Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

Hii ni kweli mkuu, ilishawahi kunitokea
 
Naomba connection ya hao wamama.
 
Mnayataka wenyewe kwa kuhangaika kwenu. Kutaka kugusagusa kila muonacho mnaishia kugusa visivyoguswa



Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Amina sana mama mtumishi.Tuombee sisi wadhambi ili tuache Upuuzi huo.
 
Mkuu usipate tabu kuwaza sababu. Siku ya tukio nilikuwa kitaa na shangazi yangu sasa anti kapanda halafu mnene kiasi chake pumbavu lile kuona vile likahisi mi mario. Si likaomba eti nilitafutie jimama nalenyewe lilelewe!!!
 
Tatizo mkiachiwa tu upenyo mnakuwa na miguu minne, sasa inahitajika timing tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…