OFA NUNUA TV UPATE SABUFA BURE NA USAFIRI BURE KWA DAR

Tembo2

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
456
747
1. Dar unaletewa BUREE na utalipia mzigo ukifika, usilipie kabla ya kupata mzigo

2. Ofa ni kwa tv za star x na philips tu kama utavyoona kwenye picha.

3. Tv na sabufa zote ni mpya na zna warranty ya mwaka 1

4. Ofisini ni Magomen mapipa mtaa wa idrisa ukitaka kuja kujionea kwa macho karibu sana.

5. Ukitaka tv peke ake star x ni 450,000 na philips ni 480,000 sabufa ni 150,000

6. Ofa hii haihusishi huduma ya kufungiwa ukutani Tv. Ukihitaji kufungiwa utalipia 35,000

Namba zangu ni 0658 18 47 97 au 0752 18 47 97
PhotoGrid_1531249655490.jpg
PhotoGrid_1531249456209.jpg
PhotoGrid_1531249002868.jpg
PhotoGrid_1531248561854.jpg




Hizi ni bei za tv aina nyingine kama utahitaji

Bei zipo chini kwenye caption hii. Usafiri na kufungiwa ukutani ni BURE kwa Dar. Piga 0658184797 / 0752184797. Warranty mwaka 1 na Tupo Magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa.

Star x 19inch 250,000
Star x 24inch 330,000
Star x 32inch 450,000
Star x 43inch 800,000

STAR X LED SMART TV
Star x 50inch 1,150,000

PHILIPS 32
480,000

PINETECH
32inch 520000
43 inch smart 850,000

TCL LED SMART TV
Tcl 32" - 550,000
Tcl 40" - 800,000 (OFA)
Tcl 43" - 950,000
Tcl 49" - 1,350,000
Tcl 55" - 1,500,000
Tcl 55" 4k - 1,750,000
Tcl. 65" - 3,000,000

LG LED TV's (Sio smart)
24"- 380,000
32" - 550,000
43" - 950,000
49" - 1,350,000
55" – 2,200,000

LG LED SMART TV
65 UJ651V UHD =3,500,000
55 UJ651V UHD =2,100,000
55 UJ752V UHD =2,300,000
49 UJ634V UHD =1,650,000
49 UJ752V UHD =1,800,000
43 UJ634V UHD =1,350,000
43 UJ752V UHD =1,550,000
32 LJ570V = 650,000

SAMSUNG LED TV's
24inch - 380,000
32inch - 550,000
40inch - 920,000
43 inch - 1,100,000
49 inch - 1,400,000

SAMSUNG SMART TV
32inch - 720,000
40inch - 1,270,000
43inch - 1,350,000
48inch - 1,700,000
49inch - 1,750,000
55inch – 2,200,000
55inch – 1,980,000

SAMSUNG CURVE SMART TV
48inch (48j6300) - 2,000,000
49inch (49k5300) - 2,100,000
49inch UHD 4K (49MU7350) - 1,800,000
55inch (55k6500) - 2,200,000
65inch UHD 4K (65MU7350) – 3,850,000

SAMSUNG SMART 4K
49inch 4K (49ku7350) - 2,200,000
55inch 4K UHD (55ku7350) - 3,050,000
65inch 4K UHD (65ku7350) - 3,850,000

BOSS TV
Boss 39" @700,000

BOSS SMART TV
Boss 43" @850,000
Boss 49" @1,000,000
Boss 55" @1,300,000
 
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 1000, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi ulipo BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR
PhotoGrid_1500738183484.jpg
 
Last edited:
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 1000, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi ulipo BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR au UNAWEZA KUJA DUKANI MAGOMEN MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI
PhotoGrid_1500739376782.jpg
 
Last edited:
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 300, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi ulipo BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR au UNAWEZA KUJA DUKANI MAGOMEN MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI
PhotoGrid_1500498024162.jpg
 
Last edited:
Utaileta mpka sehemu fulani nitakuja kuipokea kwa usafiri wangu nitaifikisha mwenyewe kwangu mkuu. Mbona umepanic
Sijapanic, hebu soma post yangu. Tumeweka hadi location ya duka lilipo. Kama hutaki kuletewa unakuja dukan. Cha pili wewe kama mteja ndo unachagua mzigo uletwe wapi. Iwe bar, shulen, kazin au kwako. Hakuna mahali tumesema usilipie mpaka mzigo uwe umekufikia nyumbani. Tumesema usilipie kabla hujapata mzigo so unaweza ukachagua mwenyewe upokelee wapi hakuna alielazmisha upokelee kwako. Uwe na siku njema boss
 
Mikoani vp?
Kwa watu wa mkoani tunatuma kwa taratibu hizi
1. Mtumie hela ndugu yako aliepo huku aje aichukue na akutumie ww
2. Tupe namba ya ndugu yako aliepo huku tumpelekee, tumtestie kabisa then yeye atakutumia wewe.
3. Utume hela ya bidhaa kwetu na hela ya usafirishaji tukutumie sisi
 
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 1000, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi ulipo BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR au UNAWEZA KUJA DUKANI MAGOMEN MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI
PhotoGrid_1500740765492.jpg
 
We nawe muongo tu
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 1000, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi nyumbani BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR au UNAWEZA KUJA DUKANI MAGOMEN MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI View attachment 821806
Kwa wale wapenzi wa mziki huu ndo unawafaa. Sony watts 1000, unapiga hadi majirani wanaona wivu. Piga simu 0658 18 47 97 tukuletee hadi nyumbani BURE kwa wakazi wa Dar kwa mkoan upo utaratibu maalum. USILIPIE KABLA YA KUPATA MZIGO KWA DAR au UNAWEZA KUJA DUKANI MAGOMEN MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI View attachment 821806
We nawe muongo tu, hapo juu unasema Watt 1000 hapo kwenye picha watt 300 duh
 
Wa mkoani tunakosa huu utamu! mnaweza mkawa waaminifu tu!

Ila jamii ilivoshajitune kuwa utapeli upo na usiamini yeyote hata ndugu

Tunajikuta tunakua wapole tu mpaka tukija huko.
 
Wa mkoani tunakosa huu utamu! mnaweza mkawa waaminifu tu!

Ila jamii ilivoshajitune kuwa utapeli upo na usiamini yeyote hata ndugu

Tunajikuta tunakua wapole tu mpaka tukija huko.
Yapo sana hayo, karibu boss
 
Ila hizo tv mnauza bei juu labda kwa kuwa mnatoa offa ya subwoofer ambapo kwa mfano hiyo starx tv ikinunuliwa kwa hiyo bei uliyotaja then ukampa mteja subwoofer kiuhalisia anakuwa keshalipia pia na hiyo radio...
Star X mpya inapatikana kwa bei chini ya 400k hapo kko...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom