Cheti ni kama waraka Fulani unaomtambulisha mtu kuwa ana ujuzi Fulani hivi mahsusi.Ila ifahamike kuwa kuna watu wana ujuzi lakini hawana vyeti.Watu wasio na vyeti Mara nyingi hawaajiriwa kwa mujibu wa taratibu za ajira rasmi hasa serikalini.Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
makonda hana cheti wala maarifaMr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Hahahaha! Eti kufunga kamba za viatu! Loh! Jf kuna mambo, Daudi watu wanakusema huku.Labda ungeanza kutuambia kiwango chako cha elimu kisha utuambie maana ya "academic qualification" katika soko la ajira.Hivi kwa nini wanapoguswa miungu wenu huwa mnatafuta kila fursa za kuhalalisha upuuzi wao?
Kila position ya ajira/utumishi ina academic qualification zake,hata huyo aliyefoji cheti cha Elimu anafahamu umuhimu wa Elimu,isipokuwa amekosa uwezo wa kiakili wa kumuwezesha kuifikia ngazi ya kielimu anayoitamani na ndiyo maana alikwapua cheti cha watu ili walau aonekane ana sifa.
Imeandikwa kuwa "utakula kwa jasho lako", kwa nini tunapohoji mtu anayetumia vyeti vya mtu mwingine kujipatia ridhiki/uongozi kwa njia haramu iwe nongwa?Sheria ichukue mkondo wake,kila mtu awe pale alipo kwa njia sahihi na si kwa mbeleko ya kufoji vyeti,kufunga watu viatu na kujipendekeza.
Acha kujitoa ufahamu,unawakumbuka maelfu ya vijana wa UDOM waliofukuzwa chuoni kwa kile tulichoambiwa hawakuwa na sifa stahiki?Kwa nini leo tuwaruhusu vihiyo kushika nyadhifa kwa vyeti vya kughushi.
Tulia, andika pole pole acha papara.Mbna serikali inagakiki veti
Mbona unaongea kama unakimbjzwa?Hata kama itakuwa vp kuhs elim ya R sjaona mwenye wlimu nzuri upande wa upinz.. Wa kuwapa kura za kuchukua insi
Kama hayo machache umeshindwa kuelewa unatarajia nn mkuu, unashangaza kidogo,leta elim ya mbow uone alivyo jo.i.n jo.i.nMbona unaongea kama unakimbjzwa?
We hebu acha porojo za kijinga wewe! Labda uumbe dunia yako utengeneze huko serikali zako ndo unaeza anzisha mawazo ya utopia kama hayo.Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Anautapia mlo wa akili huyo mkuu, shule yenyewe darasa la pili.We hebu acha porojo za kijinga wewe! Labda uumbe dunia yako utengeneze huko serikali zako ndo unaeza anzisha mawazo ya utopia kama hayo.
Serikalini huwezi kuajiriwa bila kuwa na vyeti hata kama una uwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu ya kazi.Vyeti hutolewa kwa alama zilizopangwa kufikiwa na mtihaniwa.Ndiyo maana utakuta kuna watu wenye ujuzi na maarifa mbalimbali mitaani hawana kazi mahsusi walizozisomea huko nyuma.Mfumo wa ajira rasmi hauwatambui. Elimu ya kupewa cheti mpaka ufikie alama zilizowekwa imekuwa ikidhalilisha wanafunzi sana pale wanapotangaziwa wamefeli mtihani.Hii ni dhana mbaya sana na inaweza kumfanya mwanafunzi zone hajiwezi tena.Ndiyo maana kuna watu wanapotea mitaani na ujuzi na maarifa wanajiona hawawezi kufanya chochote kwenye fani walizozisomea kisa walifeli na hawakupewa vyeti ili watambuliwe ni kweli walisoma.Mtu apimwe kwa matokeo mazuri ya kazi anayoifanya na wala si PhD,stashahada na vyeti.Maana nchi hii ina wenye hivyo wengi tu na mambo mabaya wanayoyafanya tunaona !.Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Kabisa mkuu! Hii inaonyesha huko ndani ya CCM walioforge vyeti ni wengi sana - refer Hamis Kigwangalah, Mwigulu Nchemba, Paul Makonda..........etc and they hold sensitive positions kwenye hii serikali. Haishangazi kwa maamuzi yao yasiyo na busara na watu dizaini hiyo wanajua sana kujipendekeza ili wapate kuteuliwa.Maarifa ya kununua/ kuiba cheti cha mtu ndo hayo yanayoleta maamuzi mkurupuko.