Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

huawei ziko nyingi, haisomi network inaleta no service au emergency calls?
9ff840bcf77f86829e9694782c51e312.jpg
 
Wakuu nilikuwa naibypass tecno k7 spark sas shida ni adroid version yak ni kubwa 7.0 kwa magwiji waku downgrade na kuupgrade nawaomben hapaaaah!!!!
 
Tatzo dogo sana..haina haja ya ku downgrade.just google kifile cha frp reset ..tumia flashhtool kufanya yako..sekunde 5 tu waleteeee
 
Naomba msaada pliz<br />Natumia simu ya samsung note 3,shida yake ni kwamba haiwezi kuaccess menu yoyote ya vifrushi au mpesa,ina load mpaka mwisho inakata,inaweza kuongeza salio na kuangalia salio tu.Naomba kujua shida yake ni nin na naweza kumalizaje hilo tatizo. Namba yangu ni 0716857764
 
Hebu hakiki IMEI zake kama ni halali
 
Nimehakik mkuu iko sahihi kabisa,sjui shida ni nin hapo
Kwa maana hyo unataka kuniambia imei zinazopatikana chin ya betry ndio zilizopo ndan ya simu ukipiga *#06# kama ni hivyo hapo inatakiwa umtembelee mtaalam atajua ni kipi chakurepair
 
Naomba msaada pliz<br />Natumia simu ya samsung note 3,shida yake ni kwamba haiwezi kuaccess menu yoyote ya vifrushi au mpesa,ina load mpaka mwisho inakata,inaweza kuongeza salio na kuangalia salio tu.Naomba kujua shida yake ni nin na naweza kumalizaje hilo tatizo. Namba yangu ni 0716857764
Kama network iko sawa ina maana imei ziko sawa... Je hyo note3 yako ni international version au zile Korean version?.. kama ni korean version hilo tatizo ni kawaida kushindwa kurun ssd commands, km ni international version then modem partition kwenye hyo cmu yako haiko sawa... kujua kama ni international au korean just check model...
 
KWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Naomba driver, flash tool na tutorial ya LG G2 mini D620K
 
Kama network iko sawa ina maana imei ziko sawa... Je hyo note3 yako ni international version au zile Korean version?.. kama ni korean version hilo tatizo ni kawaida kushindwa kurun ssd commands, km ni international version then modem partition kwenye hyo cmu yako haiko sawa... kujua kama ni international au korean just check model...
Ni korean version mkuu
 
Back
Top Bottom