Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Kuendelea kwa taifa ni wewe kwanza kuujua wajibu wako ni kuutimiza.

Majungu hayajengi kwa sababu hayawezi kuwa mtaji wa mtu. Kila anayekuja duniani huwa na karama ambazo Mungu amemjalia. Hivyo la muhimu kwako ni kufanya yale yanayokuhusu, mengine ni ziada.
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Kwani serikali walivyokuwa wanahakiki vyeti walikuwa wana tafuta nini?
 
Ni vizuri tukawa wakweli, kama mtu Jina sio lako basi sema Jina sio langu na nililipata kwa njia hii. Mbona yule Jidulamabambase alikuwa akisema wazi kuwa alirudia shule na Jina lililoko kwenye vyeti ni lile alilotumia kurudia.

Tunahitaji watu wenye maadili kabla ya kuangalia vyeti au ujuzi.
Sasa nikitangaza sindio ntatumbuka.
 
Muulize ndalichako anajua kwa nn anataka watu wenye vyeti feki
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Na mimi nitakujibu kwa swali... kughushi cheti au taarifa ni sawa au si sawa kisheria ? ukipata jibu hapo basi mjadala unaishia hapo na ukiweka exceptions basi maana yake unakaribisha double standards na ubaya wa haya mambo kama ni case basi ujue lazima watu wengine wengi tu wata refer kwenye hiyo case na itabidi washinde tu case kama hii ya sasa itahalalishwa ?
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!

Mh "Madereva" ndo umeamua kuja kujitetea kwa style hii ama??
Be serious kidogo
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Kuna tofauti gani na issue ya wizara ya elimu kusema wale ambao walipata degree pasipo na sifa degree zao hazitambuliki! Ukisapoti tamko hili la wizara basi unatakiwa kusapoti pia mtu anayetumia cheti cha mtu mwingine basi na yeye anyang'anywe pamoja na nyadhifa zote afutiwe coz sio STAHILI yake.
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Vyote vinahitajika ndio mana serekali inafanya uhakiki wa vyeti
 
Kama wewe ni kiongozi unaongoza na wapinzani wanakufurahia, basi rudi nyuma na uangalie ulipokosea. Kama unaongoza na wapinzani wanapiga kelele, basi ujue unapatia kwenye uongozi wako.- by John Pombe Magufuli (president of Tanzania)
Na kinyume chake pia. Ukiona kiongozi wa chama cha upinzani/chama cha upinzani kinasifiwa na serikali basi kijiangalie wapi kinakosea ila ukiona kinaandamwa na serikali jua kinafanya yanayotakiwa.
 
Acha UTOTO wewe. Huko kijijini kuna watu
Wana akili kukuzidi wewe
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Uhakiki wa wafanya kazi na stahili zao ulikuwa bandia?
 
Sasa nikitangaza sindio ntatumbuka.
Enzi zile ilikuwa kawaida mtu "aliyechaguliwa" kama anapenda kuwa fundi wa trekta la kijiji basi nafasi yake anampa mwanakijiji mwenzio ili fursa hiyo pale kijijini isipotee!
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Sasa wale ambao mpaka sasa waliofukuzwa kazini kwasababu hawana vyeti itakuwaje sasa?Mbona hizi kauli hatukuzisikia kabla ya Daudi Bashite hajaumbuliwa!?
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Issue sio cheti wala issue siyo maarifa. Hapa tunazungumzia forgery.. Tumewahi kuwa na hata PM ambae hakuwa na elimu ya sekondari lakini hakuna aliye hoji elimu yake. Tumewahi kuwa na rais aliye kuwa mbeba mizigo hatukuhoji elimu yake. Hata rais mwenye diploma na hatukuhoji. Hivi sasa tuna wabunge wenye elimu ya uwezo wa kusoma na kuandika tuu na wapo huru hakuna ana hoji. Tunahoji elimu za kudanganya...
 
Tunataka mtu mwenye maarifa na cheti kiwe cha kwake, na mleta mada nadhani una cheti feki na huna maarifa. ova
 
Mbona watu wakiiba bitabu hamsemi wameiba maarifa?
 
Back
Top Bottom