Unataka kuchokonoa UDINI? UNATAKA WATU WASAKAME WATU KWA DINI NA KABILA ZAO?Hivi Upadri wa Wilbroad Slaa na Uchungaji wa Peter Msigwa umeshindwa kurekebisha tabia chafu za hawa vijana wa CHADEMA?
Unataka kuchokonoa UDINI? UNATAKA WATU WASAKAME WATU KWA DINI NA KABILA ZAO?Hivi Upadri wa Wilbroad Slaa na Uchungaji wa Peter Msigwa umeshindwa kurekebisha tabia chafu za hawa vijana wa CHADEMA?
Chama kinachofanya kazi kwa kubandika simu kwa madalali?Duh hii nchi inaelekea pabaya.Subiri picha za mkutano wenu zitawekwa kisha tuwapuuze tuendelee na mapambano yetu dhidi ya CCM.
Unataka kuchokonoa UDINI? UNATAKA WATU WASAKAME WATU KWA DINI NA KABILA ZAO?
Your great enemy number one is your ignorance. You need more than a half century to get the required Knowledge of what is required. It is better for you to take your time to visit some of the constituencies that are under CCM for the past five decades, Look at Chalinze on the news, and the kind of devastating life the people are living. I was shocked to watch poor peasant awarding the Prince a big Cock. CCM survives on the ignorance of the poor majority.
What we do here is to extend the civic education to people who are at least able to access the Jamii Forum, to my surprise you neither different from the people living at the devastating residences such as Kalenga.
Pray that God reveals the actual truth and reality to be able to play your role as a citizen to liberate the country from the hands of a new colonial master.
Acha upuuzi peleke ujinga wako kwa viongozi wako wa DINI!... Mashehe wamekujibuje?
hilo lako,,ninacho hoji kwanini wameshindwa kutumia upadri au uchungaji kurekebisha maadili japo kwa kufanya maombi au kutoa elimu ya kiroho
tena bendera za ADC walichua rangi zinafanana na za Chadema, Limbu alikuwa katibu sijui mwenyekiti wa ADC lakini sasa yupo sasa hv ni ACT chini ya kivuli cha ZZK. Limbu sio mwanasiasa bali ni muhuni wa kariakoo kam wenzangu walivyokwisha kusema na anakibarua cha kuanzisha vyama vya siasa kama NGOkwani mlikatazwa kwenda kalenga yetu macho tutawaona mzee, karibuni kwenye ulingo hamkatazwi na cdm nyie songeni mbele na hata adc walianza kama niny bendera karibu nchi nzima na kutukana cdm lakini leo mmmmh
Kwa hiyo ACT DINI gani?
hilo lako,,ninacho hoji kwanini wameshindwa kutumia upadri au uchungaji kurekebisha maadili japo kwa kufanya maombi au kutoa elimu ya kiroho
Ben mojawapo ya makosa CDM mnayofanya ni kulewa mnapoona umati mkubwa wa watu! Haishangazi hata Kalenga ndo maana mlienda kufanyia mkutano Iringa mjIniChama kinachofanya kazi kwa kubandika simu kwa madalali?Duh hii nchi inaelekea pabaya.Subiri picha za mkutano wenu zitawekwa kisha tuwapuuze tuendelee na mapambano yetu dhidi ya CCM.
Dotto C. Rangimoto
Naomba kuuliza tu kamanda wewe ni mwanasiasa au mganga njaa? Juzi tu ulikuwa kamanda wa nguvu hicho chama kipya ACT kimekuja na sera gani? Yenye mvuto?? Kauli zako zimejaa ngonjera na mashairi sioni jipya lenye mvuto; vijana kama nyie ndio mnaoharibu siasa za kweli za upinzani; mimi kama mwanaCCM napenda sana kuwepo na upinzani imara wenye kuleta mafanikio ya kimaisha kwa watanzania; vijana wa kaliba yako ni hatari sana.
kufanya nilitakalo na nijisikiavyo bila kuvunja sheria na katiba yetu ndio niwe mtu kijana hatari??? aisee,,,basi wewe ndio utakua hatari.
Kwa hiyo ACT DINI gani?
Tulipofanya hivi kwa kuijenga chadema mbona hamkusema udalali?? kama pic zinasema ukweli Slaa angekuwa rais wetu na Tendega angeshinda Kalenga,,,,mmeishiwa mbinu na sasa mnacheza ngoma kama za CCM za kuzoa watu kwa malori. CHADEMA KWISHA HABARI YENU.
https://www.facebook.com/manawa.bukwimba.1/posts/527194834068609?comment_id=2580703¬if_t=like
Kwa wale makamanda wapiganaji watakaopenda kwenda chalinze kuzindua kampeni..kuna gari naombeni mnipgie niwape utaratibu.linaondoka asubuhi hii 0756415744