PreGE2025 Tunahitaji Reforms ili uchaguzi wa Haki Ufanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
Kikwete alisema CCM wapambane wenyewe na wala wasitegemee police. Waliopo sasa wanajua wanachokifanya kilicho asisiwa na Jiwe.
 
wakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
Kufa kwa cdm imeshashindikana. Na kama kimekufa ndio muda mzuri sheria zingerekebishwa ziache kuipendelea ccm kisha uje kuleta mrejesho hapa.
 
lengo la chama chochote ni kushika uongozi ndo cha muhimu
 
Nipo Salama! Hofu Kwenu!

Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.

Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini.
Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura.

Reforms ambazo zitafanya uchaguzi uwe wa Haki ili Ile dhana ya Free and fair election iwe halisi.

Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi ambayo kupitia hiyo uchaguzi utakuwa huru na wahaki!

Tume Huru ambayo vyombo vya Dola vitakuwa huru kufanya KAZI yao pasipo shinikizo kutoka upande wowote. Mwenye kushinda apewe ushindi wake. Aliyeshindwa akae pembeni ajipange wakati ujao.

Watibeli siku zote hatutakaa upande wa dhulma. Kwa sababu upande wa dhulma ni upande wa mshindwa, upande dhaifu, upande usio na nguvu.

Tunahitaji Reforms ambazo zitafanya Kura ya mwananchi iwe na nguvu.

Hatuhitaji tume ambayo itatupa viongozi wanaoshindwa kutetea wananchi wao na matokeo yake wanajipendekeza kwa Serikali.

Tume ambayo itatupa viongozi wanaotambua nguvu ya mihimili mitatu inayoongoza nchi yetu.

Tume ambayo itatupa wabunge ambao sio wagonga Meza kwa kila kitu hata kama vingine vinatakiwa ku- be challenged.

Tume ambayo itatupa viongozi ambao mtanzania mmoja akiumizwa, akitekwa ni lazima nchi isimame Kwanza kuhakikisha haki ya mtanzania huyo imepatikana.

Tume ambayo itatupa viongozi watakaoheshimu vyombo vya Dola na sio kuvidharau na kudharau vijana wetu wanaofanya KAZI huko kwa kuwapa KAZI kinyume na maadili ya KAZI Yao na kinyume na utu wa mwanadamu.

Tunahitaji Reforms ili uchaguzi uwe wa Haki.

HAKI HUINUA TAIFA!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa, Dar es salaam
I second you Mtibeli🤝
 
Wale vijana tuliosema ni wajinga sasa wameamka. Ni dalili nzuri
 
1001172625.png
 
Umesahau kilichotokea 2019, 2020 na 2024?

..hata kabla ya hapo 2015 chaguzi hazikuwa huru na za haki.

..katika chaguzi zote wapinzani walioshinda matokeo yalitangazwa baada ya vurugu kubwa za wananchi, na wasimamizi kushindwa kupindua matokeo.

..utakumbuka kwamba Simon Sirro alipokuwa Rpc alikubali kumtangaza mpinzani aliyeshinda. Lakini Simon Sirro alipokuwa Igp alivunja rekodi ya Igp aliyeharibu uchaguzi kushinda wote.

..kilichotokea ni kwamba mazingira ya uchaguzi yameharibika kupita kiasi na haiwezekani tena wapinzani kushiriki katika mazingira yaliyoko.

..Na ni uendawazimu kwa Raisi ambaye naye ni mgombea kuahidi kwamba uchaguzi utakuwa huru na haki. Kutoa ahadi hiyo huku ukiwa ni mgombea ni uwendawazimu. Na kukubali ahadi hiyo pia ni uendawazimu.

..NRNE.
 
hizi nchi zetu za watu weusi wapi kuna uchaguzi wa haki?
 
Back
Top Bottom