Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

Kwa nini uwe mara x, mara y, mara y mara k..... Kuwa kama wenzio longolongo za nini. Unapaswa kuwa safi ili ukiteuliwa kwenye nafasi kama izi usidhalilike
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Wanaume bhn... Huu uzi kauleta mwnaume eti!!!
 
-->>SIJAISOMA LAKINI NAONA DALILI YA KUTETEA MADUDU HAPA, KWANI SEREKALI ILIPOFANYA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI NI NINI ILIKUWA SABABU KUU YA MSINGI.....
 
Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Naona mkuu unamiss point, tatizo ni kutumia cheti ambacho sio cha kwake katika masomo na ajira. Katika fomu mbali mbali unazosaini, lazima uweke signature yako kuthibitisha ulichokiandika na attached documents ni za kweli.
Ushahidi mwingine ni vyeti vya kuzaliwa vya hawa vijana wawili vinavyoonyesha majina ya wazazi wao.
 
Wote X,Y,Z na wengine wengi hujawataja wanahitajika lakini wawe wakweli na wenye utu sio viherehere wanafki na watafuta kiki.
 
Mnavyo waonea wenzenu kuwa wanavyeti feki mpo sahihi,Ila nyie mmeguswa mmajifanya hamuhitaji vyeti ila maarifaa.[HASHTAG]#pumbafu[/HASHTAG] sana ninyi.Kuna watu walikuwa wametumia vyeti vya watu kujiendeleza kielimu na kupata kazi na walikuwa wanafanya kazi haswa na wamejawa na maarifa plus utumishi wa miaka kadhaa serikalini, LAKINI baada ya sakata hili la vyeti uhakiki wakaacha kazi plus kupoteza stahiki zao.Leo hii Mmeguswa nyie kuhusu taaluma zenu WATU wanapotea kisa kuulizia taaluma zenu mmezipataje ???[HASHTAG]#where[/HASHTAG] did you defend your thesis MR.X?? MR.Y kuna habari kuwa umepata zero kuanzia la saba mpaka chuo!!!!
Sasa hivi eti mnyonge mnyongeni....nyoooooooooooooooooooooooooo!!!!!
Hana hata maarifa na sasa hivi tunasema kumbe!! He should not be above the law.
 
Tulia, andika pole pole acha papara.
Hii kitu hahitaji hasira wala papara. Sema reaction (failure to take action) ya JPM inaudhi.

At least familia ya Kabwe, rip, inapata faraja
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Tunataka utaratibu sionkufosi mambo ...
 
Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!

Kweli kabisa
Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni.
Hapa kwanza tunataka Mwanakijiji std Seven anayechunga Ng'ombe kijijini apate haki yake kwanza.
Mengine Baadae
 
By way of history, best leaders had mostly succeeded to have only basic education....
 
hili jambo limekuwa la kisiasa sana badala yakuchukuliwa kitaaluma. ttzo hili lilianza miaka ya 1980, watu walipojua thamani ya elimu wakati wengine wakiiona haina maana. hiki ndio kipindi kulikuwa na marepeeter wengi nawote walikuwa wanachukua majina ya wale walioshindwa shule. kwakweli kosa hapo ni kurepeet lkn kitaaluma walifaulu kwa uwezo wao.
 
Vyoote, Jina ni kwa ajili ya utambulisho wako tujue wewe nani, ujuzi ktk kazi, vyeti ni kuthibitisha ukomavu wa ujuzi wako. Kila mmoja awe mahala kwa nafasi yake.
 
Tutawatambu kwa matendo yao na sio kwa maneno yao.......

Rest In Peace TANZANIA....
 
Back
Top Bottom