vivii
Member
- Jun 15, 2021
- 48
- 75
Habari mkuu nina tv lg inch 42 imevunjika kioo ni kiasi ganiBei zake sio Rafiki kama unashida ya kioo cha tv ni PM
Habari mkuu nina tv lg inch 42 imevunjika kioo ni kiasi ganiBei zake sio Rafiki kama unashida ya kioo cha tv ni PM
Ni smart au?? Naomba model yakeHabari mkuu nina tv lg inch 42 imevunjika kioo ni kiasi gani
Mkuu nna TCL 32" imevunjika kioo, kubadilisha bei gani? siyo smartNi smart au?? Naomba model yake
NAOMBA NAMBA YA HUYO FUNDI CHINAAupo Serious hizi bei si za TV mpya ndugu?
Hizo bei anatoza fundi mmoja anaitwa China tena kwa TV Original sio hizi za mchina.
Check PM BossNAOMBA NAMBA YA HUYO FUNDI CHINA
Nahitaji kioo, inch 24.TV sinsung. Nipe bei yakoBei zake sio Rafiki kama unashida ya kioo cha tv ni PM
Umeongea kweli kabisa,niliwahi kuuza lg smart inches 32 ilopasuka kioo kwa 75kSure kioo ndio expensive device ktk TV...coz TV ndio kioo na kioo ndio TV.. TV inapovunjika kioo ni kwamba auna TV tena ila Tv ikisharibika device yoyote km vile power supply,mainbody sio cost kubwa issue ipo ktk kioo TV ikivunjika kioo km ni 32 unauza elfu 50 au 40 hata km ilinunuliwa laki 6 ila ikisumbua device ya ndan ila kioo kikiwa kizima unauz pesa nzuri tu unapata pesa yako...TV NI KIOO NA KIOO NDIO TV
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua jf haitaki upole mwingi,ukiwa dwanzi humu watakukomesha,dawa yao ni kuenda vile walivyokuja wao,wape nyama wanyamaze mkuu😂Mkuu unapokuwa na LG kwa mfano ya Egypt unapata kioo kwa mfano nimetoka ktk LG ya korea? Kipi kitakuwa na ubora? Hio TV or icho kioo? Issue sio kuwa na item ya kichina issue ni kuwa na item ya kichina Fake coz mchina huyo huyo anatengeneza quality na non quality..issue ni enduser anayetumia item fake ya mchina ndio wameanzisha Kejeli ktk uzi EG: Samsung korea anauza inch 32 laki 6 kwani ajui km kuna TV inauzwa laki 2 inch 32? Waliokuja na kejeli wenye low quality TV sio mimi nimewajibu kwa kama wao walivyokuja kuna wadau wanapiga simu na kufika offsin wanapata hudum na kuna wadau wanauliz wanajibiwa vizur ukileta kejeli unajibiwa kikejeli..KARIBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hamjashusha bei?NAUZA NA KUFUNGA VIOO VYA FLAT TV AINA MBALI MBALI KUANZIA INCH 24 MPAKA 55
Location: Jengo la biashara machinga complex karume Jengo la upande wa Ilala
Time: Jumatatu-Jmosi kuanzia saa 3 asubhui mpka saa 2 usiku
Call: 0652608010 Michael
Wadau wa MIKOANI vioo atuvitumi ilete TV offsini ufungiwe
Bei....inch 24 display ni 200000/
Inch 32 display ni 300000/=
Inch 43 display ni 500000/=
Inch 49 display ni 700000/=
Inch 55 display ni 850000/=
Hizo bei ya display ni pamoja na ufundi..ukitaka nikuuzie kioo kama kioo ili ubebe ukafunge mwenyewe UNAUZIWA PIA..ILA KIOO kikitoka akirudi offisni Tena..bei ya kioo bila ufungaji Toa elfu 30 ktk kila bei za hapo juu.
KARIBUNI
View attachment 1361909View attachment 1361910View attachment 1361911View attachment 1361912View attachment 1361913
Sent using Jamii Forums mobile app
Ghali sanaMore elaborations please, Hizi bei ni pamoja na TV Za kichina kama aborder maana nilinunua yangu dukani nchi 32 kwa shillingi 290,000/= sasa iweje niibadilishie kioo tu kwa laki 3.
MKUU NINA LG SMART TVNi smart au?? Naomba model yake
Ngoja nikucheckie ntakujibuMKUU NINA LG SMART TVView attachment 2394446View attachment 2394447View attachment 2394449View attachment 2394450View attachment 2394451View attachment 2394452
View attachment 2394456
INCH 49 IMEVUNJIKA KIOO, NAWEZA KUPATA HIKI KIOO NA BEI NI SHILINGI NGAPI? MODEL No: 46UJ651V-TA, POWER:AC 100-240V-50/60Hz 1.2A, SERIAL 802SREUNE588. Namba ya kioo: LG Display co, ltd. P/N:6870S-2440B. DISIGNED:16.09.26, DESC:V17 49UHD_SPC8_VER0.3_H/F.
POA MKUUNgoja nikucheckie ntakujibu
lg inch 43 smart tvNgoja nikucheckie ntakujibu