Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda

Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!

Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.

Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.

Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".

Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.

Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Mtammic jiwe
 
Kimekuuma mumeo kushitakiwa!?? Kinyeo kinakuwasha tafuta wakukupiga pumbu
Wewe ameahakuzalisha watoto wangapi ?

Umeosha lakini au puru imeachama kama mdomonwa Diamond
 
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.

P
Ahsante kwa kuelewa na ufafanuzi wa ziada, wote tunatamani kama kuna kiongozi aliyekosewa sheria awajibishwe, lakini tunawezaje kumwajibisha ndipo tunapokosea, utaratibu ukikosea hata hiyo haki tunayoitaka hatutoipata. Binafsi naona bado kuna nafasi ya Makonda kuwajibisha endapo ushahidi wa kutosha ukakusanywa na wenye mamlaka na wawe na nia ya dhati ya kufanya hivyo, lakini kwa private prosecution siioni nafasi zaidi ya jamaa kutafuta publicity tu
 
Kwahiyo kuna watu mnamtetea Makonda!??
Hata mimi ninamtetea nyuma ya key board!

Huwa kila nikisikiliza kibaya cha msingi alichokifanya Makonda akiwa RC nakikosa.

Kama hilo la "Clouds" linaloshadadiwa sana, mbona liliisha na hadi wakashikanishwa mikono na kusameheana na marehemu Ruge?

Hivi msamaha ukishapita, jambo hilo hurudishwa tena kinyume nyume kuanza upya?

Haya, kama si hilo kuna nini kingine kinachowatia kimbelembele cha kumshitaki?

Katika uongozi wake nimeona akitetea sana kinamama wajane waliokuwa wakisulibishwa na matapeli pamoja na mipango yake mingi mingine ya kimaendeleo alikuwa akiifanya bila lawama na watu.

Tukianza kufukua makaburi ya viongozi, nasema uozo tutakaokumbana nao nchi hii haitakalika.

Mfano waliogawana pesa za umma za escrow kwenye viroba kwani hawajulikani kwa majina?

Kwanini wasianziwe hao kwanza kushitakiwa kama ni kweli watu wana uchungu na walishachoshwa na matendo maovu ya viongozi, pamoja na uozo mwingine wenye sura kama hiyo ambao ulitamalaki sana nchini?

Tena huo ulikuwa ni wizi wa wazi mchana kweupe wenye kuchukiza umma, lakini viongozi hao wapo tu mpaka leo uraiani wakila mema ya Taifa bila ya kuguswa!

Mi saazingine kwa suala la Makonda huwa ninarudisha kumbu kumbu nyuma na kuyakumbuka maneno ya hayati Magufuli na kuona ni kwa jinsi gani alivyoziba nta masikioni asisikilize majungu ya gere yaliyokuwa yakipikwa na watu waliotikiswa katika vita ambayo Makona aliyoianzisha ya kupiga vita wauzaji wa mihadarati ambao wana nguvu ya kiuchumi.

Nionavyo mimi, hizo kesi za kijungu jiko zinazotaka kufunguliwa sasa, ukizifuatilia sanaa, utakuta tu lazima zina mikono ya hao hao ma 'king pin' wakifadhili ili kupunguza maumivu ya makovu yao!

Na aliwatikisa kweli!

Awe na makosa aliyokwosha kufanya, serikali ishindwe pa kuanzia kumshitaki kweli!

WaTz wengi kwa hulka zetu, hatupendi viongozi wafuatiliaji wa mambo kama alivyokuwa Makonda.

Yeyote anayekuwa mfuatiliaji sana, utakuta automatically anachukiwa!

Ukijiuliza kwa nini anachukiwa, unakuja kugundua kwamba alishagusa sana mitandao ya mirija zao kwa namna moja ama nyingine, maana karibia asilimia70 ya waTz wanaishi kiujanja ujanja kimishen town.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So hadi U.S.A walimsingizia? Jinai itafufuliwa tu hata akishinda saivi atakutana nalo baadae
Screenshot_20211128-084724.png
 
Mkuu, wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO.

Hakuna anaejishughulisha kufikiria.

Kubenea ni Mtaalam sana wa kufaidika kypitia MIHEMKO ya wajinga.

Sasa hivi ndiye mhariri wa RAIA MWEMA.

Anachonga tu taarifa anavyoweza.

Hapo alipo yupo kibiashara zaidi.

Bashite kama.ni nia ya kumshtaki, atashtakiwa na serikali. Hizi nyingine ni stori za kuchonga tu kupigia hela za wasenge.

Yale yale ya Nay wa Mitego kuimba nyimbo akiona serikali imrmpotezea anaanza kusema anatafutwa mara wimbo wake umefutwa ili apate huruma ya nyumbu mihemko kumbe kaiba beat.

Nchi hii bana
Sema ule wimbo wa ney umepigwa marufuku kweli
 
Makonyeza/mleta post anaohopa kubaki MJANE.
 
kumtetea makonda sio kazi ndogo, inabidi ujifyatue akili kidogo.
giphy.gif
 
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.

P
shida yako pasko ni kwamba, umesoma sheria lakini sio mwanasheria, haya uliyoandika hapa yoote ni takataka, hakuna reality. tafadhali futa kabla wengi hawajasoma.
 
Back
Top Bottom