Tunahitaji mbadala wa CHADEMA utakao itoa CCM Ikulu

Tunahitaji mbadala wa CHADEMA utakao itoa CCM Ikulu

Kwa kweli huwa najiuliza kwanini vijana wa CHADEMA wanatukana sana matusi kwenye mitandao bila kupata jibu. Hivi Upadri wa Wilbroad Slaa na Uchungaji wa Peter Msigwa umeshindwa kurekebisha tabia chafu za hawa vijana wa CHADEMA? Hata hivyo, ikiwa wameshindwa kudhibiti ubadhirifu na ukosefu wa maadili kwa viongozi wa makao makuu wataweza kwa wanachama?

CHADEMA imekuwa haina tafauti na CCM, ubadhirifu, ukosefu wa maadili kwa viongozi, matumizi mabaya madaraka na fedha za chama, ukanyagaji wa demokrasia, tuhuma za kujeruhi na kuua na akila aina ya uchafu tulizoea kuuyaona kwa CCM na serikali walio idhamini, lakini sasa hayo hayo tunayaona kwa CHADEMA chama ambacho tulikiamini kupita kiasi.

Ndio maana, tunapenda kuitoa CCM madarakani lakini hatupendi kuingiza CHADEMA madarakani. Kalenga kungekuwa na chama chenye kujitambua kama ACT wanakalenga wasingesita hata kidogo kuuondoa utawala wa kifalme na kuingiza utawala wa wavuja jasho. Ndio kusema wanakalenga wametambua kuwa unahitajika mbadala wa CHADEMA wenye uwezo wa kuwa mbadala wa CCM, ACT ndio mbadala wenyewe, na bado.

Kwa swali lolote kuhusu ACT, ikiwa pamoja na upatikanaji wa kadi tafadhali tuwasiliane kwa namba hizo chini.

Njano5.
0784845394.

Umevurugwa,cyo hivihivi
 
Dotto C. Rangimoto
Naomba kuuliza tu kamanda wewe ni mwanasiasa au mganga njaa? Juzi tu ulikuwa kamanda wa nguvu hicho chama kipya ACT kimekuja na sera gani? Yenye mvuto?? Kauli zako zimejaa ngonjera na mashairi sioni jipya lenye mvuto; vijana kama nyie ndio mnaoharibu siasa za kweli za upinzani; mimi kama mwanaCCM napenda sana kuwepo na upinzani imara wenye kuleta mafanikio ya kimaisha kwa watanzania; vijana wa kaliba yako ni hatari sana.

kupenda kwako ndio sababu ya kubinya demokrasia??? ndio sababu ya kuifumbia macho sheria ya vyama vya siasa???
 
Last edited by a moderator:
kupenda kwako ndio sababu ya kubinya demokrasia??? ndio sababu ya kuifumbia macho sheria ya vyama vya siasa???

Wewe ni njaa inakusumbua siajabu kesho ukarudi CCM kutafuta ulaji; zipo CCM kwa ajili ya mapenzi nipo kwa sera
 
Chadema hawana uwezo wa Kumwambia Mbowe akae Benji kisha Mzee Mtei nae atulie aacha pandikizi za Ukabila, hawana Mtu jasiri anayeweza kuthubutu kuwaambia hayo wote CC ni waoga sana Wanaogopa kuchacha Wangwe Maana akina Deus Malya, kileo na Rwakatare wapo makini Mda wote, wanadhibiti Mapinduzi ya Ndani makao makuu , ndoto za Chadema kuingia ikulu chini ya Uongozi wa Mbowe ilishayeyuka kitambo .
 
ili Chadema iweze kuingia ikulu ni Lazima Uongozi wote wa juu ukae pembeni waingie watu saafi wasio na kashfa zozote, wastahamilivu,na mbinu bora za kukiimarisha Chama zile pesa za Ruzuku na Michango ziwafikie wale Viongozi wote kule chini matawini,hapo Chadema itanyenyuka haraka Kama Radi njia ya ikulu itakuwa Wazi kabsaa kwani kinyume na hayo wataishia kusifiana tu chama kinazidi kuzama.
 
Back
Top Bottom