Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Niko dsm aisee
nadhani wataalam wako all over hata hapo ulipo, kama umekosa hapo ulipo jaribu kwenda k koo na huko kote ukifail then unaweza ukantafuta tukatafuta namna ya kufix ur issue
 
Mkuu hata mimi simu yangu ni nokia lumia 530, kuna mtu nilimwazima sasa aliponirudishia simu ilikuwa imezima ile na ichaji kuiwasha tu inaniletea Airplane mod na sijui niitoweje kama unauzoefu nisaidie ndungu yangu
 
Kaka nisaidie jinsi ya kuodoa airplane mod kwenye nokia lumia 530. Mpaka sasa sijatumia simu hii wiki ya pili sasa na mafundi waliopo huku siwaamini
 
Habari mafundi wenzangu. naombeni msaada namna ya kuroot simu ambazo zipo na android kuanzia 6.0.1 na kuendelea ukiacha simu za samsung.
 
kuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
 
Habari mafundi wenzangu. naombeni msaada namna ya kuroot simu ambazo zipo na android kuanzia 6.0.1 na kuendelea ukiacha simu za samsung.
hakuna general rooting method mzee... but in most cases huwa tunaflash recovery image baada ya kufanya bootloader unlock then tunaflash supersu from recovery.. njoo na exactly model au chagu any model iwe as demo
 
ZTE Z832
 
tested by me and published by myself
 
Back
Top Bottom