Tunahitaji wafanyakazi wa kike/Kiume kuhudumu katika pub iliyopo Kinondoni, barabara ya Mwananyamala Dar es Salaam; awe na elimu ya kidato cha 4 au Cheti; uzoefu wa Kazi; umri miaka 18 hadi 30. Kama una sifa tajwa tafadhali ni PM Kwa maelekezo zaidi. Vigezo na mashariti kuzingatiwa.