Tunajidanganya wanaume kuhusu wanawake mabikra

Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana kuwa bikra hata aolewe wewe ndio kiongozi.

Sasa basi iko hivi CHAMA CHA WANAUME TULIOWAHI KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI (CHAUBI) tumeamua kutoa thread hii ili kuelimisha watu iko hivi.

Mwanamke bikra atabaki kuwa mwanamke anaekuheshimu kwa kuwa wewe ndio uliefungua dimba ila hii haina maana kuwa hawezi kukuchwat kukucheat utapigwa sn tu na ata kukuacha anaweza na akiolewa anaweza kukupotezea tu nakwambia hivi sio kwamba nakadiria hapana it is real story nimewahi kukutana na mabikra watano na wote sipo nao.

Kuna mmoja nilishuhudia akipigwa mate mbele yangu ilikuwa kama saa 1 usiku hivi yeye hakujua kama mimi nipo eneo lile toka hapo mahusiano yetu yaliendelea lkn hayakuwa na afya kabisa mwisho tukachokana tukamwagana

Kuna mwingine nae baada ya kumtoa bikra alianza kunipelekesha nikirudi town utasikia baby pita hapo dukan unichukulie nazi nikikutana na tukiwa tunaongea mara akimbie kuna siku nikamwaga mpunga ikawa ndio ntolee hiyo

Kuna mwingine aliolewa toka hapo ndio basiiiii

Hivyo sisi km CHAUBI au CHAMA CHA WANAUME TULIOWAH KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI tunawashaur wanaume ambao hamjawahi kukutana na mabikra nchini muache kutafuta wanawake hao kwani hawana tofauti yoyote na wanawake hawa wa kawaida mpunguze kudanga mtulie mabikra sio watu kabisa

Asanten
Asa wewe unaleta stori za watoto. Yaani unatoa bikra wakati bado hujui hata kutafuta hela ya kulipia LUKU unaongelea habari za kuchitiwa?

Ongea kuhusu bikra ukishafikia hatua ya kutafuta mke... kwamba ushajipanga unaona ndo utafute bikra halafu uone. Bikra umpate ukiwa ni mwanaume wa miaka kuanzia 35 hivi ndo utajua thamani yake na kumthamini naye atakuthamini. Sio hizi bikra za unatoboa wakati uko sekondari kisa wewe kiranja wa bwalo.
 
kufa? Damn! Kipi cha kunifanya nife mkuu? Kwanza naelekea middle 20's ,pili sijaoa bado, tatu nina stable income, nne nimevunja bikra nne mpaka sasa na naona kuna nyengine zinakaribia kuongeza idadi .
Sasa wewe endele kuishi na mke wa mtu hapo home ,yaani kuvunja avunje kidume mwenzako halafu makombo unakuja kumaliza wewe? Cha kukwambia tu ni kuwa kuna immotional connection kati ya mvunjwa kwa mvunja.
Kiburi Cha uzima!!
 
bikra ni kitu cha muhimu sana, hata kuja kukusahau maisha yake yote, ndio maana tunasema oeni bikra muheshimiwe. ni sawa na mwanamke uliyeza naye hata kama sio mkeo, atakuheshimu milele hata kama usoni ataonyesha anakuchukia ila moyoni anakuona mtu wa muhimu sana.
 
sema bikra iwe bikra kweli, kuna mshikaji mmoja miaka hiyo, aliamba mbele ya wana kwamba mkewe alimkuta bikra, vijana wakaja juu ahaaa mbona alikuwa anagongwa na fulani kabla ya wewe kwenda kwake? sio mtu abane miguu ajifanye analiaa ukajua ni bikra, zitoke na damu kabisa, enzi za zamani walikuwa wanatandika shuka jeupe siku ya kwanza ya ndoa.wasipoona damu unarudishiwa kiasi cha mahali.
 
😂😂😂😂 kufa? Damn! Kipi cha kunifanya nife mkuu? Kwanza naelekea middle 20's ,pili sijaoa bado, tatu nina stable income, nne nimevunja bikra nne mpaka sasa na naona kuna nyengine zinakaribia kuongeza idadi .
Sasa wewe endele kuishi na mke wa mtu hapo home ,yaani kuvunja avunje kidume mwenzako halafu makombo unakuja kumaliza wewe? Cha kukwambia tu ni kuwa kuna immotional connection kati ya mvunjwa kwa mvunja.
Hao bikra wanne utawaoa.?
 
Kuna muda dyudyu moja itamchosha uyo bikra, atataka kuonja na ladha zingine.... Apo ndo balaa litaanzia
 
bikra ni kitu cha muhimu sana, hata kuja kukusahau maisha yake yote, ndio maana tunasema oeni bikra muheshimiwe. ni sawa na mwanamke uliyeza naye hata kama sio mkeo, atakuheshimu milele hata kama usoni ataonyesha anakuchukia ila moyoni anakuona mtu wa muhimu sana.
Mabikra wapo shule.
Ni nyala za serikali, hawaoleki.
Wakifikia kuolewa , njemba wampenda sifa wameshapitia.
Sifa, kutoa bikra, then whaaat.
 
