Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Simu yangu imekataa kuingiza system update, tatizo ni nini wadau?
 
Kuna galaxy S 6 haisomi mtandao baada ya ku upgrade shida nn, imei zipo fresh
 
Habari Wakuu.

Simu yangu Huawei g610-u00 ilianza kujizima ghafla na kupoteza taarifa. Yaani inajizima ikiwaka vitu vyote ulivypsafe siku husika vinapotea vinabaki vile vya kuanzia tarehe 8 Dec kushuka chini. Sasa nikaamua niiflash cha ajabu hakuna changes zozote zile yaani inakuwa vile vile kabla haijaflashiwa wakati the whole flashing process ilikuwa safi tu pasipo kuleta error yoyote. Nimejaribu njia zote kwa sp flash tool pamoja na SD card method. Kama kuna mdau amewahi kukutana na ili tatizo tushirikishane tunasolve vipi?!
Nataka nione hyo error inayoleta ktk sp flash tool
 
Wadau niajee....msaada
Naomba mnipe maelekezo jinsi ya kuiwezesha simu ya smartphone android ya vodafone iweze tumia simcard za aina zote...

Ila bila kutumia compyuted?
 
Wadau niajee....msaada
Naomba mnipe maelekezo jinsi ya kuiwezesha simu ya smartphone android ya vodafone iweze tumia simcard za aina zote...

Ila bila kutumia compyuted?
akupasa uwe na professional ools ten unafanya unlock... bila kutumia computer yapo labda ufanye remote unlock kama cmu yako inadai unlock codes utakapoweka simcard tofati na voda bac unanunua unlock codes na hauhitaji computer ni kuingiza tu hizo codes
 
Kuna galaxy S 6 haisomi mtandao baada ya ku upgrade shida nn, imei zipo fresh
taja exactly model na useme haisomi mtandao inaleta EMERGENCY CALLS au NO SERVICE?
 
Vodafone785 hafu ishakuwa slot blocked temporally..
code entry attempts ni zero so huwezi unlock kwa codes unless umpe mtaalam afanye counter reset, ungekuwa na entries ningekupa unlock codes baada ya kunipa imei bt ni paid servive...
 
code entry attempts ni zero so huwezi unlock kwa codes unless umpe mtaalam afanye counter reset, ungekuwa na entries ningekupa unlock codes baada ya kunipa imei bt ni paid servive...
Ya naelewa.....kikubwa nilikiwa nataka nojue ...inamaana hakuna njia nyingine ya kijanja ni lazima payment?
 
Ya naelewa.....kikubwa nilikiwa nataka nojue ...inamaana hakuna njia nyingine ya kijanja ni lazima payment?
kwa uelewa wangu mimi and from my experience hakunaga trick kwenye kuremove simlock.... either u buy tools or pay for unlock
 
kwa uelewa wangu mimi and from my experience hakunaga trick kwenye kuremove simlock.... either u buy tools or pay for unlock
Ok....nahitaji kidogo maelezo ya kubuy tool
 
nina nokia3310 2017 haiconnect mtandao wowote inaandika emergency nahitaji msaada
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-12-19 at 11.46.37 AM.jpeg
    WhatsApp Image 2017-12-19 at 11.46.37 AM.jpeg
    28.1 KB · Views: 58
Back
Top Bottom