Hi wandugu!
NInaomba mnijuze mwenzenu niko nyuma kidogo hasa kwa kuwa siku mbili hizi nilikuwa nje kabisaa ya mawasiliano ya aina yoyote ile.
naomba kufahamu idadi ya viti vya ubunge tulivyochukua hadi sasa, hapa namaanisha vya Chadema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.