PreGE2025 Tunahitaji Reforms ili uchaguzi wa Haki Ufanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lakini Tume huru ni muhimu kwa sasa
haina msaada wowote kwako zaidi ya kuwanufaisha wanasiasa, wewe unatakiwa kuangalia upenyo chukua ukijifanya una penda haki sana utakandamizwa sana! maisha hayawezi kua fair na haiwezekan
 
hakunaga kitu kama icho, maisha ni mapambano, kuna msemo unaitwa SURVIVAL FOR THE FITTEST sjui kama ushawahi kuuskia, bila maskini masha hayawezi kua na maaana, mambo yapo hivi kwa maksudi nyie ndo mnahangaika mnataka sjui watu wasiwe maskini sjui haki hayo mambo hayapo, biblia inasema: asiekua nacho hata kile kidogo alicho nacho anatakiwa kunyanganywa
Mkuu unachanganya siasa na Dini
 
Biblia inapinga dhulma.
Biblia haisapoti unyang'anyi au umaskini unaosababishwa na dhulma

Acha kupotosha
 
Nipo Salama! Hofu Kwenu!

Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.

Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini.
Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura.

Reforms ambazo zitafanya uchaguzi uwe wa Haki ili Ile dhana ya Free and fair election iwe halisi.

Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi ambayo kupitia hiyo uchaguzi utakuwa huru na wahaki!

Tume Huru ambayo vyombo vya Dola vitakuwa huru kufanya KAZI yao pasipo shinikizo kutoka upande wowote. Mwenye kushinda apewe ushindi wake. Aliyeshindwa akae pembeni ajipange wakati ujao.

Watibeli siku zote hatutakaa upande wa dhulma. Kwa sababu upande wa dhulma ni upande wa mshindwa, upande dhaifu, upande usio na nguvu.

Tunahitaji Reforms ambazo zitafanya Kura ya mwananchi iwe na nguvu.

Hatuhitaji tume ambayo itatupa viongozi wanaoshindwa kutetea wananchi wao na matokeo yake wanajipendekeza kwa Serikali.

Tume ambayo itatupa viongozi wanaotambua nguvu ya mihimili mitatu inayoongoza nchi yetu.

Tume ambayo itatupa wabunge ambao sio wagonga Meza kwa kila kitu hata kama vingine vinatakiwa ku- be challenged.

Tume ambayo itatupa viongozi ambao mtanzania mmoja akiumizwa, akitekwa ni lazima nchi isimame Kwanza kuhakikisha haki ya mtanzania huyo imepatikana.

Tume ambayo itatupa viongozi watakaoheshimu vyombo vya Dola na sio kuvidharau na kudharau vijana wetu wanaofanya KAZI huko kwa kuwapa KAZI kinyume na maadili ya KAZI Yao na kinyume na utu wa mwanadamu.

Tunahitaji Reforms ili uchaguzi uwe wa Haki.

HAKI HUINUA TAIFA!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa, Dar es salaam
Subirini 2030

Huu wa 2025 mlishajitoa
 
Uchaguzi wa haki ukoje?
No reform no election.Usio na wizi wa kura,usio na polisi wanaotumika kuvusha kura za magendo ili mgombea wa ccm awe mshindi.Ni ambao kura hazipigwi zaidi ya mara moja na wakati mwingine wasimamizi wenyewe.Ni ambao wagombea wasio na ccm hawatatekwa na kuporwa fomu ili wakose sifa.
 
wakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
Tofautisha nyakati ndg yangu mazingira ya kisiasa yaliyo kuwepo Enzi za kila Lema ,zito ,LISSU, halima nk je ndiyo yalyopo Sahv?
Bunge halali la wananchi kwa Tanzania liliisha rasmi 2015 baada ya hapo %kubwa ya waliofuata hawakuwa chaguo halisi la wananchi
 
cha muhimu kanyanganywa, ishi kutokana na dunia inavotakiwa kuishi usijitengenezee dunia yako ndan ya mfumo wa dunia ulioikuta

Acha dhulma!

Dunia imebadilishwa na itazidi kubadilishwa.

Kama huwezi kutetea Haki ni busara kukaa kimya.

Wahalifu wenyewe wanaofanya hizo dhulma wapo kimya au wanasema wanachukia dhulma. Wewe unaona no sifa
 
Nipo Salama! Hofu Kwenu!

Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.

Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini.
Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura.

Reforms ambazo zitafanya uchaguzi uwe wa Haki ili Ile dhana ya Free and fair election iwe halisi.

Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi ambayo kupitia hiyo uchaguzi utakuwa huru na wahaki!

Tume Huru ambayo vyombo vya Dola vitakuwa huru kufanya KAZI yao pasipo shinikizo kutoka upande wowote. Mwenye kushinda apewe ushindi wake. Aliyeshindwa akae pembeni ajipange wakati ujao.

Watibeli siku zote hatutakaa upande wa dhulma. Kwa sababu upande wa dhulma ni upande wa mshindwa, upande dhaifu, upande usio na nguvu.

Tunahitaji Reforms ambazo zitafanya Kura ya mwananchi iwe na nguvu.

Hatuhitaji tume ambayo itatupa viongozi wanaoshindwa kutetea wananchi wao na matokeo yake wanajipendekeza kwa Serikali.

Tume ambayo itatupa viongozi wanaotambua nguvu ya mihimili mitatu inayoongoza nchi yetu.

Tume ambayo itatupa wabunge ambao sio wagonga Meza kwa kila kitu hata kama vingine vinatakiwa ku- be challenged.

Tume ambayo itatupa viongozi ambao mtanzania mmoja akiumizwa, akitekwa ni lazima nchi isimame Kwanza kuhakikisha haki ya mtanzania huyo imepatikana.

Tume ambayo itatupa viongozi watakaoheshimu vyombo vya Dola na sio kuvidharau na kudharau vijana wetu wanaofanya KAZI huko kwa kuwapa KAZI kinyume na maadili ya KAZI Yao na kinyume na utu wa mwanadamu.

Tunahitaji Reforms ili uchaguzi uwe wa Haki.

HAKI HUINUA TAIFA!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa, Dar es salaam
Reforms kwa ajili ya:
1. Jeshi la polisi
2. Tume ya uchaguzi
3. Kwaajili chawa,(pessimistic people)
4. Wanasiasa ili wasijzime data, yaani wasiahirisha kufikiri kwa nafsi ama kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Acha dhulma!

Dunia imebadilishwa na itazidi kubadilishwa.

Kama huwezi kutetea Haki ni busara kukaa kimya.

Wahalifu wenyewe wanaofanya hizo dhulma wapo kimya au wanasema wanachukia dhulma. Wewe unaona no sifa
wanaoendesha dunia ni watu wenye ukwasi wao ndo wanajua namna ya kupeleka dunia mbele, mtu ambae ni middle status miaka yote ni mtu wa kulalamika , hasaidiki na serikali zote duniani zinatambua haya
 
Back
Top Bottom