Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
chama ni ACT
Utajidanganya sana,maana kama chama cha upinzani mtakuwa agaisnt vyama vingine vya upinzani mkadhani kwamba mko bora kuliko vingine na mkajibainisha hivyo basi sidhani kama mtafika kule mnakotegemea.
Pili kama mtashindwa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuondoa dhuluma iliyojengeka dhidi ya upinzani then hakuna maana ya nyinyi kuitwa wapinzani.
Tatu kwa system tuliyonayo by the time mmekuwa kama CDM mtakumbana na shida kama ilivyoleo kwa CDM.Ilikuwa CUF,ikaja NCCR na leo ni CDM sasa kama hatuwezi kuisupport CDM kwa sababu za chuki tu basi tujue Tanzania hakutakuwepo na upinzani maisha.