Tunafungua simu zenye Google account na icloud account

gregsanga

Member
Oct 24, 2007
72
9
Kwa yeyote mwenye tatizo la simu iliyofungwa kwa Google account na icloud leta simu ifunguliwe ndiyo ulipe bei zetu ni nafuu
 
mnapatkana wapi?? nna kimeo kimoja kinaitwa mobicel vivo knahtaji hyo kitu baada ya kurestore
 
Kimsingi tunachofanya unafanyiwa kazi ikifunguka unalipia hakuna malipo ya awali ili kuepuka migogoro hiyo nimeshafungua apple mkuu inategemea na ujuzi wa mtu imefungwa wapi.....
 
Kwa yeyote mwenye tatizo la simu iliyofungwa kwa Google account na icloud leta simu ifunguliwe ndiyo ulipe bei zetu ni nafuu
Mkuu unafungua kwa hardware modification au kwa kutumia imei tu?? Naomba unijibu fasta ili nikupe kazi ufurahi na roho yako.
 
Back
Top Bottom