Tunafunga na kuuza vioo vya TV

Tunafunga na kuuza vioo vya TV

Sure kioo ndio expensive device ktk TV...coz TV ndio kioo na kioo ndio TV.. TV inapovunjika kioo ni kwamba auna TV tena ila Tv ikisharibika device yoyote km vile power supply,mainbody sio cost kubwa issue ipo ktk kioo TV ikivunjika kioo km ni 32 unauza elfu 50 au 40 hata km ilinunuliwa laki 6 ila ikisumbua device ya ndan ila kioo kikiwa kizima unauz pesa nzuri tu unapata pesa yako...TV NI KIOO NA KIOO NDIO TV
hiyo bei ya vioo sasa ..si bora nikanunue nyingine kabisa...hiyo mbovu niuse kama spares

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndio bei za vioo.. Kiuhalisia huwa zinapisha kama laki 2 na bei halisi ya tv ndio maana watu wanaona bora wanunue tv mpya ila hawa ni wale wenye mifano ya tv sio tv hasa zile brand za kuaminika 😂
 
Oke kioo kipo mkuu bei 850000/= cha hio curved 4K inch 55 series 7....NB hapo mwanzo umekosa kioo kwa sababu hakuna vioo vya UHD bado avijaanza kuingia Tanzania na km vimeingia ni sehem chache sana ila kwa sasa zimeingia conveta card inatoa UHD to HD or HD to UHD yanii 2k kwa 4k or 4k kwa 2k...so nitakufungia kioo cha 55 cha HD ila nitatumia conveta ili kitoe UHD na itakuwa 4K kawaida..conveta ni elfu 80..for more infro karibu0652608010 QUOTE="Ngovongo, post: 34442684, member: 474288"]Ndio ni Samsung series 7 curved smart UHD 4K inch 55

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mkuu tutawasiliana soon..shukran
Oke kioo kipo mkuu bei 850000/= cha hio curved 4K inch 55 series 7....NB hapo mwanzo umekosa kioo kwa sababu hakuna vioo vya UHD bado avijaanza kuingia Tanzania na km vimeingia ni sehem chache sana ila kwa sasa zimeingia conveta card inatoa UHD to HD or HD to UHD yanii 2k kwa 4k or 4k kwa 2k...so nitakufungia kioo cha 55 cha HD ila nitatumia conveta ili kitoe UHD na itakuwa 4K kawaida..conveta ni elfu 80..for more infro karibu 0676744827

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ongea wewe maana JF watu wanajua kuficha ID zao tu sio IQ zao...
Hizo ndio bei za vioo.. Kiuhalisia huwa zinapisha kama laki 2 na bei halisi ya tv ndio maana watu wanaona bora wanunue tv mpya ila hawa ni wale wenye mifano ya tv sio tv hasa zile brand za kuaminika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu kubadilisha kioo cha TV sio sawa na kubadilisha figo ktk mwili wa binadam

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo sasa unatokwa na mapovu kama omo, binafsi najua hzi electronics, simu au tv ikivunjika kioo ni kununua mpya tu, maana kubadili display garama nj kubwa alafu usipate matokeo kusudiwa. Alafu punguza kejeli sio kila anayechangia humu kwa ubaya ama kwamba hicho kitu hana la ni kutaka kujua zaidi maana unaona kuwa na tv hzo za kichina ni issue kubwa sana kwako.
 
Mkuu unapokuwa na LG kwa mfano ya Egypt unapata kioo kwa mfano nimetoka ktk LG ya korea? Kipi kitakuwa na ubora? Hio TV or icho kioo? Issue sio kuwa na item ya kichina issue ni kuwa na item ya kichina Fake coz mchina huyo huyo anatengeneza quality na non quality..issue ni enduser anayetumia item fake ya mchina ndio wameanzisha Kejeli ktk uzi EG: Samsung korea anauza inch 32 laki 6 kwani ajui km kuna TV inauzwa laki 2 inch 32? Waliokuja na kejeli wenye low quality TV sio mimi nimewajibu kwa kama wao walivyokuja kuna wadau wanapiga simu na kufika offsin wanapata hudum na kuna wadau wanauliz wanajibiwa vizur ukileta kejeli unajibiwa kikejeli..KARIBU
Hapo sasa unatokwa na mapovu kama omo, binafsi najua hzi electronics, simu au tv ikivunjika kioo ni kununua mpya tu, maana kubadili display garama nj kubwa alafu usipate matokeo kusudiwa. Alafu punguza kejeli sio kila anayechangia humu kwa ubaya ama kwamba hicho kitu hana la ni kutaka kujua zaidi maana unaona kuwa na tv hzo za kichina ni issue kubwa sana kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni bei za Vioo vya tv sio hizi copy za tv,

Mwaka 2013 nilinunua samsung led tv nchi 32 laki sita na nusu ilikua na warranty kioo chake kilikua ni laki nne, so hakuna cha ajabu hapo.
 
