Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,978
Ndiyo maana Magu alikua anayafungia...
Magazeti ya kufungia bagia hayo, anayeyasoma lazima naye awe muuza bagia!
Ndiyo maana Magu alikua anayafungia...
Kimekuuma mumeo kushitakiwa!?? Kinyeo kinakuwasha tafuta wakukupiga pumbuMkuu, wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO.
Hakuna anaejishughulisha kufikiria.
Kubenea ni Mtaalam sana wa kufaidika kypitia MIHEMKO ya wajinga.
Sasa hivi ndiye mhariri wa RAIA MWEMA.
Anachonga tu taarifa anavyoweza.
Hapo alipo yupo kibiashara zaidi.
Bashite kama.ni nia ya kumshtaki, atashtakiwa na serikali. Hizi nyingine ni stori za kuchonga tu kupigia hela za wasenge.
Yale yale ya Nay wa Mitego kuimba nyimbo akiona serikali imrmpotezea anaanza kusema anatafutwa mara wimbo wake umefutwa ili apate huruma ya nyumbu mihemko kumbe kaiba beat.
Nchi hii bana
Wapo wengiKwahiyo kuna watu mnamtetea Makonda!??
Kiboga cha bashite duuuu acha kabisa cjui itakuwaje huko seloNdiyo maana Magu alikua anayafungia...
Uhuru LA kufutia maviMagazeti ya kufungia bagia hayo, anayeyasoma lazima naye awe muuza bagia!
Wewe utakuwa ni chawa wa bashiteTunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!
Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.
Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.
Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".
Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.
Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Kwahiyo baba yako naye ni m.s.enge, maana kijiweni kwake ndio mjanja wao huwa hakosi gazeti la Raia Mwema kama reference ya kunogesha stori.Mkuu, wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO.
Hakuna anaejishughulisha kufikiria.
Kubenea ni Mtaalam sana wa kufaidika kypitia MIHEMKO ya wajinga.
Sasa hivi ndiye mhariri wa RAIA MWEMA.
Anachonga tu taarifa anavyoweza.
Hapo alipo yupo kibiashara zaidi.
Bashite kama.ni nia ya kumshtaki, atashtakiwa na serikali. Hizi nyingine ni stori za kuchonga tu kupigia hela za wasenge.
Yale yale ya Nay wa Mitego kuimba nyimbo akiona serikali imrmpotezea anaanza kusema anatafutwa mara wimbo wake umefutwa ili apate huruma ya nyumbu mihemko kumbe kaiba beat.
Nchi hii bana
Vipi umetoka kukalia🥒 huko kwa kubeneaKwahiyo baba yako naye ni m.s.enge, maana kijiweni kwake ndio mjanja wao huwa hakosi gazeti la Raia Mwema kama reference ya kunogesha stori.
Ninawajua sana watu wa huko kwenu kwa uchawa. Wewe baada ya kunyang'anywa nyavu kwa uvuvi haramu naona unapoteza uelekeo. Hujui hata ushike lipi uache lipi. Pambana, vinginevyo utarudi tena Mabuimerafuru ukaolewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi umetoka kukalia[emoji1646] huko kwa kubenea
Vipi wewe una hata 500 ya kununua bohora la mbege ??Ninawajua sana watu wa huko kwenu kwa uchawa. Wewe baada ya kunyang'anywa nyavu kwa uvuvi haramu naona unapoteza uelekeo. Hujui hata ushike lipi uache lipi. Pambana, vinginevyo utarudi tena Mabuimerafuru ukaolewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo ya kutosha, mae.....Vipi wewe una hata 500 ya kununua bohora la mbege ??
Makonda afungulie gazeti kesi? Hata mumpe hela hawezi kujaribu [emoji23][emoji23]Kwa nini jambo likuzwe wakati kila idara ina msemaji.
Mifumo ovyo ya utoaji taarifa.
Makonda aweza wafungulia kesi hill gazeti kwa kumchambua isivyo.
Watoa ushahidi tunaweza kuwa wengi kiasi Cha kiishangaza Dunia🤔.Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!
Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.
Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.
Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".
Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.
Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Si anakuwa bado mtuhumiwa kama ilivyo kwa bw makonda.Brother, tena anapewa wakili na serikali, yaani analipwa kwa kodi yako wewe, unasemaje hapo?
bahati mbaya, haya maombi yatakataliwa kwasababu mawakili wa kubenea wameandaa nyaraka batili. mark my words. sio kila aliyemaliza degree ni wakili,sio kila anayevaa suti nyeusi ni wakili,wengine ni wanasheria tu hawawezi kazi ya uwakili ama la wanakurupuka ama la ni vilaza. wamefanya kosa kubwa sana kukosea kwenye zile nyaraka kwasababu makonda anatakiwa ashitakiwe na afungwe, sasa kama wameshindwa kwenye kuandaa nyaraka tu, wataweza kuprosecute hiyo kesi?Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!
Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.
Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.
Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".
Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.
Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Inaelekea ni jilani yako ,na unaifaham vyem hii famlyDaudi awalee Keagan na wadogo zake.
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!