Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Natafuta circuit ya Nokia lumia 635 pamoja kioo cake, kioo cha Asus zenfone 6
nicheck hapa 0655090000

Send via Quan dong fen from north Korea
 
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Naomba kuulza kuna ujzi wa aina yyte kuhusu Tecno au itel hzi batan mteja anapokuwa amesahau Password alzweka tofaut kuiflash?
 
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Habari Mkuu naomba kufahamu bei ya betri ya tecno w5 na kama naweza pata msaada wa tutorial hivi or aid of pics ili nibadili betri mwenyewe nikishanunua mkuu,samahani kwa usumbufu.ahsanteh
Maana nimetafuta google na youtube sijapata tutorial
 
NAHITAJI KIOO NA TACHI YA SIMU
210de90eaffc94f332418f1374c871e9.jpg
INFINIX X600 , MWENYE HIVI VITU UTANIUZIA BEI GANI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom