoa bikra alianza kunipelekesha nikirudi town utasikia baby pita hapo dukan unichukulie nazi nikikutana na tukiwa tunaongea mara akimbie kuna siku nikamwaga mpunga ikawa ndio ntolee hiyo

Kuna mwingine aliolewa toka hapo ndio basiiiii

Hivyo sisi km CHAUBI au CHAMA CHA WANAUME TULIOWAH KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI tunawashaur wanaume ambao hamjawahi kukutana na mabikra nchini muache kutafuta wanawake hao kwani hawana tofauti yoyote na wanawake hawa wa kawaida mpunguze kudanga mtulie mabikra sio watu kabisa

Asanten
haaaa mjomba unataka vijana waoe tu wapeleke matatizo makwao
 
Haya mambo nadhani sio ya ku copy and paste ni mambo ya kihisia zaidi,sio kila mtoa bikra atapendwa milele na aliyemtoa inategemea tu alimpenda kiasi gani na penzi lao lilikuwa tamu kiasi gani kwa huyo aliyetolewa bikra,mi nishawahi toa bikra moja na wala muhusika hakunipenda kihivyo na tulimwagana mazima,lakini wapo wadada ambao sikuwabikiri ila mpaka leo wananipenda sana na wako ktk ndoa zao.mke wangu sikumkuta na bikra na aliniambia hana feelings na aliyembikiri ila nilikuja kugundua akiwa na stress za ndoa yetu huwa anamtafuta huyo jamaa aliyembikiri nashukuru jamaa alikufa kwa ajali kidogo nikapumua,kwahyo haya mambo sio ya kukariri each case is unique
 
wadau hapo nilipokoleza na kupaka rangi paeleweni vizuri kweli kweli!!!
 
Haya mambo nadhani sio ya ku copy and paste ni mambo ya kihisia zaidi,sio kila mtoa bikra atapendwa milele na aliyemtoa inategemea tu alimpenda kiasi gani na penzi lao lilikuwa tamu kiasi gani kwa huyo aliyetolewa bikra,mi nishawahi toa bikra moja na wala muhusika hakunipenda kihivyo na tulimwagana mazima,lakini wapo wadada ambao sikuwabikiri ila mpaka leo wananipenda sana na wako ktk ndoa zao.mke wangu sikumkuta na bikra na aliniambia hana feelings na aliyembikiri ila nilikuja kugundua akiwa na stress za ndoa yetu huwa anamtafuta huyo jamaa aliyembikiri nashukuru jamaa alikufa kwa ajali kidogo nikapumua,kwahyo haya mambo sio ya kukariri each case is unique
Ahahahaha kwahio umeshukuru sana mwamba kufa 😂😂😂
 
kusema ukweli mimi sijawahi kukutana na mwanamke bikra na hata niliyemuoa hakua bikra ila najivunia kuoa mwanamke kama huyu kwenye maisha yangu maana ana sifa zote za kua mwanamke na mtulivu ndani ya ndoa yetu.

sasa nikisema kuoa bikra kuna cha ziada au hakuna nitakua muongo.
ngoja nisome comments za watalaam

asante
Mkeo nilimtoa mimi BK
 
Siku mkijua kwanini Mungu alichagua mwanamke bikra(Maria) kwa ajili ya kuzaliwa kwa Yesu ndio mtaelewa kwanini men unatakiwa uoe bikra.but any way hebu fuatilia hao wanawake vizuri huenda ilitolewa kabla ila sema uke ukajifunga yaani kuwa mdogo kwa sababu yakutofanya ilo tendo mda mrefu kwa hiyo misuli ikasinyaa na kukaza sasa wewe umekuja kumgegeda ukaona damu ukazani umekutana na bikra.Binafsi ninavyojua bikra ni fikra,matendo,jumrisha na huko chini ila kama wewe ulikutana na ukamtoa siku ya kwanza halafu siku ya pili demu unaona kabisa anachangamkia dushe na kukata mauno kabisa aisee wewe kubali uliuziwa mbuzi kwenye gunia😂😂😂.halafu kingine malezi ya watoto wakike sikuizi wanalelewa kama wakiume tu ,unakuta binti wa miaka 9 amewai kuangalia porn au anasikia jinsi dada zake wakubwa wanachokifanya yani binti kama huyu akija hata kutolewa bikra baadae anakuwa anajua kila kitu kwa hiyo mambo ni yaleyale tofauti na past ambapo mabint hawa kuhusiwa kusikiliza mambo ya wakubwa hawajua chochote zaidi alifundishwa jinsi kutunza mume kwa hiyo ukisika bikra ni bikra kweli kuanzia fikra,matendo,mawazo na huko chini ndio maana walieshimu wame zao na kutokuchepuka tofauti na hawa wanaosoma topic za reproduction shuleni yeye akuwa anatambua kila kitu anakuwa amebakisha haja ya kuziburiwa tu kwa hiyo mkuu hii unachikiona ni kwa mabikra wasasa tu sio kwa bibi zetu 😎
 
Hivi vyama aisee,

Juzi nimekutana na Mshikaji wangu mmoja akaniambia yeye ni Katibu Mwenezi wa CHAMA CHA WANAOTUMA NA YA KUTOLEA TANZANIA (CHACHAYAKUTA).
Hivi vyama aisee,

Juzi nimekutana na Mshikaji wangu mmoja akaniambia yeye ni Katibu Mwenezi wa CHAMA CHA WANAOTUMA NA YA KUTOLEA TANZANIA (CHACHAYAKUTA).
Nimecheka kifala 😂😂
 
Back
Top Bottom