Tunahitaji Welder/Fabricator pamoja Foundry Technician, nafasi tatu ( 3 ).

Habari mkuu,nikirejea kichwa cha habari, mimi ni certified welder(general fabrication) nina uzoefu wa miaka 20 kwenye field hiyo,nimefanya kazi nyingi kubwa kama ku fabricate steel godowns,silos,water storage tanks(up to 500,000 ltrs) na kazi ndogo ndogo pia isipokuwa kazi za grills na madirisha sifanyagi,asante nipo arusha mjini email logixholdings24@gmail.com
Kaka nitumie namba yako, nikupe maelekezo 🙏.
👉Uwe Ume andaa ki CV Cha mchongo.
 
😃🤔🤣🤣😂😂😃, Mkuu bandiko nime weka Mimi??
👉 Haya Mimi sio jobless, una taka nini ??
👉Sio jukumu langu kukupa ajira Kaka, just chill dude.
Nachotaka uache ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kuombaomba CV zawatu huku unajua hauna huuwezo huo wakuwasaidia
Ni hivyo tu.
 
Nachotaka uache ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kuombaomba CV zawatu huku unajua hauna huuwezo huo wakuwasaidia
Ni hivyo tu.
Mkuu una nifurahisha Sana, trust me kupitiaa post zangu Kuna watu zaidi ya wa5 wame chukuliwa.
👉So chill bro, Afu hamna msaada hapa, ni issue za kusapotiana tu🙏🙏
 
mkuu naomba kuwa fundi msaidizi mkuu nina idea ya welder naimani baada ya mda mfupi nitakuwa naweza kumudu majukum kikamilifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom