Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Jamaa kaeleza vizuri sana na kama kuna fundi hajaelewa huyo ni Ngumbaru.....

Ila kuna tatizo sasa hivi, iko hivi let say mwizi wa boda kaiba simu, kaja nayo kwako bila ya wewe kujua kama huyo ni mwizi, simu ina frp lock unamuuliza anasema ni yakwake, unamtolea bila ku deal na imei anaenda huko anauza ama anatumia simu inatrackiwa anakamatwa sasa shida inaanzia hapa, kwamba akifika police kuna kitu kinaitwa chain, yaani ataje lock alitolea wapi,akitaja wewe kama fundi unakamatwa na kuunganishwa katika kesi ya wizi, hili jambo mafundi mnalizungumziaje? Maana ni wiki tuu imepita Tangu mafundi wakamatwe huko Mkoani Morogoro na kuunganishwa katika kesi za uporaji sababu ni kutoa lock, hili swala kisheria limekaaje?
 
jf22.png
msaada wakuu hapa kila nikiload packet file mbona haifanyi kazi au ndo mpaka drivers na drivers nimejaribu kuziinastall zimekataa
jf.png
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Mkuu nina Samsung s advance ambayo ni muda kidogo niliifanyia update ya Android version. Tatizo ni Kuwaiti baada yakumaliza Ile process na haijawaka tena hadi Leo. Je kuna namna ya kuirudisha hewani?
 
Wakuu nokia e63 kila nikiingia ovia store inaniandikia "Unable to Connect to Server" nita li fix je wakuu
 
imei imekufaje?, iko blacklisted au ime corrupt?
Ipo hivi; jamaa kaniletea simu yake nimrekebishie, kosa alilofanya ni ku root simu kisha aka uninstall system app inayoitwa com.android.phone simu ikafa base band. Alipoileta nikajaribu kuirudisha hiyo system app lakini simu ndio ikawa imekufa imei. Ukicheck imei number inaandika null
 
jaribu kurepair efs kwa kuwrite efs na kama utapata efs from another working phone itakuwa poa zaidi na hapo ikifail unatakiwa kuflash cmu yako with latest firmware
 
jaribu kurepair efs kwa kuwrite efs na kama utapata efs from another working phone itakuwa poa zaidi na hapo ikifail unatakiwa kuflash cmu yako with latest firmware
Asante, ngoja nijaribu
 
Ipo hivi; jamaa kaniletea simu yake nimrekebishie, kosa alilofanya ni ku root simu kisha aka uninstall system app inayoitwa com.android.phone simu ikafa base band. Alipoileta nikajaribu kuirudisha hiyo system app lakini simu ndio ikawa imekufa imei. Ukicheck imei number inaandika null
Flash with Latest firmware may solve your problem
 
Wakuu Mimi naomba msaada jinsi ya Ku root Vodafone smart bomba VFD 301 ni Android 6.0
 
Back
Top Bottom