Hizo ndo bei za vioo kwa tv za kueleweka .......jamaa yupo sawa tu...tv brand ya maana kioo chake hakipishani sana na bei ya hio tv kama jamaa alivyosema kioo ndo tv yenyewe.......hata upande wa simu kwa brand za maana display ikifa kubadili ni sawa na kununua simu mpya
 
Jamaa yupo sawa, mwaka jana nilibadili display ya LG nchi 32 ilinikost laki 3 bila chenji.

5/5
 
TV original sony,Samsung, lg ,Philip inch 32 unaweza kunipa bei yake? Wew unajua bei ya kioo, na risk yake kusafirisha? Kioo kina bei zaid ya TV worldwide

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mimi nimekuwa fundi TV toka 1994,nna nnajua bei na disply kwani China naenda na nnajua bei zake!nna ni mkongwe kwenye TV na simu nilianza fundisha watu juu ya ufundi wa Simu na Flat TV kabla ya VETA kuona umuhimu wake mpaka leo!! Hizo disply unazouza hapa ni fake na wewe ni dalali....... mtu akileta TV unaenda kutafuta Tcon au disply etc unakuja iweka.Sisi ndo tulikuwa washauri wa KVD wakati anataka fungua duka la spear(RIP) na pia City phones,SAPNA na Fredom Electronics! Atupost kwa kuwa tunapost....Tunapost kwa sababu tunajua Electronics na IT na tunajua hapa Tanzania nani fundi nani mbadilisha cover nani ajui! Ila thanks TCRA july 2020 watu kama nyinyi mtapotea milele hapa Tanzania
 
Hizo ndo bei za vioo kwa tv za kueleweka .......jamaa yupo sawa tu...tv brand ya maana kioo chake hakipishani sana na bei ya hio tv kama jamaa alivyosema kioo ndo tv yenyewe.......hata upande wa simu kwa brand za maana display ikifa kubadili ni sawa na kununua simu mpya

acha uongo😁😁😁😁
 
Hapo labda kama kioo ni cha kichina ila kioo kama ni cha brand hiohio bei inakimbizana na kifaa......
nitajie kioo original toka Korea(Samsung) Sony (Japan) hapa Tanzania unavipata wapi?? ata Nimeshi pale Kisutu ana😁😁😁. Mimi uwe na TV ,SIMU, Mashine Yeyote niambie unaipeleka kwa fundi Nani ntakuambia kama inapona au ianenda kuwa maiti..... Unajua umoja wa Mafundi ... unaitwa MANYAGO???
 
Nina LG ndani imekufa kioo kuna fundi ndo akaniambia kama unataka cha mchina utapata vioo vipo vingi tu ila kwa original yeye mwenyewe akasema kupata ngumu hadi leo tv ipo ndani bado sijabadili tokea 2018
 
nitajie kioo original toka Korea(Samsung) Sony (Japan) hapa Tanzania unavipata wapi?? ata Nimeshi pale Kisutu ana😁😁😁. Mimi uwe na TV ,SIMU, Mashine Yeyote niambie unaipeleka kwa fundi Nani ntakuambia kama inapona au ianenda kuwa maiti..... Unajua umoja wa Mafundi ... unaitwa MANYAGO???
Ishu ni bei mengine mbwembwe
 
Nina LG ndani imekufa kioo kuna fundi ndo akaniambia kama unataka cha mchina utapata vioo vipo vingi tu ila kwa original yeye mwenyewe akasema kupata ngumu
Na huo ndio ukweli, M-korea (hata mjapani) hetengenezi parts, anaunda complete, mchina ndio anatengeneza parts kwa ajili ya repair

ukipata parts ya mkorea ujue kilitoka katika Tv OG, sio kiwandani
 
Back
Top Bottom