Habari wakuu.
Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.
Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.
Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana
Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Oya kuna askari kama mia mbili hivi aseeHabari wakuu.
Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.
Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.
Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana
Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Nenda na weweNendeni mkafukue miili ya ndugu zetu.!!
akili zao zimeishia pabayaSasa kama eneo linalindwa, mpaka hapo inatosha kuelezea kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea hapo.
Mwaka umewaendea vibaya sanaaakili zao zimeishia pabaya
Wanaliza mwaka vibaya sana, kila siku wanalala na viatu hawa jamaa.. KimewalambaMwaka umewaendea vibaya sanaa
Nimesikia polisi wamemwagwa pale sasa utatuhabarisha! Ila angalieni msije mkamwagiwa mvua za risasi za moto! Serikali hii haisiti kuua mtu!Habari wakuu.
Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.
Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.
Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana
Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Wenye uwezo wa kupata camera waziweke kwenye miti. Hilo eneo lina ushahidi muhimu sana.Habari wakuu.