Sina mengi ila kikubwa ni kwamba nilioa at late 20’s mwanamke wangu nilimkuta bikra tena nilikutana naye leo kesho nikaweka geto,kuja kukuta ni sealed ila sijawahi kutoa bikra so ya kwanza ni kwa wife.lakini kikubwa ni kumtanguliza mungu kwa kila jambo maana mi kwenye mahusiano sina historia nzuri lakini kwa sasa naenjoy life ,japo kipato kiasi na amani ya moyo (ndoa) naiyo tofauti na historia yangu ya uko nyuma, na mke wangu ananipenda na kuniheshim kwaiyo nachofanya nikutafuta tu hela ,kwa sasa kikosi 47 (kikosi cha mizinga ) wakijileta ni fix pumbu mbele ata mia apewi kabisa .
 
Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana kuwa bikra hata aolewe wewe ndio kiongozi.

Sasa basi iko hivi CHAMA CHA WANAUME TULIOWAHI KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI (CHAUBI) tumeamua kutoa thread hii ili kuelimisha watu iko hivi.

Mwanamke bikra atabaki kuwa mwanamke anaekuheshimu kwa kuwa wewe ndio uliefungua dimba ila hii haina maana kuwa hawezi kukuchwat kukucheat utapigwa sn tu na ata kukuacha anaweza na akiolewa anaweza kukupotezea tu nakwambia hivi sio kwamba nakadiria hapana it is real story nimewahi kukutana na mabikra watano na wote sipo nao.

Kuna mmoja nilishuhudia akipigwa mate mbele yangu ilikuwa kama saa 1 usiku hivi yeye hakujua kama mimi nipo eneo lile toka hapo mahusiano yetu yaliendelea lkn hayakuwa na afya kabisa mwisho tukachokana tukamwagana

Kuna mwingine nae baada ya kumtoa bikra alianza kunipelekesha nikirudi town utasikia baby pita hapo dukan unichukulie nazi nikikutana na tukiwa tunaongea mara akimbie kuna siku nikamwaga mpunga ikawa ndio ntolee hiyo

Kuna mwingine aliolewa toka hapo ndio basiiiii

Hivyo sisi km CHAUBI au CHAMA CHA WANAUME TULIOWAH KUKUTANA NA MABIKRA NCHINI tunawashaur wanaume ambao hamjawahi kukutana na mabikra nchini muache kutafuta wanawake hao kwani hawana tofauti yoyote na wanawake hawa wa kawaida mpunguze kudanga mtulie mabikra sio watu kabisa

Asanten
Bikra ya tiGo?
 
U've got the wrong side of the this virginity concept bro!

Mhuni kama wewe unaetoa bikra mabinti za watu katika casual relationships hutaona faida ya kumkuta yule binti kuwa ni bikra. Ila yule atakeyemuoa na kumkuta hana bikra ndo umempa tabu.

Thamani ya bikra ipo kwa mwanamke aliyeolewa akiwa bikra (ametolewa bikra katika mahusiano rasmi yenye dhamana ya kudumu). Huyu si rahisi kushawishika kuwa na mwanaume mwengine ikiwa mazingira mnayoishi si ya kishenzi. Danganyaneni mtakavyodanganyana, ila unapaswa kuelewa wanawake wanapenda kwa experience zaidi kuliko kutamani kwa kuona.

Mwanamke ambaye experience yake ya starehe za mapenzi ipo limited kwa mtu mmoja yupo more likely kuwa loyal kwa mumewe kuliko mwanamke ambaye experience yake ni pana zaidi. Kwani we unadhani nini sababu ya hili balaa tulilonalo sasa la wanaume wengi kukashifiwa na vibamia?

Kwenye social media na kila kona kumezagaa matangazo ya kutibu nguvu za kiume na kuondoa vibamia! ... ikiwa hili ni tatizo la wengi basi si kasoro tena hiyo bali ndo uhalisia wa mambo ulivyo! .. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba hili limekuwa tatizo the minute population kubwa ya wanawake imekuwa more experienced na sex through multiple relations! The best experience aliyopata mwanamke katika wengi aliotembea nao ndo itakayomfanya kuwa mtumwa kwake, sasa balaa iwe hiyo expeience hakuipata kwako!

We ukitaka salama katika hili tafuta mwanamke bikra, oa, na muishi maisha ya heshima na ustaarabu (normal life with limited exposure to sexual abusive contents i.e. porn na mazingiriza ya ushenzini)
 
Back
Top Bottom