Suma drago
Member
- Jul 15, 2019
- 14
- 17
wakati wenzetu wanafanya maandalizi ya timu zao za taifa,nyie endeleeni kudai jezi nzuri mnasahau naandalizi ya timu
Ndio mana kila siku tunasema vijana wa some shule...Yan Hawa jamaa wanapenda kudeal na petty issues, mambo makubwa Wala huwezi kuwasikia, imagine time imefungwa lakin bado wapo na jezi tu...hii nchi matahira ni wengiTangu lini BASHITE akawa ana akili??alichojaza ni hips tu lakini kichwani ZERO!!!kwa hiyo mipicha mingi kwa akili zako za KIBASHITE ndio unaona uzuri enh!!!jana tu Tanzania imefungwa Fainali U 20 na Sudan tena nyumbani Taifa,mnaacha kujadili maandalizi ya Timu na vitu serious Waziri mzima na mawowowo yake makubwa anajadili jezi.Hakika Knowledge Will Forever Govern Ignorance
Jezi za AI😂Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!View attachment 3677330
But why not this one!View attachment 3677331
Mkuu, AI inatusaidia tu,designing and how it gonna look at,baadae inapewa kazi automated sewing machine inachapa kazi!?Jezi za AI😂
Nitakuja na uzi kamili kuhusu biashara ya jezi na vita iliyopoMkuu, AI inatusaidia tu,designing and how it gonna look at,baadae inapewa kazi automated sewing machine inachapa kazi!?
MATAKO MAKUBWA anasemaje huko Zenji kenge nyie,badala ya kushughulikia maandalizi mazuri ya Timu bwanako MATAKO MAKUBWA anashupalia Jezi mbaya,goli mbili saaaaafi kabisa kenge nyieNiungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!View attachment 3677330
But why not this one!View attachment 3677331
😂😂😂Sasa hii ni jezi au atlasi?
Kufungwa ni part of game!MATAKO MAKUBWA anasemaje huko Zenji kenge nyie,badala ya kushughulikia maandalizi mazuri ya Timu bwanako MATAKO MAKUBWA anashupalia Jezi mbaya,goli mbili saaaaafi kabisa kenge nyie