Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!

Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.

Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.

Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.

Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".

Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.

Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.

Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.

Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.

SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.

Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!
_20211127_160612.JPG
 
Usitufanye wote hamnazo, hayo maombi ni ya mvua, posa au shtaka? Tuanzie hapa
 
Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!

Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.

Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.

Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".

Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.

Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282

Kwani wewe unateseka nini.????? Subiri hio tar3 utaona kama ni uongo au vipi
 
Mkuu, wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO.

Hakuna anaejishughulisha kufikiria.

Kubenea ni Mtaalam sana wa kufaidika kypitia MIHEMKO ya wajinga.

Sasa hivi ndiye mhariri wa RAIA MWEMA.

Anachonga tu taarifa anavyoweza.

Hapo alipo yupo kibiashara zaidi.

Bashite kama.ni nia ya kumshtaki, atashtakiwa na serikali. Hizi nyingine ni stori za kuchonga tu kupigia hela za wasenge.

Yale yale ya Nay wa Mitego kuimba nyimbo akiona serikali imrmpotezea anaanza kusema anatafutwa mara wimbo wake umefutwa ili apate huruma ya nyumbu mihemko kumbe kaiba beat.

Nchi hii bana
 
Naona mnajifariji
 
Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!

Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.

Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.

Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".

Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.

Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Bro unauhakika na ulicho andika ndugu naomba usome upya.
 
Attachments

  • Kubenea v. Makonda, Private Prosecution, Abuse of Office - MD, Mendez.pdf
    4.9 MB · Views: 22

Kwa hiyo Paul Makonda analindwa bado na Kingstone Town?
20211127_064028.jpg
 
Back
Top Bottom