Tunafunga na kuuza vioo vya TV

Tunafunga na kuuza vioo vya TV

Na huo ndio ukweli, M-korea hetengenezi parts, anaunda complete, mchina ndio anatengeneza parts kwa ajili ya repair

ukipata parts ya mkorea ujue kilitoka katika Tv OG, sio kiwandani
Hapo ndo maana inakua bora kununua mpya mana ukiweka kioo cha mchina kwenye tv kama ya lg au sony quality inapungua sana hata kama hiko kioo ni hd maana hd ya mchina sio sawa na hd ya hao jamaa
 
Na huo ndio ukweli, M-korea (hata mjapani) hetengenezi parts, anaunda complete, mchina ndio anatengeneza parts kwa ajili ya repair

ukipata parts ya mkorea ujue kilitoka katika Tv OG, sio kiwandani
Yah kiwandani wanazalisha tu tv complete spea za vioo hawana ndo mana kama tv ina warranty ikifa kioo ukiwapelekea wanakupa tu tv mpya
 
Nazungumzia TV mkuu sio takataka za TV aboder ni uchafu wa Tv..

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuuliza uweke more elaborations kwa wenye tv za kichina kama aborder wana option gani wewe umerudi na kejeli, nikwambie tu last year nilitembelea shirika la UNHCR kibondo na moja ya tv zilizokuwamo ni aborder, na kasi tv za kichina zinazouzika sana kwasasa ni hizo takataka kama aborder,toshiba,starx na rising na moja yasababu inayofanya ziuzike apart from bei ni uimara hasa izi zilizokuja na double screen vijijini huku ndio znapendwa balaa hzo 4k watu watanza kuzielewa kama dj murphy ataanza kutoa blueray disk na startimes wakiacha kurusha huduma za SD nakubaki na full hd pekee! kama kweli mpo serious na hii biashara yakubadili vioo angalieni nikwa namna gani mnaweza kuwasaidia hawa watu ndani ya miaka mi5 ijayo hili ndio litakua soko kubwa.
 
Wewe utakuwa kishoka kabisaa kwanza kwa mganda hakuna kabisa 32 display ya Sony hakuna kabisa kwa mganda, pili mganda unayemzungumzia km ni Mr matala (sharifu) hana kabisa fundi wa kufunga vioo pale shop kwake na pia hana work station..wew umekwenda kwa mganda ukiwa kama fundi or km enduser? Huyo mganda unayemzungumia km ni Mr matala ajafunga mzigo wa display za sony kabisa hata moja ni LG tu...hizo hizo za LG ni fundi utundu wa kifundi ili kioo kingie ktk brand nyingine
Acha udalali wa kishamba, juzi nimebadili Sony nchi 32 kwa laki mbili Tu hapo kwa waganda, wewe unaweka laki cha juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezungumzia Aborder yako ya 290000/= sio kila item ya mchina ni Fake
nimekuuliza uweke more elaborations kwa wenye tv za kichina kama aborder wana option gani wewe umerudi na kejeli, nikwambie tu last year nilitembelea shirika la UNHCR kibondo na moja ya tv zilizokuwamo ni aborder, na kasi tv za kichina zinazouzika sana kwasasa ni hizo takataka kama aborder,toshiba,starx na rising na moja yasababu inayofanya ziuzike apart from bei ni uimara hasa izi zilizokuja na double screen vijijini huku ndio znapendwa balaa hzo 4k watu watanza kuzielewa kama dj murphy ataanza kutoa blueray disk na startimes wakiacha kurusha huduma za SD nakubaki na full hd pekee! kama kweli mpo serious na hii biashara yakubadili vioo angalieni nikwa namna gani mnaweza kuwasaidia hawa watu ndani ya miaka mi5 ijayo hili ndio litakua soko kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOYI ELECTRONIC bei mpya —- JANUARY 2020 OFA OFA
GOODVISION TV
GV-19 DOUBLE @ 120000
GV-21 DOUBLE @ 130000
GV-24 DOUBLE @ 150000
GV-25 @ 170000
GV-25 DOUBLE@180000
GV-32@ 240000
GV32 DOUBLE@ 250000
GV-50 SMART 4K@ 700000

SOYI TV
T-25 @160000
P-25 @180000
T-32 @220000
P-32 @250000
S-32 SMART DOUBLE @280000
S-42 SMART @460000
P-42 DOUBLE @460000
SY-50 SMART 4K @700000
SY-55 SMART 4K @900000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaa me nina Samsung curve 49 ina msitari katikati naweza pata replacment?
 
BEI MPYA ZA BOSS TV
15" 110,000
17" 120,000
19" single 130,000
19" double 135,000
21" double 145,000
22" single 150,000
22" double 155,000
24" single 165,000
24" double 180,000
32" single 230,000 (new)
32" double 245,000 (new)
32" smart 300,000
43" single 460,000 (new)
43" double 480,000 (new)
43" smart 530,000 (new)
55" smart 950,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mimi nimekuwa fundi TV toka 1994,nna nnajua bei na disply kwani China naenda na nnajua bei zake!nna ni mkongwe kwenye TV na simu nilianza fundisha watu juu ya ufundi wa Simu na Flat TV kabla ya VETA kuona umuhimu wake mpaka leo!! Hizo disply unazouza hapa ni fake na wewe ni dalali....... mtu akileta TV unaenda kutafuta Tcon au disply etc unakuja iweka.Sisi ndo tulikuwa washauri wa KVD wakati anataka fungua duka la spear(RIP) na pia City phones,SAPNA na Fredom Electronics! Atupost kwa kuwa tunapost....Tunapost kwa sababu tunajua Electronics na IT na tunajua hapa Tanzania nani fundi nani mbadilisha cover nani ajui! Ila thanks TCRA july 2020 watu kama nyinyi mtapotea milele hapa Tanzania
Nipe fact mkuu acha mbwembwe..May 3 inshallah hio kontena itakuwa ktk land ya Tanzania nashushia Znzbar napakua mzigo kuleta Dar humo kuna item km item na kuna accessories za TV from Scandinavian countries..Naomba uthibitishe kauli zako hapo juu ili twende sawa..udalali wangu, hizo kauli zako hapo juu nithibitishie hapa..ili twende sawa sitaki porojo
20200220_204544.jpeg
20200220_204508.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom