stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 36,075
- 34,802
watu wana agenda zao tu za kurudi bungeni wala amna cha maaanaReform itasaidia kwenye masuala ya wasio na vyeo vya kisiasa wapate ila kama tunataka maendeleo ni zaidi ya reformed Election.
watu wana agenda zao tu za kurudi bungeni wala amna cha maaanaReform itasaidia kwenye masuala ya wasio na vyeo vya kisiasa wapate ila kama tunataka maendeleo ni zaidi ya reformed Election.
uchaguzi wa haki ni ule aliyepata kura nyingi za kweli ndiye anatangazwa mshindi ktk mazingira huruUchaguzi wa haki ukoje?
tukiwa wa kweli wa nafsi tukubali mda wa chadema ushaisha izi ni kiki za punda anaekata moto
CCM hawataki kabisa Reforms hizi - na ukiona chama cha siasa kinakwenda katika uchaguzi huu basi elewa ni chama CHAWA wa CCM
No reforms...
kama sio kwa sababu ya chadema mbna walivoshinda uchaguzi 2015 hii mada haikuepo, tunajua siasa ni unafki lakini at what cost?Reforms sio kwaajili ya chadema
hakuna haki duniani, hata Biblia inasema wenye nacho wanaongezewa na ambao hawana wanyangaywe walichokua nacho,Kwa mara ya kwanza naona viongozi wa ccm na serikali wanaogopa uchaguzi wa haki...kutamka neno haki mdomoni mwao ni sawa na kutamka tusi kubwa hadharani...aibu kbs hiii!.
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi, wanajua wakikubali Reforms tu wanakabidhi dola.CCM wanachoogopa ni nini?
Wanachokataa kwamba mpaka Mbunge wa Upinzani anatangazwa Kuna watu tayari wameumia au wengine wanekufa wengine wako police kifupi TUME HURU ni nzuri tutaondoa Utemi kwenye siasawakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
kama sio kwa sababu ya chadema mbna walivoshinda uchaguzi 2015 hii mada haikuepo, tunajua siasa ni unafki lakini at what cost?
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi, wanajua wakikubali Reforms wanakabidhi dola.
Na wao si wajinga ki vilee.
hakunaga haki duniani boaz mwalwayo , hata biblia anasema maskini anatakiwa kuchukuliwa ata kidogo alichonacho, movement zinazotumia siasa ni kwa sababu kuna watu wamekosa vitiWanachokataa kwamba mpaka Mbunge wa Upinzani anatangazwa Kuna watu tayari wameumia au wengine wanekufa wengine wako police kifupi TUME HURU ni nzuri tutaondoa Utemi kwenye siasa
Tume huru ni kwamba mtu unaweza simama na chama chochote ukashinda ni wewe kukubalika kwako na hoja zako kwa wananchi kifupi hamna Janja na UTEMI wa Kipumbavu kwenye siasa na Wenyeviti wa Chama watakua na adabu kutuletea watu wanaofaa
Mkuu nchi yetu ni masikini sana.watu wana agenda zao tu za kurudi bungeni wala amna cha maaana
Mkuu nchi yetu ni masikini sana.
Na Kila mtu Sasa anatafuta namna ya kula kama wanavyokula CCM huku nchi ikibaki imetelekezwa wakifaidi Wachina, Waarabu, wahindi na wazungu.
Hitaji la reform kwangu naamini ni KITU kidogo kuliko hitaji la mega economic reform nchini kuanzia katika level ya familia na nchi KWA ujumla.
hakunaga haki duniani boaz mwalwayo , hata biblia anasema maskini anatakiwa kuchukuliwa ata kidogo alichonacho, movement zinazotumia siasa ni kwa sababu kuna watu wamekosa viti
hakunaga kitu kama icho, maisha ni mapambano, kuna msemo unaitwa SURVIVAL FOR THE FITTEST sjui kama ushawahi kuuskia, bila maskini masha hayawezi kua na maaana, mambo yapo hivi kwa maksudi nyie ndo mnahangaika mnataka sjui watu wasiwe maskini sjui haki hayo mambo hayapo, biblia inasema: asiekua nacho hata kile kidogo alicho nacho anatakiwa kunyanganywaMkuu nchi yetu ni masikini sana.
Na Kila mtu Sasa anatafuta namna ya kula kama wanavyokula CCM huku nchi ikibaki imetelekezwa wakifaidi Wachina, Waarabu, wahindi na wazungu.
Hitaji la reform kwangu naamini ni KITU kidogo kuliko hitaji la mega economic reform nchini kuanzia katika level ya familia na nchi KWA ujumla.