Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Kwa kweli huwa najiuliza kwanini vijana wa CHADEMA wanatukana sana matusi kwenye mitandao bila kupata jibu. Hivi Upadri wa Wilbroad Slaa na Uchungaji wa Peter Msigwa umeshindwa kurekebisha tabia chafu za hawa vijana wa CHADEMA? Hata hivyo, ikiwa wameshindwa kudhibiti ubadhirifu na ukosefu wa maadili kwa viongozi wa makao makuu wataweza kwa wanachama?
CHADEMA imekuwa haina tafauti na CCM, ubadhirifu, ukosefu wa maadili kwa viongozi, matumizi mabaya madaraka na fedha za chama, ukanyagaji wa demokrasia, tuhuma za kujeruhi na kuua na akila aina ya uchafu tulizoea kuuyaona kwa CCM na serikali walio idhamini, lakini sasa hayo hayo tunayaona kwa CHADEMA chama ambacho tulikiamini kupita kiasi.
Ndio maana, tunapenda kuitoa CCM madarakani lakini hatupendi kuingiza CHADEMA madarakani. Kalenga kungekuwa na chama chenye kujitambua kama ACT wanakalenga wasingesita hata kidogo kuuondoa utawala wa kifalme na kuingiza utawala wa wavuja jasho. Ndio kusema wanakalenga wametambua kuwa unahitajika mbadala wa CHADEMA wenye uwezo wa kuwa mbadala wa CCM, ACT ndio mbadala wenyewe, na bado.
Kwa swali lolote kuhusu ACT, ikiwa pamoja na upatikanaji wa kadi tafadhali tuwasiliane kwa namba hizo chini.
Njano5.
0784845394.